Tetesi: Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli, E FM nao kumtoa Mr. Nice

Nimekuja muji wa daudi week sasa saida anapiga wapi hiyo show nikayarudi manyanga kabla sija rudi sumbakalesa
 
mi niko tofauti na wengi sana kuhusu saida hivi kipi kinakufanya ushabikie mziki wa saida au mziki wa kihaya???

Daily media zinahamasisha matumiz ya kiswhil ila leo promo kubwa ni kwa mwanamziki mhaya lugha had swag ni mhaya,
TUKUMBUKE TUNAYOYATOLEA MISHIPA
Hee! Mhhhh vipi mkuu,unamatatizo na lugha za asili?
 
Baada ya kututolea vipaji vipya mnaenda kufufua wazee, sasa MTU kama Mr Nice wa nini?

Muda wa mr nice ulishapita hivyo hata afanye nini kurudi kama Mr nice yule wa zamani aliyekuwa anafunga mitaa ni ndoto.

Tuwe tunakubali tu muda wetu ukipita basi tufanye shuguli nyingine.
 
Umuofia kwenu wakulu,
Baada ya Clouds kumpa promo ya nguvu Saida Karoli na kumrudisha kwenye gemu ya muziki kwa kishindo,inasemakana lakini, E-Fm ya Dar nayo imepanga kumrudisha Mr. Nice!

Clouds imempa promo saida Tanzania nzima wakasikia, sasa E Fm inataka kumpaisha mr Nice Dar tu?
 
Kama msanii alipotea kwenye mziki kwanini watumie nguvu kubwaa kuwaludisha wakati wanatambulika na jamii?
Mimi naona wangeweka nguvu kwa wasanii wachanga/wasiotambulika, ila sio Saida wala Mr. Nice ambao walijulikana ndan na nje ya nchi hawa watumie uwezo wao/mzik mzur sababu washajulikana kitambo hikoo
 
Saida yuko vizur ni mwanamuziki ila promo anayopata na game la sasa sidhan ka ataweza himili wanamtwika mzigo mkubwa ambao hawezi yuko lakin kwa sasa nafasi yake haipo,,,,,,, ka mnakumbuka hao mawingu walishikia bendera singeli hadi akina man fongo wakatamba kutaka kuupeleka muziki huo nje kwa kupewa promo kubwa sasa wako wapi,,,,,,, hata saida hatodum atabaki kurudia nyimbo zake na kuzidisha mi makeups ili aonekane binti ila kachoka,,,,,,wakat ukuta


Hahahaha nimecheka hapo kwenye makeups ,ila wakina manfongo wametolewa na efm clouds walidandia tu treni kwa mbele
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom