Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Line yangu ilizimwa 00:00 nikawa sipatikani wala siwezi kuingia online (ni card ninayotumia sana kwa ajili ya mtandao). Ilibidi nipite Milimani city nikafanye kuisajili.
Nini kilichokua kinakuzuia kusajili mpaka ufikie hatua ya kusubiri laini ifungwe kwanza ndio usajili? 😳
 
"Amesema kundi la kwanza waliozimiwa laini ni watu 656,091 ambao wana vitambulisho vya Taifa au namba lakini hawajasajili laini zao" Hivi jamani kuna mtu kaelewa hapa. hao watu wamewajuaje wana vitambulisho lakini hawajajisajili mbona tunafanyana kama kuna watu wajinga sana. Mimi nadhani kuna kuongeza muda kinyemela tu hiyo kusema tunazima kwa awamu ni kama kusubiri kushinda kamari hakuna lolote..
 
Ok mimi naweza kusema hakuna tatizo kusajili line kwa finger print tatizo langu kubwa ni kwanini lazima vitambulisho vya NIDA? wakati tunajuwa sana bado shida kubwa kupata vitambulisho. Kuna tofauti gani mtu akienda na Passport au ID vote au Driving lincence au TIN na copy ikachukuliwa akaweka kidole. kuna mtu anaweza kunifahamisha labda sijui ni kwanini NIDA tu? huko vijijini kuna watu hawana hata na habari ya NIDA unaenda kuwazimia simu. Nini siasa nyuma ya zoezi hili,,,
 
S
"Amesema kundi la kwanza waliozimiwa laini ni watu 656,091 ambao wana vitambulisho vya Taifa au namba lakini hawajasajili laini zao" Hivi jamani kuna mtu kaelewa hapa. hao watu wamewajuaje wana vitambulisho lakini hawajajisajili mbona tunafanyana kama kuna watu wajinga sana. Mimi nadhani kuna kuongeza muda kinyemela tu hiyo kusema tunazima kwa awamu ni kama kusubiri kushinda kamari hakuna lolote..
Soma reply #172
 
Line haziwezi kufungwa sababu vitambulisho vinavyotambulika kisheria vya kisajilia line ni 4 navyo ni 1. National ID 2. Zanzibar Residents ID 3. Voters ID na 4. Pasaport mtandao utakao fungia line yako unaweza kuushitaki mahakamani na ukakulipa fidia za aina yoyote kutokana na usumbufu waliokuletea wakati wanazima line
Hapo ndio nashangaa kwanini lazima NIDA? NIDA wenyewe changamoto muhimu si fingerprint? nchi zote duniani kunakuwa na option zaidi ya moja kitambulisho au passport na iko clip moja Rais mwenyewe anasema sio lazima NIDA sana kuna nini nyuma ya pazia tusilolijuwa maana hata yeye kiongozi kapiga uturn.
 
.
FB_IMG_1579674133526.jpeg


Sent using Jamii Forums mobile app
 
Wewe ndo mpumbavu wa mwisho kabisa.Unazungumzia mkongo huu wa taifa uchafu kabisa.Mkongo wa taifa una nini cha kusema kuna teknolojia ya maana wakati mitambo na utaalamu wote uko kwa wazungu.Kwenye mitandao ya simu voda,tigo,halotel kote kwenye vitengo nyeti vya teknolojia wapo wageni sio wazawa unalijua hilo au unapoyola tu hapa
.Kubali tu kuwa kwenye teknolojia ya mawasiliano tuko nyuma na kunatakiwa improvement lakin huko kujitutumia kama nyoka la kibisa ndo unaturudisha nyuma.
Yaani wewe ni popoma. Kaa tu kimya badala ya kubishana na mtu anaeweka logic. What's your logic. Unajua mkongo wa taifa unafanyeje kazi? Unajua nani anaeudhibiti huo mkongo centrally?. Yaani kuna watu mnajifanya mnajuua kumbe mnaanika ujinga mlionao!

Sent using Jamii Forums mobile app

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Mpenzi wangu kanitumia ujumbe kupitia line nyingine. Eti bby line imefungiwa so nikipata namba ya NIDA nitakutafuta. Tafadhali NIDA msiniharibie mahusiano yangu. Wajibikeni, kutoa namba tu ni wiki nne camoooooon.... Fanyeni fasta nipate huduma za kibinadamu
 
Sikiliza wewe,kubali tu kuwa hatuna utaalamu na teknolojia ya kutosha katika mambo ya mawasiliano.Hii inajuliakana kabisa ila unabisha tu bure na kupoteza mb zako

Sent using Jamii Forums mobile app

my advice wako, dont be a nerd! your a empty upstairs and same time stupid, swali moja kwako! mkongo wa taifa unaendeshwa na nan na unaendesha nchi ngap nje ya tanzania?
 
13 Reactions
Reply
Back
Top Bottom