Sasa naanza kufahamu uelewa wako. Kwako wewe Tanzania na Burundi ni sawa kabisa kimazingira hata namna ya watu wanavyoishi au labda hivyo ndivyo unavyoamini. KuifahamuBurundi ni rahisi sana ukifika Mnanila kule Manyovu unaweza ukaingia bila basi au mabamba kule kakonko (Kibondo). Ungekuwa unajishughulisha nakuyafahamu mambo ungejua kuwa wakimbizi wa kirundi mpaka dakika hii wanpokelewa kule Kibondo ilhali Burundi hakuna vita. Kwa nini? Kwa sababu Burundi kuna njaa.
Mfumo wetu wa serikali za mitaa ni vigumu sana sana kuruhusu mtu agalagale na kufa kwa njaa unless kama hujui mfumo wa nchi jinsi ulivyo na hujui kamati za ulinzi na usalama zinafanyaje kazi. Narudia, ukiaminishwa kuwa mtu anawezakufa na njaa Tanzania basi unaweza hata ukaaminishwa jinsi uliyonayo ni tofauti na hiyo uliyoificha katika kufuli lako.
Ukipata definition ya chakula na ukawa jasiri kui share humu JF basi siku hiyo, kama ungekuwa mwanaume ningekuambia Now, you are talking like a man 'circumcised'!.