Baa la njaa: Handeni maembe yawa chakula kikuu

Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
kuna tatizo la ufahamu wako......aaaa kumbe wewe ni domokayaaaaa......
pole sana
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
akili gani unaitumia kusema maembe ni chakula??????
 
downloadfile-3.jpeg

swissme
 
Huo ndio uwezo wetu watanzania wengi tusioweza kufikiri. Mawazo mapya hatuyakubali ilhali wenyewe hatuwezi kufikiri, hata kama ukweli tunauona, tunaukataa kwa vile si desturi yetu ukweli huo kuishi miongoni mwetu. Kama ambavy tunatofautiana uwezo wa kubeba mizigo kutokana na utofauti wa ukubwa wa miili yetu hivyo hivyo tunatofautiana kufikiri, kama huamini fikiri halafu uibuke na hoja tofauti, isiwe kituko, kiroja wala matusi
Mkuu acha kuongea na kukejeli shida za wenzako kwa kujiona kwamba we una akili kuliko hao wenzako na ilhali Mungu bado yupo.
Sio kwa sababu una uhakika wa kula(kwa kuwa una kibarua au unakula kwa mzazi/shemeji) uanze kumtoa akili hao waliokumbwa na njaa,je wewe unaweza kuisha kwa kula embe tu?
Kilimo ndio chanzo chao cha mapato na chakula.Nchi nzima iko katika janga la ukame,hali ya hewa imethibitisha,viongozi wa dini wameshaona,BOT wameonyesha takwimu za upungufu wa chakula bado unaonyesha mapenzi ya chama au mtu.
 
akili gani unaitumia kusema maembe ni chakula??????

Sio sijatumia akili, inawezekana hata hizo akili sina. Hebu naomba unisaidie tafsiri ya chakula nini? na pia unitajie vitu vinavyoweza kujumishwa na kuitwa chakula. Naomba nisaidie ndugu yangu, naomba uniondoe katika ujinga
 
TUSIKILIZE KIDOGO PIA NA MAHUBIRI YA BABA ASKOFU MKUU, KUHUSU HILI BAA LA UKOSEFU WA CHAKULA NCHINI TANZANIA
 
Attachments

Kiongozi mwenye mapokeo ya kibinadamu ya kulia katika karne hii? Ok, sawa, huyu kiongozi aliyelia ana huruma sana na binadamu wenzake. Salaaaaale kazi kweli kweli, hivi jamani hivi vichwa vyetu Mungu alitupa tufugie nywele ama?
Siwezi nikakulaumu,kila mmoja na mapokeo yake katika nafsi yake,huwezi kushangaa mtu anakuta wenzake wamepata ajali na wanalalamika maumivu wengine wakacheka,wengine wakahuzunika,wengine wakapiga picha,wengine wakawasaidia. Hivyo kila mmoja na huruma aliyonayo ndani ya moyo. Kinachomliza ni kuchukua uhalisia wa mhusika na kujivisha yeye ila kama utaona hiki hakinihusu huwezi pata hisia. "Msiba usikie kwa mwenzako"
 
Embe moja ni elfu na miatano, zingine elfu moja.....soko la embe lipo hapahapa nchini tena sana. Maeneo yenye msimu wa maembe sasahivi wanakula sana maembe na ndio desturi ya kila mwaka....hata Ifakara morogoro wanakula sana maembe tena ukitembea mtaani utakuta mengine yapo chini yanakanyagwa kwa baiskeli, pikipiki na magari....embe hunawilisha mwili, hata ukienda haja kubwa utapata majibu ni tofauti na mtu asiyekula maembe. Ukiwa unakula embe kila anayepita anatamani naye ale sema wengi hukosa pesa ya kununulia hayo maembe. KULA MAEMBE SI KIPIMO CHA NJAA, kula embe ni fahari sana, waulize pia wakulima wa mpunga kuwa msimu wa kuvuna mpunga huwa wanashindia nini?..jamani hebu twende na wakati, njaa maeneo yenye vyakula HAIPO!
 
maembe ni chakula au matunda?.wewe uko dsm gani wanapokula maembe kama chakula?. Usiongee kwa vile una mdomo au kwakuwa wewe ni kada, watu kula na kushindia maembe ni shida kubwa sana labda kama ni marra moja.

Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
?
 
Embe moja ni elfu na miatano, zingine elfu moja.....soko la embe lipo hapahapa nchini tena sana. Maeneo yenye msimu wa maembe sasahivi wanakula sana maembe na ndio desturi ya kila mwaka....hata Ifakara morogoro wanakula sana maembe tena ukitembea mtaani utakuta mengine yapo chini yanakanyagwa kwa baiskeli, pikipiki na magari....embe hunawilisha mwili, hata ukienda haja kubwa utapata majibu ni tofauti na mtu asiyekula maembe. Ukiwa unakula embe kila anayepita anatamani naye ale sema wengi hukosa pesa ya kununulia hayo maembe. KULA MAEMBE SI KIPIMO CHA NJAA, kula embe ni fahari sana, waulize pia wakulima wa mpunga kuwa msimu wa kuvuna mpunga huwa wanashindia nini?..jamani hebu twende na wakati, njaa maeneo yenye vyakula HAIPO!
Jaribu kusoma pia kwenye sehemu yenye rangi nyekundu,usiishie kwenye kichwa cha habari
 
, maembe ni chakula au matunda?.wewe uko dsm gani wanapokula maembe kama chakula?. Usiongee kwa vile una mdomo au kwakuwa wewe ni kada, watu kula na kushindia maembe ni shida kubwa sana labda kama ni marra moja.

?

Huna haja ya kutukana, ukisema maembe sio chakula ni matunda haitoshi? Haya nishaacha uzwazwa, tafadhali naomba niambie matunda sio chakula? kama matunda sio chakula basi chakula maana yake nini? Naomba nisaidie tafsiri ya chakula ndugu yangu mwerevu
 
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Kuliko ukose akili bora ukose kichwa tujue vyote huna. [emoji82] [emoji82] [emoji83]
 
Siwezi nikakulaumu,kila mmoja na mapokeo yake katika nafsi yake,huwezi kushangaa mtu anakuta wenzake wamepata ajali na wanalalamika maumivu wengine wakacheka,wengine wakahuzunika,wengine wakapiga picha,wengine wakawasaidia. Hivyo kila mmoja na huruma aliyonayo ndani ya moyo. Kinachomliza ni kuchukua uhalisia wa mhusika na kujivisha yeye ila kama utaona hiki hakinihusu huwezi pata hisia. "Msiba usikie kwa mwenzako"

Hilo ndilo tulifahamulo sana, kutumia hisia kutatua matatizo badala ya kutumia ukweli, tuendelee na tutafika na emotions!
 
Kuliko ukose akili bora ukose kichwa tujue vyote huna. [emoji82] [emoji82] [emoji83]

Ukiwa huna majibu ya hoja ni vizuri pia ukaongelea vitu kwa ujumla namna hii maana kuongelea vitu mahsusi inahitaji tafakuri pana
 
Hilo ndilo tulifahamulo sana, kutumia hisia kutatua matatizo badala ya kutumia ukweli, tuendelee na tutafika na emotions!
Asante kwa kukubali kuwa maamuzi mengi mda huu hutolewa kwa emotions.na huwezi kuchukua maamuzi mazuri kabla hujalivalia jambo lenyewe uhalisia ili upate suluhisho lililosahihi
 
Back
Top Bottom