Baada ya Januari 20 kupita, TCRA yasema itakuwa inazima laini za simu zisizosajiliwa kwa alama za vidole kwa awamu

Hiyo nguvu ya TCRA mbona wameshindwa kizima Jamii forum

Sent using Jamii Forums mobile app

who told you wameshindwa? paypal inafanya kazi tanzanaia? itunes je? we unadhan nan anahusika apa? mimi naona watanzania acha tuendelee kuonekana mapompo tu maaana hii ni aibu ata watu wanaokuja kutalii wakikutana na mada kama yako ni wanazimia tu! TCRA wana control rwanda, baadhi ya uganda na kuna plans za kufikisha mpaka zambia!
hakuna mtandao wa simu unaojiweza apa tanzania bila TCRA, yaani internet wanawauzia wao, centre fibres (mkongo) ni wao yaani uwaze mara mbili

watu hawajui ata TCRA ndo wanaowauzia internet mitandao ya simu yote Tanzania, na hizo nchi nmekutajia! ni aibu kubwa kwa tulipofikia mtu anakwambia TCRA imeshindwa kuzima jamiii forum, kaa ukijua kuna baadhi ya serikali afrika hua wakikutana na mada kama hizi hawazimi tu jamii forum bali wanazima internet nzima! nahisi hili likitokea mtawapa heshima kazi kubwa wnaofanya TCRA, ni kweli kwamba una uhuru wa kuongea kwa sababu internet unayo na ukadhan bila internet maisha yako hayatayumba!

fikiria mara mbili tu kabla hujaamua kutoa matamko yako, miaka ya nyuma kidogo google ilizima na asilimia 40% ya internet nzima ilipotea hapo ndo vichochea vya vita ya 3 ya dunia ilianza mpaka leo. fikiria mara mbili kabla hujaongea upuuzi tena
 
Suala la internent ni tofauti mkuu ipo wazi serikali ndio inamiliki mkongo wa taifa na makampuni ya simu yananunua internent kutoka serikalin

Sent from my iPhone using JamiiForums

sio internet tu! simu zote, redio , channel za tv! and many more zinazotegemea mawimbi, kwa wale ambao tulishadeal na huduma za sms tunajua kabisa ili usajili sender name lazima uombe TCRA, mtiririko wote wa SMPP uko kwao! leo hii ukitaka kutuma sms kwenda kwenye namba ingine, hakuna mtandao wowote Tanzania ulioweza kujenga underground roots zaidi ya ttcl, ingawa voda walijaribu lakini waliishia njiani na wakabaki kutumia mkongo wa taifa kwa kua ilikua easy kukodisha kuliko kuanza ujenzi upya tanzania nzima!

leo hii hakuna mtandao unafanya kazi bila kukodisha TTCL, iwe internet iwe mawasiliano ya simu kawaida, iwe mpesa kila kitu wao ndo wameshikilia, cha ajb unakuta mpuuzi anaongea sjui nini! mtu ukipewa huruma shukuru Mungu
 
Wewe ndo mpumbavu wa mwisho kabisa.Unazungumzia mkongo huu wa taifa uchafu kabisa.Mkongo wa taifa una nini cha kusema kuna teknolojia ya maana wakati mitambo na utaalamu wote uko kwa wazungu.Kwenye mitandao ya simu voda,tigo,halotel kote kwenye vitengo nyeti vya teknolojia wapo wageni sio wazawa unalijua hilo au unapoyola tu hapa
.Kubali tu kuwa kwenye teknolojia ya mawasiliano tuko nyuma na kunatakiwa improvement lakin huko kujitutumia kama nyoka la kibisa ndo unaturudisha nyuma.

Sent using Jamii Forums mobile app

Inaonekana unpiga tu kelele ambazo hazina msingi, hii inaonyesha jinsi gan wewe ni mzigo kwa taifa, naomba ujibu haya maswali ntakayokuuliza

1) mkongo wa taifa ni nini? Nan mmiiki na kazi yake ni nn. Sio unadunda na mawasiliano ukisahau nan anakupa jeuri
 
who told you wameshindwa? paypal inafanya kazi tanzanaia? itunes je? we unadhan nan anahusika apa? mimi naona watanzania acha tuendelee kuonekana mapompo tu maaana hii ni aibu ata watu wanaokuja kutalii wakikutana na mada kama yako ni wanazimia tu! TCRA wana control rwanda, baadhi ya uganda na kuna plans za kufikisha mpaka zambia!
hakuna mtandao wa simu unaojiweza apa tanzania bila TCRA, yaani internet wanawauzia wao, centre fibres (mkongo) ni wao yaani uwaze mara mbili

watu hawajui ata TCRA ndo wanaowauzia internet mitandao ya simu yote Tanzania, na hizo nchi nmekutajia! ni aibu kubwa kwa tulipofikia mtu anakwambia TCRA imeshindwa kuzima jamiii forum, kaa ukijua kuna baadhi ya serikali afrika hua wakikutana na mada kama hizi hawazimi tu jamii forum bali wanazima internet nzima! nahisi hili likitokea mtawapa heshima kazi kubwa wnaofanya TCRA, ni kweli kwamba una uhuru wa kuongea kwa sababu internet unayo na ukadhan bila internet maisha yako hayatayumba!

fikiria mara mbili tu kabla hujaamua kutoa matamko yako, miaka ya nyuma kidogo google ilizima na asilimia 40% ya internet nzima ilipotea hapo ndo vichochea vya vita ya 3 ya dunia ilianza mpaka leo. fikiria mara mbili kabla hujaongea upuuzi tena

Niliposoma tu hapo uliposema kuwa PayPal haifanyi kazi Tanzania, ndio nimejua ww ni Makande yaliyochacha.
 
  • Thanks
Reactions: Hey
Sasa kuzima laini niliyosajili kwa alama za vidole.. maana yake nini...wakati tayari mimi niko mbali na ofisi zao !!! Watarejesha nauli yangu na fidia juu kwa usumbufu huu!?
 
who told you wameshindwa? paypal inafanya kazi tanzanaia? itunes je? we unadhan nan anahusika apa? mimi naona watanzania acha tuendelee kuonekana mapompo tu maaana hii ni aibu ata watu wanaokuja kutalii wakikutana na mada kama yako ni wanazimia tu! TCRA wana control rwanda, baadhi ya uganda na kuna plans za kufikisha mpaka zambia!
hakuna mtandao wa simu unaojiweza apa tanzania bila TCRA, yaani internet wanawauzia wao, centre fibres (mkongo) ni wao yaani uwaze mara mbili

watu hawajui ata TCRA ndo wanaowauzia internet mitandao ya simu yote Tanzania, na hizo nchi nmekutajia! ni aibu kubwa kwa tulipofikia mtu anakwambia TCRA imeshindwa kuzima jamiii forum, kaa ukijua kuna baadhi ya serikali afrika hua wakikutana na mada kama hizi hawazimi tu jamii forum bali wanazima internet nzima! nahisi hili likitokea mtawapa heshima kazi kubwa wnaofanya TCRA, ni kweli kwamba una uhuru wa kuongea kwa sababu internet unayo na ukadhan bila internet maisha yako hayatayumba!

fikiria mara mbili tu kabla hujaamua kutoa matamko yako, miaka ya nyuma kidogo google ilizima na asilimia 40% ya internet nzima ilipotea hapo ndo vichochea vya vita ya 3 ya dunia ilianza mpaka leo. fikiria mara mbili kabla hujaongea upuuzi tena
Maneno mengi pumba na huna unalojua wewe... Nani kakwambia PayPal haifanyi kazi Tanzania ... Kati ya TCRA na BOT Nani huzuia miamala ya PayPal ... Yaani ni sawa na huduma za kutuma pesa milion 40 kwa simu kutowezekana useme ni kazi ya TCRA .... Kama tcra wangekuwa na huo ubavu wasingekuwa wanaenda kubeba makomputer ya Jamii media pale ofisin kwao na kutaka mitandao ya Tanzania wajisajiri kwa kihunzi Cha .tz.com ..

China wenyewe Licha ya kuwa wameendelea kiteknolojia watu bado wanna access mitandao iliyofungwa kwa VPN ije kuwa Tanzania. Kawadanganye wenzio.

Shut the hell up! Unaendelea kuonekana tu stupid, ebu kajifunze kuhusu mkongo wa taifa kwanza, ujue unavofanya kazi, nan anausimamia, umextend nchi ngap, nan na na wanautumia alafu urudi kuongea izo pumba, make sure unajifunza pia jinsi SMPP zinavowork

Then ndo utajua nan anakupa kiburi cha kuongea uneducated facts, you just look stupid! Wenzako wanatii sheria wanajua kitakachowakuta kama wana izo kelele waatoe tamko msisajili
 
Niliposoma tu hapo uliposema kuwa PayPal haifanyi kazi Tanzania, ndio nimejua ww ni Makande yaliyochacha.

Oooh yeah? Why don't you bring logic APA badala y kuzunguka around the bush, toa facts tukuchallenge achana na issue za makande tujue kweli una elimu na unachoongea
 
Maneno mengi pumba na huna unalojua wewe... Nani kakwambia PayPal haifanyi kazi Tanzania ... Kati ya TCRA na BOT Nani huzuia miamala ya PayPal ... Yaani ni sawa na huduma za kutuma pesa milion 40 kwa simu kutowezekana useme ni kazi ya TCRA .... Kama tcra wangekuwa na huo ubavu wasingekuwa wanaenda kubeba makomputer ya Jamii media pale ofisin kwao na kutaka mitandao ya Tanzania wajisajiri kwa kihunzi Cha .tz.com ..

China wenyewe Licha ya kuwa wameendelea kiteknolojia watu bado wanna access mitandao iliyofungwa kwa VPN ije kuwa Tanzania. Kawadanganye wenzio.

Sent using Jamii Forums mobile app

Achana kuchanganya siasa na logic, toa logic kwanini hawawezi kufunga na hawana hio ubavu tukuchallenge sina mda wa siasa apa
 
Oooh yeah? Why don't you bring logic APA badala y kuzunguka around the bush, toa facts tukuchallenge achana na issue za makande tujue kweli una elimu na unachoongea

Ni hivi nina account ya PayPal inayofanya kazi na jana nimelipia software moja ya printer yangu. Sasa sijui unaongea utoto gani dogo.
 
Kila MTU anjua kabisa kutuma hela kwenda nje inawezekana ila kutuma kuja tz kwanini unadhan ni ngumu? Who do you think ndo anaregulate izi controls?

Je mitandao ya simu imeshindwa wap? Kama wana mpesa master card ambayo inasend tu money kwanini ishindwe kureceive? Jiulize maswali kama haya MBNA Kenya wanapokea ela direct to mpesa from paypal ! Jiulizw then utajua master technology ni nan in between and hata wakiamua wanaweza kata kutuma nje pia as simple as that, kueni wa elewa wa huduma badala ya ushabiki MBNA wameshindwa iki MBNA wameshindwa kile

Mfano wale waliokua wanapokea ela from forex waulize wakupe story nzima
 
Kuna siku itakuja utajua zaidi ya unavyojua sasa na huenda Ukasoma unachoandika humu ukacheka. Be humble, arrogance ikitokana na kuwa na ufahamu mdogo kwenye jambo ni mbaya sana.
 
Mimi ni mmoja kati ya wananchi waliofungiwa line katika awamu ya kwanza siku ya jana line yangu ya mtandao wa halotel ilifungwa ila line yangu ya Voda haikufungwa.

Mara ya kwanza nilihisi hili zoezi ni nguvu ya soda simu hazitozimwa bali kutakuwa na muendelezo wananchi kuendelea kukamilisha hili zoezi.

Kitu ambacho nimekiona faida ni zipo japo ni chache ukilinganishwa na hasara zake. Tayari awamu ya kwanza na pili line zaidi laki tisa zimeshazimwa. Na awamu ya tatu line mill 15 zinategemewa kufungwa.

Kwangu mimi naona huu sio uamuzi sahihi kufungia line sababu watanzania wengi siku zote wamekuwa hawana muamko kupokea jambo geni hivyo makampuni ya simu hapa yatapoteza wateja wengi sana.

Kama line mil 15 zitafungiwa hapa kuna uwezekano mkubwa watu mil 10 ndo watakamilisha usajili kwa wakati. Huku watu mil 3 watachelewa kukamilisha usajili na watu mil 2 wataachana na matumizi ya simu. Sasa hapa tutaona jinsi makampuni ya simu yatakavyoathirika.

Tayari baadhi ya mitandao kama Tigo wameshaongeza gharama za vifurushi.
 
Mimi ni mmoja kati ya wananchi waliofungiwa line katika awamu ya kwanza siku ya jana line yangu ya mtandao wa halotel ilifungwa ila line yangu nyingine ya voda haikufungwa

Mara ya kwanza nilihisi hili zoezi ni nguvu ya soda simu hazitozimwa bali kutakuwa na muendelezo wananchi kuendelea kukamilisha hili zoezi

Kitu ambacho nimekiona faida ni zipo japo ni chache ukilinganishwa na hasara zake

Tayari awamu ya kwanza na pili line zaidi laki tisa zimesha zimwa

Na awamu ya tatu line mill 15 zinategemewa kufungwa

Kwangu mimi naona huu sio uhamuzi sahihi kufungia line sababu watanzania wengi siku zote wamekuwa hawana muamko kupokea jambo geni hivyo makampuni ya simu hapa yatapoteza wateja wengi sana

Kama line mil 15 zitafungiwa hapa kuna uwezekano mkubwa watu mil 10 ndo watakamilisha usajili kwa wakati

Huku watu mil 3 watachelewa kukamilisha usajili na watu mil 2 wataachana na matumizi ya simu

Sasa hapa tutaona jinsi makampuni ya simu yatakavyoathirika

Tayari baadhi ya mitandao kama tigo wameshaongeza gharama za vifurushi ambapo inasemekana sababu kubwa ni hii
 
Kuna siku itakuja utajua zaidi ya unavyojua sasa na huenda Ukasoma unachoandika humu ukacheka. Be humble, arrogance ikitokana na kuwa na ufahamu mdogo kwenye jambo ni mbaya sana.

ni vema ungejua umri wangu kwanza:
This has been my field mpaka nastaafu sasa sjui unataka kusema nn skijui,i started working with telecom tokea tuna fax kipindi icho tuna technology inaitwa SMTP, kipindi icho kulikua hakuna kampuni kama vodacom, airtel ilikuaga ni serikali inaendesha mawasiliano yote tukaja kuadvance POP, SMTP zote hizi i was there and working! izi kampuni zimekuja and zkakuta infrastructure ya mwasaliano imeshakua based na serikali (NICTBB) , na hapo ndipo TCRA wanapowaweka chini makampuni yote ya simu, leo hii mtu ameenda kununua laini umejua kuweka vocha na kupiga unaongea kitu hukijui, sipo hapa kuitetea serikali lakini huo ndo ukwel,

vodacom walishajaribu kuweka base yao wakashindwa kutokana na gharama, mpaka mda huu hakuna mtandao wa simu unaweza kucover mawasiliano nchi nzima kama sio TTCL nkimaanisha vijijini na mjini in high speed: and wala ata siwasingizii waliingia mkataba mwingine juzi tu apa na ttcl huu apa

Vodacom kuboresha huduma za data na maongezi kupitia mkongo wa Taifa wa mawasiliano (NICTBB)
1579903124910.png

nakushangaaa sjui unaongea nn, anyway not most people understand this logic atakaetaka kujifunza data zpo online! mpaka apa nmeeelezea nadhan umepata picha nguvu ya TCRA na hii ni only a small percent, hatujaongelea internet ,mitandao ya simu wananunua wap, hatujakuelezea nan anadhibiti packets zote znazoingia nchini!

mpaka sasa huu huu mkongo umeenda mpaka rwanda, meaning internet ya Rwanda ipo chini ya TCRA(TTCL), some parts of uganda, mozambique and rumours znasema soon wanaingia ZAMBIA, sasa ukikutana na mtu anasema hawana uwezo unataka ajibiwe vp?
 
View attachment 1333641

Arrogance. Kama unaelekea ku retire hivi niseme tu you are a lost cause.
 
Get the hell out here, toa logic zako unalalamika tu arrogance and arrogance toa point , usilete siasa apa

Sina interest tena na huu mjadala na sina interest na siasa links zote nmekuekea kama huelewi just tafuta mtu ubishane nae
 
Nimenunua Internet Airtel na Vodacom sipati network tangu tar 24
 
Back
Top Bottom