Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Mkuu usijifanye kama huelewi kitu gani kinaongelewa, naelewa una uelewa lkn mazingira sio sahihi ya kusema vyenginevyo, kwa hapo nitakuelewa, na hilo linakufanya wewe kukosa haki ya msingi ya ku comment.

You are too emotional to get involved kwenye discussion hii.

You need to put yourself together ! Think really hard

- hahahahahahaha umekuwa Mungu unayetumia majina ya bandia maana sasa una uwezo wa kujua mawazo yangu hahahahahahahaha wewe ni Mungu yupi wa JF? hahahahahahahhahaha

le Mutuz
 
- hahahahahahaha umekuwa Mungu unayetumia majina ya bandia maana sasa una uwezo wa kujua mawazo yangu hahahahahahahaha wewe ni Mungu yupi wa JF? hahahahahahahhahaha

le Mutuz

We mwisho, ile akili kubwa iko wapi Mkuu,?

Fanya staha ya heshima na hekima, both of them zinashabihiana, na wewe utaheshimiwa don't act stupid kwa emotion za watu, na maisha ya watanzania, ukajihisi uko above the furore.
 
We mwisho, ile akili kubwa iko wapi Mkuu,?

Fanya staha ya heshima na hekima, both of them zinashabihiana, na wewe utaheshimiwa don't act stupid kwa emotion za watu, na maisha ya watanzania, ukajihisi uko above the furore.

- hahahahahaha tatizo mmeingia humu juzi tu so hamjui how this game is played pole sana sijakusoma what is your point here boss?

le Mutuz
 
- hahahahahaha tatizo mmeingia humu juzi tu so hamjui how this game is played pole sana sijakusoma what is your point here boss?

le Mutuz

Kwa hio you have rightful ownership juu ya haki ya kutoa maoni humu JamiiForums, is that implies to your friend Makonda as well ..na hapo ndio nazidi kuingia majonzi ya viongozi wa nchi hii, imagine yourself afisa au mkurugenzi fulani with that attitude..

Mkuu ni shida sana kusoma mood ya watu au kuwa mjinga wa nini kinaongelewa, au both, the best you can do is insult others and skipping the bigger issue, na hatma yake kujivisha kutoelewa sasa my question to you Mkuu, with due respect akili kubwa iko wapi?

Lakini nitajijibu kutokana na majibu yako, I get you, everything to you is just a game, I have better understanding how you conduct yourself, keep revealing your character between the words.

Nimekosoma Mkuu
 
Kwaiyo mlivyokuwa mnamwita Dr Slaa ndiye Rais na mkaanza kurudia rudia huo uongo. Je Slaa alikuwa Rais? Hoja hiyo ya NAPE mmeamua kukubaliana nayo, lakini hoja zingine kama vua gamba vaa gwanda sababu ya Ufisi hamtaki kuzisikia.
Ww unatapatapa
 
Hizi tuhuma ni nzito na kweli anatakiwa kuhakikisha anafanya uhakik .

Nasikia mwenye vyeti vyake huyo Paul Christian yupo tabora ni mtangazaji redio za huko na ni mlemavu flan mkono
843494b9ec07bbc6f67dcf087bf64d33.jpg
ce1c8bb44aa1de4a876e3a9fc94eba9b.jpg
3460abfd866ed4abb4003cd39b5f58ab.jpg
1fc9a73179a75bf64258197fbe6589a7.jpg
Ni kweli huyu jamaa yupo hata uki-google unamwona, na ni kweli ni Mtangazaji wa radio moja huko Tabora. Swali langu ni kwamba, kwa nini hata yeye hajatoa statement yoyote kama yanayosemwa ni kweli??? au yeye mwenyewe ndiye alitoa habari kwa Mange. Kwa anayetaka, naweza kumpa namba yake ya simu ili amvutie waya na kumwuliza.
 
waliosoma na makonda sekondari, watiririke hapa

Kweli kabisa. Nina hakika kuna watu humu wamesoma na Mh kwenye hiyo shule ya Pamba? au Buwelu kama inavyosemwa. Lakn pia wapo hapa waliosoma na huyo jamaa mwingine.. kwa nini wasije kutiririka hapa ukweli ukajulikana????
 
Lakini Mh mwenyewe ameanzisha huu utaratibu wa kutuhumu watu publicly bila kuwa na ushahidi. Ndiyo maana akawataja akina Mbowe, Manji na wengineo bila kuwa na ushahidi. Kwa vile tunapenda political correctness, tuvumilie pia backlashes..
 
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo looted, ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi wa mtu, truthfulness na the audacity kunyooshea watu vidole kumbe. ..

Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.

Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mae. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?

Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,

Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina

sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Paul Makonda.



Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri teu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.

RC Makonda huu ni upepo wa wafitini wako, wenye chuki binafsi na wafuasi wa wale kujivua gamba na chadema ambao wanataka kutumia VITA uliyoanzisha ya Wauza Madawa y Kulevya kama platform ya kukushambulia. Simama imara Mungu yuko nawewe utashinda na utavutagh'ambo.
Bila wewe hatua iliyofikiwa sasa na serikali ya awamu ya tano kwenye kupambana na biashara haramu ya "unga" ISINGEKUWAHAPO. Mungu akupe moyo na akulinde
 
- Cha msingi kama mna ushahidi mngemshitaki RC Mahakamani kuliko kuhangaika namna hii inasikitisha, yaani badala ya kuongelea njia za kupambana na madawa ya kulevya sasa ni vyeti? huzuni sana hii
le Mutuz
Mkuu Brother Wille, with due respect kwa heshima na unyenyekevu nakushauri tunza heshima yako kidogo iliyobakia.

Wewe sio tu ni senior member bali ni mwanachama mwanzilishi na nadhani ndio wale mmoja wa jf owners kabla haijawa kampuni.

Tangu jf imeanzishwa kazi yetu ni kukata tuu issues, kama ni issue nzuri tunafagilia kama issue yenye utata tunamkoma nyani giladi bila kumwangalia usoni.

Jina la thread ni hili
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?.

Kwa uelewa wako finyu, umeelewa nini hapo, kuna elements za yoyote kutaka kwenda mahakamani?,

Tangu umeanzisha jf, tuhuma ngapi zimemwagwa humu, kuna ushauri wowote wa kwenda mahakamani uliwahi kutoa?au kuna yoyote aliyetuhumiwa humu jf iliwahi kumpeleka mahakani hivyo na hii ya Makonda twende mahakamani? . Katika bandiko hili kuna mahali popote tumeonyesha kuna yoyote ana kosa lolote la kushtakika Mahakamani?.

Tuhuma kama hizi zilipoanzia kwa Dr.Kigwa kmbona hukutoa ushauri huu? .
Tuhuma kama hizi zilipotolewa kwa Mwigulu Nchemba mbona hukutoa ushauri kama huu? . What is so special utoe ushauri kama tuna ushahidi twende mahakamani for what?.

Kwa taarifa yako wengine tunamkubali sana huyu dogo tangu akiwa DC wa Kinondoni na tukampigia chapuo Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Na baada ya kazi nzuri ya kuwakoma giladi mapapa wa unga, tukampigia chapuo kubwa zaidi Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Ili ndoto yetu hii itimie, kukitokea makandokando yoyote, lazima yawekwe kando kuyanyoosha mapito yake yasiwe na mawaa.

Paskali
 
Back
Top Bottom