BigBro
JF-Expert Member
- Jan 9, 2010
- 3,237
- 10,035
Walipewa haki burr na CFI ya France back those days, baadae walishindwa kulipiaKombe la dunia na lenyewe ni premium? Hili si huwa linakuwa la wazi hata youtube linastrimika? Au mambo yamebadilika? ITV alikuwa anaonesha UEFA, Uero, World Cup, Afcon nk ,sijui ilikuaje akawaachia hao wengine ambao ni wachanga wampoteze