Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Kwani Makonda ataonewa??.Anyways Makonda hatatumbuliwa, watatumbuliwa kabila zingine lkn Msukuma yeyote ktk hilo zoezi atakuwa wa mwisho kutumbuliwa na ni baada tu ya shinikizo kubwa.This is a SUKUMA time.
Mtu ukiishiwa hoja sio lazima uchangia. Wengine mpite tu. Hofu yako sio yetu. Wengine sio wasukuma lakini wanaendelea kuula. Uchapa kazi wako ndo unakufanya uwe nguzo imara na hata kutumbuliwa inakua ngumu kidogo.
 
lakini KUBENYEA na MBOWE wote wana MAGUMASHI KWENYE elimu yao na hadi kwenye profile ya bunge wanajua , makonda anawezakuww ana makandokando yake , nguvu ya mwanahalisi na TANZANIA DAIMA inayotumiwa dhida ya makonda inatakiwa iwe hivyo hivyo pindi swala la MBOWE litakabyoanza kushadadiwa
Kama hao uliowataja wana makandokando katika Elimu, basi si lazima liwe Mwanahalisi na Tanzania Daima.. Hata Uhuru, TBC, Majira etc wanaweza kulibebea bango.. Muhimu, watupe details tu... Wengine hatuangalia jina la chombo cha habari bali content iliyoshiba mkuu!
 
Kisheria aliyetumia jina la mtu mwingine toka s/m na akafanya mtihani yeye na kupata cheti cha sm yeye mwenyewe hana hatia ya kufoji vyeti lakini mtu aliyechukua cheti cha mtu mwingine yaani yeye hakufanya mtihani bali alichukua cheti cha mtu na kujifanya ni yeye, ana hatia ya kugushi elimu na cheti na adhabu yake kama ushahidi upo ni miaka saba jela
Kutumia jina mtu mwingine ukajifanya wewe ni yeye hata kama umefanya mtihani wewe no kinyume cha sheria. Unaidanganya serikali. Hii ni treason case
 
FIVE STAGES OF DYING
1. Denial and Isolation:
Used by almost all patients in some form. It is a usually temporary shock response to bad news. Isolation arises from people, even family members, avoiding the dying person. People can slip back into this stage when there are new developments or the person feels they can no longer cope. Hapa Isolation imetokea baada ya yeye kuamua kuondoka na kwenda South Africa, physical isolation.

2. Anger: Different ways of expression: Nina Vyeti ila wanafanya hivi kwajili ya Vita vya Madawa ya Kulevya, nitawashughulikia, sitakata tamaa

-Anger at God: "Why me?" Feeling that others are more deserving. Kwenda Kuombewa kwenye Nyumba za Ibada kial mahali ili kujua kwanini Mungu Ameruhusu hayo yatokee.


3. Bargaining: A brief stage, hard to study because it is often between patient and God.

-If God didn't respond to anger, maybe being "good" will work.

-Attempts to postpone: "If only I could live to see . . ." Pengine nikipata PhD hata ya heshima yataisha haya mambo

4. Depression: Mourning for losses

-Reactive depression (past losses):
Kama RC Makonda atatumbuliwa peke yake sitakubali,Haki itendeke kwa wote MAHANJU

-Preparatory depression (losses yet to come): dependence on family, hii ndio inatokea huko aliko sasa

etc.

5. Acceptance: This is not a "happy" stage, it is usually void of feelings. It takes a while to reach this stage and a person who fights until the end will not reach it. It consists of basically giving up and realizing that death is inevitable.

Hii ndio itakua final stage, nazungumzia POLITICAL DEATH

Poleni sana sana KARMA
 
Kijana huyu nibrafiki yangu kipenzi NIkas makoye nilisoma nae songea boys miaka hiyo.tulimaliza nae shule 1999.f4akiwa timamu na bright. Lkn hivi karibuni nimekutana nae maeneo ya MK kinondoni.very sad.madawa ya kulevya yamemfikisha hapa.lkn Luna waliopata utajiri Wa kila aina kwa kumuharibu kijana huyu.

Haijalishi vita hiii inapiganawaje ??!haijakishi babako,kakayako,mamayako na ndugu na jamaaa zako unaowapenda wanauza unga Wa kuharibu vijana hawa je ungefurahi ndugu yako kua hivi?????????????

*VITA HIII LAZIMA IENDELEEE KWA AINA ZOTE ZA SILAHA TUSIWASHUPALIE WAPIGANAJI KWAKUA TU WAMEZIDISHA MAKONDE AU MANGUMI MAKONDE MAZITO YANAWAPAPASA WASIOUZA LA HASHA MAPAMBANO YAENDELEEE KUTOKUPAKA PODA KWA MPIGANAJI MAHILI VUMBI LA VITANI LAWEZA KUWA BORA KULIKO PODA ALIYOIACHA VITA IENDELEE NA SOTE TUSHIRIKI TUNATAKA KUTOKOMEZA UNGA HATUTAKI VYETI*
Huwa nakasirika sana nionapo eti Makonda au Bashite MNA nuhusisha na vita ya madawa ya kulevya kwa vile alitaja hadharani watumiaji na kuwaacha wauzaji ambao ni rafiki zake.
Kweli watu na akili zetu tutasema huyo ni mpambanaji? Unamwambia muuzaji eti tuonane wiki ijayo nikakupekue? Hata mtoto atakudharau.
Mwenye jukumu hilo kamishna Sianga kasema upuuzi huo hawawezi kuufanya na sasa hivi wanafanya kazi kwa weledi mkubwa.
Lengo la Makonda lilikuwa la kujipandisha kisiasa ila katumia ngazi mbovu imevunjika na kumvunja kiuno.
Mwacheni aucheze muziki aliouimba mwenyewe. Kuna msemo,mchimba kaburi anaingia mwenyewe.
Ni hatari sana kutaka kuwa juu kwa kusimama kwenye mabega ya wenzako, wakichoka watakutupa tuu.
 
Kisheria aliyetumia jina la mtu mwingine toka s/m na akafanya mtihani yeye na kupata cheti cha sm yeye mwenyewe hana hatia ya kufoji vyeti lakini mtu aliyechukua cheti cha mtu mwingine yaani yeye hakufanya mtihani bali alichukua cheti cha mtu na kujifanya ni yeye, ana hatia ya kugushi elimu na cheti na adhabu yake kama ushahidi upo ni miaka saba jela
Je sheria inaruhusu kukariri darasa la saba?
Iwe kwa jina lako au la mtu mwingine.
 
Back
Top Bottom