Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 53,770
- 121,823
Wanabodi,
Declaration of interest. Mimi Paskali Mayalla ni mwandishi wa habari wa kujitegemea mwenye uwezo wa kufanya investigative story kuhusu jambo lolote ila nimeamua kujikita kwenye kuandika developmental news only zenye maslahi kwa taifa, hivyo hii hoja kwenye uzi huu haina maslahi yoyote kwa taifa hivyo siifanyii uchunguzi, ila ina maslahi kwa usafi binafsi wa mtu, on truthfulness and the audacity kunyooshea watu vidole kuhusu uadilifu, kumbe. ..
Uwongo ukisemwa sana na kuachwa kurudiwa rudiwa bila kukanushwa, mwishowe hugeuka ni ukweli.
Kuna tuhuma za wanafunzi waliokuwa vibonde darasani wakafeli, kisha wakachukua majina ya vipanga wakaendelea na masomo na hatimaye kufanikiwa.
Tuhuma kama hii ilianzia kwa Mhe. Dr. Hamisi Kigwangala akaikanusha. Jina la Said Nassor Bogoile ndiye Hamis Andrea Kigwangalla?
Kisha ikaja kwa Mhe. Mwigulu Nchemba naye akaikanusha,
Majibu ya Waziri Mwigulu Nchemba kuhusu tuhuma za kughushi vyeti vya taaluma, kuiba jina
Sasa tuhuma kama hii imeibukia kwa Mkuu wa Mkoa wetu wa Dar es Salaam, Mheshimiwa sana, Paul Makonda.
Jee kuna ukweli wowote juu ya hili au ni wivu tuu na wazushi wanaomuonea kijicho kijana kuwa the 2i/c (two I .C) baada ya top, hivyo wanamzushia na kumzulia ili kutaka kumshusha tuu?!.
Jee tuhuma hii iliwahi kukanushwa popote?. Tuhuma ikitolewa isipo kanushwa, hata kama ni kwa ku ignore tuu kwa kukaa kimya, hiyo silence ni ama inamaanisha its true na mtu ameshikwa ready handed hana kitu cha kukanusha, hivyo ni silence which means yes!, or amedharau na kuiona ni jambo la kipuuzi kabisa halihitaji hata kujibiwa zaidi ya kupuuzwa!.
Jee hii kitu inaweza kuwa kweli?!.
Nauliza tuu! .
NB.Kwa msio jua uteuzi wa mtu kuwa RC hauhitaji sifa wala vigezo, hivyo hata kama mtu aliishia darasa la 7 anaweza kuwa RC mzuri tuu kama ilivyokuwa Yusuf Makamba, na mtu aliyepata Div 0 anaweza kuwa kiongozi mzuri kuliko Ph.D holder, kama alivyo Ole Sendeka, hivyo bandiko hili has nothing to do with u RC wa Makonda, it has something to do with uadilifu, integrity, uaminifu na usafi binafsi wa kiongozi if acting honestly and truthfulness ni miongoni mwa sifa za kiongozi bora. Hii inaitwa
Academic Dishonesty , kwa mtumishi wa umma ni serious allegation
Paskali.

Mwigulu, Kigwangalla, Makonda jibuni tuhuma hizi nzitoinasemekana Daudi Albert Bashite alinunua vyeti vya mtangazaji Paul Christian Magezi.
Kwa wale waliosoma naye primary na secondary hebu tujulishe. Ni kweli hapo nyuma Alikuwa akiitwa Daudi Albert Bashite, ila alipopata division 0 ndyo akanunua cheti Paul Christian?.
Nasikia mwenye vyeti vyake huyo Paul Christian yupo tabora ni mtangazaji redio za huko na ni mlemavu flan mkono![]()
![]()
![]()
![]()
CV YA PAUL MAKONDA:
1. Alizaliwa tar.15/02/1981 katika kijiji cha Koromije, wilaya ya Misungwi, mkoa wa Mwanza.
2. Majina yake halisi ni Daudi Albert Bashite
3. Alianza darasa la kwanza mwaka 1988 katika shule ya msingi Koromije akitumia majina ya Daudi Albert Bashite. Mwaka 1991 alifeli darasa la 4, akarudia.
4. Mwaka 1992 alifeli tena na hivyo akahamishiwa Mwanza mjini, ili aweze kusoma na kupata masomo ya jioni (tuition).
5. Mwaka 1996 alihitimu darasa la 7 lakini hakuchaguliwa kuendelea na elimu ya sekondari katika shule ya serikali.
6. Mwaka 1997 akajiunga na kidato cha kwanza shule ya sekondari ya Pamba.
7. Mwaka 2000 akahitimu kidato cha 4 na kupata daraja sifuri (division zero).
8. Mwaka 2001 akatumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge (chenye div.3 ya points 25) kujiunga na chuo cha uvuvi Nyegezi (Nyegezi Fisheries Training Institute) kwa masomo ya Certificate akahitimu mwaka 2002.
9. Mwaka huohuo 2002 akitumia cheti cha Ndg. Paul Christian Muyenge, alijiunga na Chuo cha uvuvi Mbegani Bagamoyo kwa masomo ya Diploma ya uvuvi (ORDINARY DIPLOMA IN MASTER FISHERMAN, NTA LEV.6), na kuhitimu mwaka 2005.
10. Mwaka 2003 alikutana na Ndg. Benjamin Sitta (mtoto wa Marehemu Samwel Sitta, ambaye ni Meya wa Kinondoni kwa sasa). Wakawa marafiki.
11. Mwaka 2005 baada ya kuhitimu Stashahada yake ya uvuvi, aliomba admission Chuo cha Kilimo Sokoine kusoma shahada lakini akakosa nafasi.
12. Baada ya kukosa nafasi alienda kuishi nyumbani kwa Marehemu Sitta akiwa kama rafiki wa Ben (mtoto wa Sitta). Kwakuwa alitoka familia duni, Sitta aliahidi kumsomesha elimu ya juu.
13. Mwaka 2006, alipata udahili Chuo cha ushirika na biashara Moshi (wakati huo kikiwa chuo kikuu kishiriki cha SUA), kwa kutumia vyeti vyake vya certificate (ya Nyegezi) na diploma (ya Mbegani).
14. Alidahiliwa kwa course ya BA in Cooperate Management & Accounting. Mwaka 2007 alimaliza first year lakini akashindwa kuendelea na 2nd year baada ya kupata Suplementary 6 kati ya Course 8 alizokuwa akisoma (akawa discontinued).
15. Mwaka huohuo 2007 akaomba Admission upya. Akamaliza first year akiwa na carries 3 ambazo alienda nazo 2nd year. Mwaka 2008 akiwa 2nd year akapata supplementary 4 kati ya course 8 alizokua akisoma. Akawa na mzigo wa carry over na supplementary. Akaamua kuacha chuo.
16. Mwaka 2008 akaenda kujaribu kuomba udahili chuo kikuu SUA kwa mara nyingine lakini akakosa.
17. Mwaka 2009 akarudi tena MUCcoBS kwa udahili mpya. Akaachana na CMA akachagua Community & Economic Development (CED).
18. Mwaka 20012 akahitimu shahada ya kwanza ya Community & Economic Development kwa jina la Paul C Makonda badala ya majina yake halisi ya Daudi Albert Bashite
19. Jina Makonda analitumia baada ya kula kiapo mahakamani kubadili jina. Cheti cha Form four kinasomeka Paul C Muyenge lakini vyeti vya elimu ya juu vinasomeka Paul C Makonda baada ya kuapa mahakamani.
20. Ndugu Daudi Albert Bashite ameoa (tangu mwaka 2009) lakini hajabahatika kupata mtoto. Na ndiye Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam kwa sasa.