Cannibal OX
JF-Expert Member
- Aug 27, 2014
- 3,096
- 3,478
Nipotezee Mkuu.Sijakuelewa mkuu
Nipotezee Mkuu.Sijakuelewa mkuu
Ww unapatapata siyo bure.Ww unatapatapa
Paskali wacha kung'ata na kupuliza hizo ni tabia zakike badilikaMkuu Brother Wille, with due respect kwa heshima na unyenyekevu nakushauri tunza heshima yako kidogo iliyobakia.
Wewe sio tu ni senior member bali ni mwanachama mwanzilishi na nadhani ndio wale mmoja wa jf owners kabla haijawa kampuni.
Tangu jf imeanzishwa kazi yetu ni kukata tuu issues, kama ni issue nzuri tunafagilia kama issue yenye utata tunamkoma nyani giladi bila kumwangalia usoni.
Jina la thread ni hili
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?.
Kwa uelewa wako finyu, umeelewa nini hapo, kuna elements za yoyote kutaka kwenda mahakamani?,
Tangu umeanzisha jf, tuhuma ngapi zimemwagwa humu, kuna ushauri wowote wa kwenda mahakamani uliwahi kutoa?au kuna yoyote aliyetuhumiwa humu jf iliwahi kumpeleka mahakani hivyo na hii ya Makonda twende mahakamani? . Katika bandiko hili kuna mahali popote tumeonyesha kuna yoyote ana kosa lolote la kushtakika Mahakamani?.
Tuhuma kama hizi zilipoanzia kwa Dr.Kigwa kmbona hukutoa ushauri huu? .
Tuhuma kama hizi zilipotolewa kwa Mwigulu Nchemba mbona hukutoa ushauri kama huu? . What is so special utoe ushauri kama tuna ushahidi twende mahakamani for what?.
Kwa taarifa yako wengine tunamkubali sana huyu dogo tangu akiwa DC wa Kinondoni na tukampigia chapuo Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na baada ya kazi nzuri ya kuwakoma giladi mapapa wa unga, tukampigia chapuo kubwa zaidi Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Ili ndoto yetu hii itimie, kukitokea makandokando yoyote, lazima yawekwe kando kuyanyoosha mapito yake yasiwe na mawaa.
Paskali
Siku si nyingi...ITAJULIKANA tuuu!Paul Christian Kagenzi Vs Paul Albert Makonda
Hapa kuna jambo. Yawezekana kuna mambo hayajachimbwa vizuri. Kwa hili jukwaa, mbivu na mbichi zitajulikana.
Kuwa na uchungu we co elim ya MTU kzembe tyu INA bebwa na vilazaMajina yake sisi hayatusaidii kitu ila makonda nikiongozi bora mtetezi wa wanyonge anatufaa full stop
Daudi BashiteAmbaye hana malinda unamjua wewe.
Jina halisi lina mantiki gani kama kazi inafanyika.Aitwe Kobe au vyovyote vile watanzania wanataka kuona mtu mwenye kuthubutu kufanya kitu wengine kinawashindaPaskal Mayala tupige vita madawa ya kulevya vijana wetu wanaangamia.Paul Makonda amepuliza tarumbeta kitu ambacho viongozi wengi kimewashinda.
Najua kila mmoja atatafuta taarifa za Makonda ili mradi tu ziwe ni za kumkatisha tamaa na hii ni tabia ambayo tumekuwa nayo sana watanzania pale anapojitokeza MTU kugusa maslahi yao.
Biashara hii INA mtandao mkubwa ndani na nje ya Serikali na wengi wakubwa hawajapenda pale Makonda alipolianzisha.
Kuhusu majina hilo ni personal Sina comment labda wenye taarifa.ila kwangu si la msingi sana maana hata Mimi najua kuna watu wengi tu wamesoma na majina ya watu wengine miaka ya nyuma ilikuwa kama kawaida toka primary.
La msingi kwangu mimi ni hii vita ya madawa ya kulevya lazima tupigame wote na tu support juhudi za Makonda na sio kuanza kuzizima kwa namna yoyote ile.
Mkuu Brother Wille, with due respect kwa heshima na unyenyekevu nakushauri tunza heshima yako kidogo iliyobakia.
Wewe sio tu ni senior member bali ni mwanachama mwanzilishi na nadhani ndio wale mmoja wa jf owners kabla haijawa kampuni.
Tangu jf imeanzishwa kazi yetu ni kukata tuu issues, kama ni issue nzuri tunafagilia kama issue yenye utata tunamkoma nyani giladi bila kumwangalia usoni.
Jina la thread ni hili
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?.
Kwa uelewa wako finyu, umeelewa nini hapo, kuna elements za yoyote kutaka kwenda mahakamani?,
Tangu umeanzisha jf, tuhuma ngapi zimemwagwa humu, kuna ushauri wowote wa kwenda mahakamani uliwahi kutoa?au kuna yoyote aliyetuhumiwa humu jf iliwahi kumpeleka mahakani hivyo na hii ya Makonda twende mahakamani? . Katika bandiko hili kuna mahali popote tumeonyesha kuna yoyote ana kosa lolote la kushtakika Mahakamani?.
Tuhuma kama hizi zilipoanzia kwa Dr.Kigwa kmbona hukutoa ushauri huu? .
Tuhuma kama hizi zilipotolewa kwa Mwigulu Nchemba mbona hukutoa ushauri kama huu? . What is so special utoe ushauri kama tuna ushahidi twende mahakamani for what?.
Kwa taarifa yako wengine tunamkubali sana huyu dogo tangu akiwa DC wa Kinondoni na tukampigia chapuo Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam
Na baada ya kazi nzuri ya kuwakoma giladi mapapa wa unga, tukampigia chapuo kubwa zaidi Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...
Ili ndoto yetu hii itimie, kukitokea makandokando yoyote, lazima yawekwe kando kuyanyoosha mapito yake yasiwe na mawaa.
Paskali
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.
Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito
Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.
Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.
Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri tuu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Uwongo huu sasa ama unakaribia kuwa ukweli, or soon, karma will take its toll!.Jambo hili limesemwa na linachafua hadhi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, hivyo kuondoa mzizi wa fitina Makonda aweke vyeti vyake hadharani maana bila kufanya hivyo watu wataendelea kuamini taarifa hizi kwamba anatumia cheti cha mtu, Makonda akumbuke kwamba uongo ukisemwa na kuachwa sana hugeuka kuwa ukweli, hivyo basi afanye hima kujisafisha na tuhuma hizi za kutumia cheti cha mtu.
Akumbuke wapo wengi wakituhumiwa lakini mwisho wa siku waliweka mambo hadharani na ukweli ukajulikana, hakuna fedheha mbaya kama kutumia vyeti vya mtu au kutuhumiwa kutumia vyeti vya mtu hivyo Mhe afanye hima kujinasua na kadhia hii kwa kuweka vyeti vyake hadharani, huenda kweli anaonewa kulingana na harakati zake na uongozi wake, njia nzuri ya kujinasua na kuwaziba mdomo wabaya wake ni kuweka hadharani vyeti vyake vya kidato cha nne.
Ni lini mbowe amefoji vyeti ? Anzia hapoMbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
Kuna tofauti kubwa kati ya sakata la Mwigulu na lile la David Bashite. Mwigulu (kwa maelezo yaliyotolewa) alirudia darasa na kutumia jina la mtu mwingine wakati akirudia. Utaratibu kama huo huko nyuma ulikuwepo sana; yaani watu walikuwa wanafeli halafu wanaenda kurudia kwenye shule nyingine. Kuna taarifa Profesa Muhongo alirudia mara saba kabla ya kufaulu! Kujaribu kuleta issue za akina Madelu hapa ni kumpa faraja ya muda tu Bashite!Wana Jamvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.
Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.
Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.
Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.
Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?
Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!