Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

Huwezi kumfananisha Saida na takeu japo wote walivuma katika enzi moja. Na ndio maana hata baada ya umaarufu wa awali kuisha bado Saida ameendelea kuhit kwenye shughuli tofauti za kijamii katika burudani lakini huyu mwingine alipotea kabisa.
Na sio ajabu katika wimbo wa diamond inaelekea wa zamani unaupa kick mpya. Hivyo clouds wanamwamsha mnyama aliyelala lakini huyu mwingine ni kama mnyama aliyezimia kama sio ku..a!
 
diamond mwnyw ukute kasetiwa na clouds kama mpango wa muda mrefu kumrudisha saida
 
Mr nice kachoka vibaya mwaka juzi tulikua nae hapa kahama alikuwa anakopa hadi chips za buku 2 halafu anaingia mitini
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom