Omary - Msamalia
JF-Expert Member
- Jan 19, 2020
- 2,079
- 4,511
Tangu tarehe 4 hadi sasa Waliopokea Chanjo ya Uviko ni wananchi wapatao laki 3 na kadhaa sawa na 30% ya chanjo tulizopokea, ambayo ni sawa na mwezi mmoja tangu kuanza kutolewa, Kama Serikali itaendelea na Kasi hii itachukua miezi 3 na kadhaa kuzimaliza hizi chanjo.
Hoja yangu kwa serikali, Kama wanasema chanjo ni Salama, basi wasisite kutupa na taarifa za siku ambayo hizi chanjo zitaiisha muda wake na kuhitaji kuteketezwa, na zilipokuja zilikuwa zimebakiza muda gani kuharibika.
Kulingana na Watengenezaji na Mashirika ya makubwa ya Usalama kama CDC and FDA ya Marekani yanasema chanjo ya J&J inaweza kutumika kati ya miezi 3, 4.5 kutoka tarehe iliyotengenezwa kama zitahifadhiwa katika viwango pendekezwa. (Nyuzi 2 za Centigrage kwa J&J).
Endapo Serikali inawachoma watu Chanjo zilizoharibika wachukuliwe Hatua gani?
Waziri na Naibu wajiuzulu?
Kitabu kinachoonesha aina za Chanjo na namna ya kuziifadhi.