Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Mkuu Brother Wille, with due respect kwa heshima na unyenyekevu nakushauri tunza heshima yako kidogo iliyobakia.

Wewe sio tu ni senior member bali ni mwanachama mwanzilishi na nadhani ndio wale mmoja wa jf owners kabla haijawa kampuni.

Tangu jf imeanzishwa kazi yetu ni kukata tuu issues, kama ni issue nzuri tunafagilia kama issue yenye utata tunamkoma nyani giladi bila kumwangalia usoni.

Jina la thread ni hili
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?.

Kwa uelewa wako finyu, umeelewa nini hapo, kuna elements za yoyote kutaka kwenda mahakamani?,

Tangu umeanzisha jf, tuhuma ngapi zimemwagwa humu, kuna ushauri wowote wa kwenda mahakamani uliwahi kutoa?au kuna yoyote aliyetuhumiwa humu jf iliwahi kumpeleka mahakani hivyo na hii ya Makonda twende mahakamani? . Katika bandiko hili kuna mahali popote tumeonyesha kuna yoyote ana kosa lolote la kushtakika Mahakamani?.

Tuhuma kama hizi zilipoanzia kwa Dr.Kigwa kmbona hukutoa ushauri huu? .
Tuhuma kama hizi zilipotolewa kwa Mwigulu Nchemba mbona hukutoa ushauri kama huu? . What is so special utoe ushauri kama tuna ushahidi twende mahakamani for what?.

Kwa taarifa yako wengine tunamkubali sana huyu dogo tangu akiwa DC wa Kinondoni na tukampigia chapuo Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Na baada ya kazi nzuri ya kuwakoma giladi mapapa wa unga, tukampigia chapuo kubwa zaidi Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Ili ndoto yetu hii itimie, kukitokea makandokando yoyote, lazima yawekwe kando kuyanyoosha mapito yake yasiwe na mawaa.

Paskali
Paskali wacha kung'ata na kupuliza hizo ni tabia zakike badilika
 
Albert...Hili jina lina "bahati". Angalia hapa: Mkumbo ALBERT Madelu. Na sasa Daudi ALBERT Makondakta... (Kwa sauti ya Kondakta )Oyaaaa, mna HARIBU majina yetu bwana nyiee!
 
Paskal Mayala tupige vita madawa ya kulevya vijana wetu wanaangamia.Paul Makonda amepuliza tarumbeta kitu ambacho viongozi wengi kimewashinda.

Najua kila mmoja atatafuta taarifa za Makonda ili mradi tu ziwe ni za kumkatisha tamaa na hii ni tabia ambayo tumekuwa nayo sana watanzania pale anapojitokeza MTU kugusa maslahi yao.

Biashara hii INA mtandao mkubwa ndani na nje ya Serikali na wengi wakubwa hawajapenda pale Makonda alipolianzisha.

Kuhusu majina hilo ni personal Sina comment labda wenye taarifa.ila kwangu si la msingi sana maana hata Mimi najua kuna watu wengi tu wamesoma na majina ya watu wengine miaka ya nyuma ilikuwa kama kawaida toka primary.

La msingi kwangu mimi ni hii vita ya madawa ya kulevya lazima tupigame wote na tu support juhudi za Makonda na sio kuanza kuzizima kwa namna yoyote ile.
Jina halisi lina mantiki gani kama kazi inafanyika.Aitwe Kobe au vyovyote vile watanzania wanataka kuona mtu mwenye kuthubutu kufanya kitu wengine kinawashinda
 
Habari za mchana wa jf matumaini yangu ni wazima wa afya kabisa ...bila ya kupoteza muda ngoja twende kwenye mada moja kwa moja

leo nilikuwa kwenye page ya bwana Daudi nikaona binti mmoja ka comment kwenye picha moja ya muheshimiwa RC akimtakia heri ya kuzaliwa
Mi nazani tunaweza kumtumia huyu binti kutupa taarifa za bwana Bashite ili yake

Binti huyu anatumia jina la dorienassey kwenye ukarasa wa instagram
f1fe24a13462776963280db94e1db6ea.jpg

61cd6f140b9eb9627510c33c6174ac6c.jpg
 
Hahaaha Nimecheka eti ka heshima na ka busara kalikobakia Jamaa mburula hili kubwa jinga..miaka ya kustaafu kubwa zima lina ac kama teenager eti linajiita jitu la ma beibe hahaha hovyo! Kama awamu zote hizi hawakuoni wakupe madaraka umebakia kuwa mpambe mpambe wa Daudi Bashite hadi unatoka mapovu kwa lipi? Huoni aibu lakini wewe Babu?? Heri ukajifunze uganga upige hela kuliko kutumwa na wanao kwa mademu zao........
Mkuu Brother Wille, with due respect kwa heshima na unyenyekevu nakushauri tunza heshima yako kidogo iliyobakia.

Wewe sio tu ni senior member bali ni mwanachama mwanzilishi na nadhani ndio wale mmoja wa jf owners kabla haijawa kampuni.

Tangu jf imeanzishwa kazi yetu ni kukata tuu issues, kama ni issue nzuri tunafagilia kama issue yenye utata tunamkoma nyani giladi bila kumwangalia usoni.

Jina la thread ni hili
Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?.

Kwa uelewa wako finyu, umeelewa nini hapo, kuna elements za yoyote kutaka kwenda mahakamani?,

Tangu umeanzisha jf, tuhuma ngapi zimemwagwa humu, kuna ushauri wowote wa kwenda mahakamani uliwahi kutoa?au kuna yoyote aliyetuhumiwa humu jf iliwahi kumpeleka mahakani hivyo na hii ya Makonda twende mahakamani? . Katika bandiko hili kuna mahali popote tumeonyesha kuna yoyote ana kosa lolote la kushtakika Mahakamani?.

Tuhuma kama hizi zilipoanzia kwa Dr.Kigwa kmbona hukutoa ushauri huu? .
Tuhuma kama hizi zilipotolewa kwa Mwigulu Nchemba mbona hukutoa ushauri kama huu? . What is so special utoe ushauri kama tuna ushahidi twende mahakamani for what?.

Kwa taarifa yako wengine tunamkubali sana huyu dogo tangu akiwa DC wa Kinondoni na tukampigia chapuo Nimemkubali Sana DC Makonda, anafaa kuwa Mkuu wa Mkoa Dar es Salaam

Na baada ya kazi nzuri ya kuwakoma giladi mapapa wa unga, tukampigia chapuo kubwa zaidi Baada ya Magufuli, 2025 Makonda atatufaa sana, kwasababu ana uthubutu kuliko hata JPM!. Apunguze...

Ili ndoto yetu hii itimie, kukitokea makandokando yoyote, lazima yawekwe kando kuyanyoosha mapito yake yasiwe na mawaa.

Paskali
 
Uwongo ukisemwa sana na kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, hugeuka ukweli.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzito

Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha? !.

Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu, inamaanisha ni silence which means yes!.

Hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri tuu, au mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has to usafi binafsi wa kiongozi if honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.
Jambo hili limesemwa na linachafua hadhi ya mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, hivyo kuondoa mzizi wa fitina Makonda aweke vyeti vyake hadharani maana bila kufanya hivyo watu wataendelea kuamini taarifa hizi kwamba anatumia cheti cha mtu, Makonda akumbuke kwamba uongo ukisemwa na kuachwa sana hugeuka kuwa ukweli, hivyo basi afanye hima kujisafisha na tuhuma hizi za kutumia cheti cha mtu.

Akumbuke wapo wengi wakituhumiwa lakini mwisho wa siku waliweka mambo hadharani na ukweli ukajulikana, hakuna fedheha mbaya kama kutumia vyeti vya mtu au kutuhumiwa kutumia vyeti vya mtu hivyo Mhe afanye hima kujinasua na kadhia hii kwa kuweka vyeti vyake hadharani, huenda kweli anaonewa kulingana na harakati zake na uongozi wake, njia nzuri ya kujinasua na kuwaziba mdomo wabaya wake ni kuweka hadharani vyeti vyake vya kidato cha nne.
Uwongo huu sasa ama unakaribia kuwa ukweli, or soon, karma will take its toll!.

Paskali
 
utetezi umeanza.

PAUL MAKONDA:

1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.

2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite

3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.

4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).

5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.

6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.

7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).

8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.

9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.

10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.

11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.

12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.

13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).

14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).

15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.

16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.

17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).

18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite

19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.

20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.
 
Wanajmvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.

Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.

Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.

Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.

Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?

Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!
 
Wana Jamvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.

Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.

Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.

Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.

Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?

Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!
Kuna tofauti kubwa kati ya sakata la Mwigulu na lile la David Bashite. Mwigulu (kwa maelezo yaliyotolewa) alirudia darasa na kutumia jina la mtu mwingine wakati akirudia. Utaratibu kama huo huko nyuma ulikuwepo sana; yaani watu walikuwa wanafeli halafu wanaenda kurudia kwenye shule nyingine. Kuna taarifa Profesa Muhongo alirudia mara saba kabla ya kufaulu! Kujaribu kuleta issue za akina Madelu hapa ni kumpa faraja ya muda tu Bashite!

Tuhuma zinazomkabili Bashite ni kwamba alifeli kidato cha nne (alipata ziro), akachukua (kununua?) vyeti vya mtu mwingine ndio akaingilia katika chuo cha uvuvi Mwanza na kuendelea hadi kuwa bosi wa chipukizi ya chama chetu, DC Kinondoni na sasa RC Dar es Salaam! Mkuu hapa kuna kesi ya jinai ambayo mtu akipatikana na hatia, na mahakama ikafanya kazi kama JPM anavyotaka zifanye, Bashite anakula mvua saba mapema tu. Yaani kiuhalisia wakati wewe unaleta andiko lako hapa Bashite alitakiwa awe anamalizia kuandika maelezo polisi tayari kwa kufikishwa kortini kujibu jinai nyingi ambazo ziko ndani ya sakata hilo!
 
Back
Top Bottom