Baada ya Dr.Kigwangala, Mwigulu, sasa ni zamu ya Makonda kuhusu jina, hii inaweza kuwa kweli au?

Mwigulu alishaeza hapa kwamba yeye alirudia shule ndo akapewa jina la mtu aliyeacha shule akafanyia mtihani na akafaulu. Tofauti na huyu Bashite anayedaiwa kufeli kisha kanunua cheti cha mtu aliyefaulu mtihani huo ulomshinda kaifanya yake. Kagushi cheti. Kugushi cheti cha mtu ni kosa la jinai. Kuhusu Kigwangala sina maelezo ya kina.
 
Wana Jamvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.

Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.

Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.

Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.

Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?

Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!
Wauza madawa na vibaraka wao ndio wapo kazini kumshughulikia Makonda. Yaani naomba kwa Mungu Mashetani baradhuli mauaji haya yashindwe na hila zao.
 
Mwigulu hakufeli bali aliacha shule kwenda kuchunga mbuzi, kisha akarudi shule kwa jina hilo, alisoma yeye mwenyewe, akafaulu, akasoma shule ya vipaji Ilboru, akatoka na Div one kali, akaenda chuo kikuu akatoka na 1st Class akaajiriwa BOT.

Daudi Albert Bashite alisoma kijijini akafeli, akaenda kurudia mjini, akafeli, akapiga dili kuchukua nafasi ya mtu aliyepasi hivyo akasoma shule ya serikali kwa jina jingine, akapata Div 0. Ndipo mrembo Christina akampa cheti cha kaka yake Paul Christian alichowasilisha kusomea chuo.

Makonda amefoji jina na kufoji cheti, Mwigulu amesomea jina la mtu mwingine.
Uthibitisho: Mwigulu Nchemba ni majina bandia ila vyeti ni vya kweli
Paskali
 
Mbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.

Ishu sio kufeli wala kutokuwa na elimu ya kiwango tunachodhani kinatakiwa, ishu hapa ni matumizi ya vyeti/cheti visivyokuwa vya mhusika na kumfikisha katika nafasi ambayo asingeweza kwa kutumia vyeti vyake halisi.

Ni rahisi sana kutumia labels, nyumbu etc lakini jua ya kwamba hoja inafaa kujibiwa na hoja!
 
Wana Jamvi nimekuwa nikiangalia na kuona MAWE anayotupiwa RC Makonda kuhusu madai yanayohusu uhalali wa MAJINA na ELIMU yake.

Ninapoandika hivi sisemi Makonda hana mapungufu katika maamuzi na utendaji wake hasa wa juzi juzi, hata hivyo tukiangalia upande mwingine wa SARAFU yaonekana kuna ZAIDI ya CHETI, bali ni kutaka huyu RC afukuzwe kazi, ili WENGINE WAFURAHI.

Kwanza kabisa PROFILE ya Makonda ILIVUJWA maksudi kwa sababu ya watu walio na SABABU zao mbaya ili aonekane mbele ya Mwajiri wake ambaye ni rais kwamba yeye ni MHALIFU mkuu.

Na hivyo KUJARIBU kum influence mwajiri wake indirectly kutumia BLACKMAIL ili AMFUKUZE kazi.

Jambo hili limeendelea kwa muda sasa. Swali langu wanajamvi. Kabla ya kumtupia mawe turudi NYUMA.Waziri Mwigulu Nchemba alikuwa na issue kama hii, mbona ya Makonda kila mtu ANAMTUPIA MAWE?

Ni vizuri tusiwe na DOUBLE STANDARD katika kutoa haki bali tuwe FAIR/na USAWA. bila WIVU, UBAGUZI , na FITINA. Kama Waziri Mwigulu Nchemba HAKUJIUZURU basi TUMWACHE Makonda afanye kazi. Yeye si mkamilifu mara nyingi AMEJIKWAA je hilo ndo tumpe mob justice wampige mawe. ASIYE na DHAMBI na awe wa Kwanza kutupa JIWE!
Tofauti haipo mkuu. Uko sahihi. Hata hivyo haya mambo hapo zamani yalikuwa ya kawaida sana. Watu wengi hawakupenda shule kwa kuwa waliamini maisha si shule. Watu waliopenda shule waliappeal na kutumia majina ya watu. So, kwangu hakuna kesi kiivyo. Kama mtu anaperform aachwe maana vyeti is not an issue. Kuna watu wana vyeti but they have no brain. Let vijana wafanye kazi na tuache majungu.
 
Mwigulu alishaeza hapa kwamba yeye alirudia shule ndo akapewa jina la mtu aliyeacha shule akafanyia mtihani na akafaulu. Tofauti na huyu Bashite anayedaiwa kufeli kisha kanunua cheti cha mtu aliyefaulu mtihani huo ulomshinda kaifanya yake. Kagushi cheti. Kugushi cheti cha mtu ni kosa la jinai. Kuhusu Kigwangala sina maelezo ya kina.
Kurudia shule kwa kutumia jina la mwingine kuna tofauti gani na mnachokisema? Mjitafakari. Hahahahaaaaaa. Watanzania ni kiboko. Huwezi tofautisha kesi ya mwigulu na wengine weeengi na hii ya Paul. Jidanganyeni.
 
wewe umetumwa kumsafisha cha msingi mwambie atoe vyeti vyake hadharani ili kuua maneno ambayo aidha ya wabaya wake au wasema kweli,binafsi hata ikiwa ni kweli mteuzi wake au wanyumbani hawezi kumtumbua kwani ni mtu ambaye amekuwa akimpa sifa kupitiliza na itaonekana uteuzi wake alikosea lakini kuzuri msg sent & delivery,nchi hii hakuna msafi hasa ccm!
 
Mbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
KWANI MBOWE ANATUHUMA GANI?
MBOWE ALIPATA ZERO FORM SIX, HII SIYO TUHUMA.
TATIZO LA MAKONDA KATUMIA CHETI SIYO CHAKE. KADANG'ANYA.
 
Mbowe ana tuhumu kuhusu elimu yake, Mwigulu na Kigwangala pia wana tuhuma, hao wote hawaguswi ila anayepigiwa kelele ni Makonda tu. Tena ukiuliza kuhusu Mbowe ndio utaambiwa elimu si uongozi.
Watanzania wengi ni manyumbu na wanafiki kupita maelezo.
Mbowe ana tuhuma ya kugushi vyeti au cheti?, umewahi kusikia sehemu mbowe alitumia cheti cha mtu cha primary, au sekondary? Kama alifeli hata kama ni kwa kupata zero na kakomaa na zero yake hiyo mpaka sasa au kajiendeleza kwa mifumo mingine rasmi hiyo haituhusu, hata makonda kufeli kwake siyo hoja haoja kubwa hapa ni kutumia cheti cha mtu kinyume cha sheria. Kwa issue ya kufeli mbona olesendeka hashambuliwi na ana zero mbona kibajaji hashambuiliwi? Hapa hoja ni kutimia cheti cha mtu siyo kufeli kwani yeye kawa wakwanza kufeli?
Ni lini mbowe amefoji vyeti ? Anzia hapo
 
Kama ni kweli Makonda amefanya hivyo basi tutakuwa na kiongozi hatari mno na akiachwa kupanda na kufikia uongozi mkubwa zaidi, tutahatarisha taifa na kuwa na taifa la wapiga dili kielimu kuwahi kutokea duniani. Kama imethibitika kuna ngojewa nini ashitakiwe mahakamani ili upatikane uthibitisho, kama asivyo onea huruma kuwa tangaza na kuwafedhehesha watu wengine bila kufanya uchunguzi wa kina basi tuchukue hatua kumshitaki mahakamani. Naona watu mnazungumza tu kama ni kweli hatuwezi kusubiri atumbuliwe apelekwe mahakamani ni kosa la jinai na hakuna aliye juu ya sheria. Na kama yuko safi ataachiwa na kusafishwa na mahakama lkn haya maneno tu kila siku hayana maana.
Lakini kama hakuna uthibitisho litakuwa kosa kumzungumzia kiongozi kwa kumsemea uongo tuache maneno maneno, ana uthubutu wa kufanya japokuwa kwa uwezo wake wa elimu na ufahamu wake ndiyo hayo makosa ya kutajataja watu bila hata uchunguzi wa kina. Naona nchi imekosa watu makini weledi na wenye uthubutu mpk hawa vijana wasio na weledi kufikia hapa, hana mtu wa kumuongoza na hapokei ushauri. Pia kuna kundi la matajiri wanaotaka kujinufaisha na jinsi alivyo wamejua uwezo wake wanachukulia nafasi. Ndiyo hao wanaompa mashamba feki
 
kinachozungumzwa ni wizi aka kugushi vyeti...ujambazi wa taaluma.hutaki majambazi yajadiliwe kwa ujambazi wao kisa wanatoa msaada ya kujenga misikiti na makanisa au kutoa mafungu manono kwa yatima?ujambazi utatukuzwa kwa njia hiyo ya kuficha maovu yao ?je hiyo ni halali ?tuubomoe huu ujambazi bila kujali mchango wa mhusika katika jamii.!
 
Kwa nini waandishi wa habari wasiligeuze hili suala la Paul Makonda kuwa ni habari ya kiuchunguzi ili kutoa uhakika ama kukanusha tuhuma dhidi ya Makonda kwamba kaghushi cheti? Shule alizosoma zimeshatajwa, mwaka aliozaliwa umejulikana, kwa nini waandishi wa habari wasiende kwenye hizo shule na kutafuta wale waliosoma mwaka mmoja na Makonda na kuulizia ili kuupata ukweli?

Ina maana darasa zima alilosoma Makonda wakati akiwa darasa la saba wanafunzi wake wote hawajulikani walipo? Kwa nini jambo dogo kama hili waandishi wa habari wanaliachia hadi linakuzwa na kuwa jambo kubwa bila ya sababu za msingi?
 
unataka watukanwe?? Juzi kati alimkoromea mwanahabari fulani hivi...Hili suala asipolitolea ufafanuzi wa kutosha na vivid evidence Basi watu watajua ni ukweli
 
Viongozi wengi wa CCM wanaogopa kufanya mambo kwa ujasiri na kujiamini kwasababu tu wengi wao wana MAKANDO KANDO mengi na ya aibu kwa taifa...huona bora kukaa kimya yaani kutofanya lolote juu ya mahalifu ya wengine kwa kuogopa/kuepusha na wao kuchekechwa.......Magufuri kazi Unayo baba!!!;
 
Back
Top Bottom