RRONDO
JF-Expert Member
- Jan 3, 2010
- 51,759
- 107,941
Mnatoa order ya magari ya 500m halafu mnaingiza 20m leo kesho 35m keshokutwa 29m si usanii huu?Ninavyohisi mimi, hawa jamaa walijachunguza baadae (baada ya kulipa)wakakuta pengine bei ya wao kuagiza moja kwa moja ni ndogo, ikilinganishwa na bei waliyoambiwa na huyu ''bilionea''. Hii ikafanya waghairi na kutaka waagize wenyewe, hivyo waka-cancel order.