Mnamuunga mkono pasivyo sahihi, sio kila kitu yeye yuko sahihi. Kwa hili hana lolote bali chuki zake kwa Raisi.Ndio maana wengine tunamuunga mkono Zitto.
Mnamuunga mkono pasivyo sahihi, sio kila kitu yeye yuko sahihi. Kwa hili hana lolote bali chuki zake kwa Raisi.Ndio maana wengine tunamuunga mkono Zitto.
atakusikia msomi toka japan anaomba difinition ya chakula na yy hana
Maneno yasiyo na maana wala mpangilio hilo ndilo tuliwezalo, angalau lina reflect maisha yetu na nafasi yetu duniani linapokuja suala la kufikiri. Tutabaki hpa hapa tulivyo tukimtafuta mchawi, tukidhani universal definition zinatolewa na wakuu wa wilaya au wagombea urais wa vyama. Msomi wa kitanzania ukimuambia akupe definition ya chakula eti anatafuta mawakili wa kumtetea, anaokoteza maneno chungu nzima. Hivi anamfikiri ana mdanganya nani kwa kuogopa kwake kufikiri na ku uface ukweli kama ana upungufu katika kufikiri? Msomi wa kibongo anapenda mabishano badala ya majadiliano? Anafikiri uzoefu wake alioupata huko kwao ndio uzoefu wa dunia nzima. Ptuuuuuh!
We unaongea nini? Unataka mpaka uletewe msiba wa mama kafa kwa njaa ndiyo uamini?
ptuuuuu tena !!! jamii forum hawabishani wewe
maelezo marefu mara wanasiasa mara mkuu wa wilaya mara mawakili mara japan mara wachina wanakula mbwa mara tutabaki hapahapa mapungufu ya kufikir unayo wewe kama ulisoma japan embe ni chakula wakakuwekea na kadifinition unafikir na tanzania wapo hivyo au wewe ndo wa kwanza kwenda abroad watu wapo kimya kila mahali na tamaduni zao wengine vyula mboga tanzania mdudu over embe kwako chakula sisi tunda
Ukiaminishwa kuwa mtu anaweza kufa njaa na ukaamini huku mazingira ya kwenu unayafahamu basi unaweza ukaaminishwa kuwa hata jinsi uliyo nayo sio hiyo. Hebu tufikiri kwa pamoja. Kufa njaa mtu hafi kama kapigwa risasi, anachoka, anadhoofu, analala chini, huyo anamong'onyoka mpaka anakufa. Hayo yote yanatokea huyo mtu akiwa anaishi porini peke yake au anaishi kwenye jamii. Hata kama mu wajinga na wavivu wa kufikiri kiasi gani unakubalije mtu akudanganye kuhusu maisha yako unayoishi kila siku wewe mwenyewe kwa vile tu kashika kipaza sauti? Bahati mbaya sana wasomi wanaotakiwa kuiambia jamiikuwa huyu anasema uongo ndio wanaoshabikia huku wakihamasikia utafikiri wameguswa sehemu zao sisimu?
Ambao kwao chakula wanakula na kuishi, hukoo Handeni, ninyi mnabweka na kukremi kwenu
kweli hawa watakuwa wapo porini na jinsia zao tofaut
Familia zaidi ya elfu tatu nchini Burundi zinakabiliwa na njaa iliosababishwa na ukame uliopelekea mimea mashambani kukauka, katika mkoa wa Bubanza magharibi mwa nchi hiyo. Tayari watu wanne wamekufaa njaa katika mkoa huo. Waziri wa mshikamano wa kitaifa Martin Nivyabandi amekiri kuwepo na hali hiyo na kusema mikoa mingi ya nchi inakabiliwa na njaa.
chanzo dw kiswahili
usipanic kubweka tena!!! leo mjapan bana maembe mbona chakula handeni kumbe zao lao kuu la chakula ni maembe mkuu wa wilaya mnafiki kweli
Ungeongeza...Burundi ni nchi jirani na Tanzania. Ukitazama katika ramani haraka haraka unaweza kudhani kama ni mmojawapo wa mkoa katika nchi ya Tanzania na hali yao ya hewa inashabihiana sana. Hivyo basi uwezekano wa ukame ulioikumba Burundi unaweza pia ukaikumba Tanzania au tayari umeshaikumba. Uzalishaji hali imetofautiana baina ya nchi mbili hizi hasa katika msimu uliopita. Tanzania ikiwa imepata mvua za kutosha na hali ya utulivu kisiasa, nchini Burundi hali ilikuwa tofauti kwani nchi hiyo ilikumbwa na machafuko yaliyotokana na sintofahamu ya Rais Pierre Nkurunzinza kutawala kipindi cha tatu ambapo wanasiasa na watu wa upinzani wanadai ni kinyume cha katiba ya nchi hiyo. Teh teh teh teh teh. Kufikiri kazi jamani, hasa kufikiri nje ya box, sijui inatokana na nasaba za rangi yetu au mazingira tunayolelewa? Mnnnnnnnh!
Ndio kukremu huko, zao kuu, zao kuu, zao kuu toka lini? Zao kuu mpaka lini? Mbona hamuendelei kutumia simu za mezani mnabadilika? Mbona wakitengeneza magari mapya mnanunua na kuyatumia? Mnafikiri kwa nini wanavumbua vitu vipya wanawauzia wakati ninyi akili zenu zimelala? mumeshawahi kutaka kubadilisha thinking zenu kuhusu mfumo na mtindo wenu wa maisha au ndio mumelaaniwa? Kubweka ni nahau tu ya kiswahili na ina maana yake, ukiifahamu maana yake si jaambo baya pia!
Mm,mawazo mengine ni kama hayatoki kwenye ubongo wa mwanadamu aliyeumbwa kwa mfano wa Mungu hivi.
Kinyume chake kama angekuwa anamuunga mkono na kushabikia kila kitu chake, hapo ndo ingekuwa mushkeli. Wenye msimamo imara, huwa tayari kutoa hoja tofauti na hata kukosoa bila wasiwasi, palipo na dosari/tatizo na kuunga mkono penye ukweli/hakiwewe bendera fuata upepo.zipo thread humu unamshambulia Zitto.Mwanaume kama wewe usieweza kusimamia unachokiamini hufai kuaminiwa
hapo sasa
na hicho chakula cha maembe wanachokula kikiiisha watakula nn wakati embe tunda( chakula cha msimu)
sijui nani yupo ndani ya box
Ukiaminishwa kuwa mtu anaweza kufa njaa na ukaamini huku mazingira ya kwenu unayafahamu basi unaweza ukaaminishwa kuwa hata jinsi uliyo nayo sio hiyo.
bado umepenic kunywa maji kwanza simu sijui mezani mara magar utumwa wa fikra mbaya ushavaa uzungu mwafrica bana mara thinking zenu kama wewe mzungu vile kumbe black mara kubweka ni nahau kweli mitaala inabadilika sana mawazir wa elimu
turud kwenye mada ulichoandika hapo juu upo op maembe na magar wap na wap simu na maembe wap na wap !!!
Katika mijitu mivivu kufikiri wewe ni wa kwanza.Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.
Katika mijitu mivivu kufikiri wewe ni wa kwanza.
Wanakula maembe kwasababu hawana mbadala wa hicho wanachokula,optional yao ya mwisho ni maembe hawana kingine zaidi,Upepo wa mtakatifu sana umekuingilia sehemu isiyostahili.
Mkuu wa wilaya ana uchungu wa kile alichokiona kwa macho Yake sio wewe unasoma bandiko.
Chakula hakuna ila njaa haipo kwa kauli Yake malaika mkuu.
Kama Mkuu wa Wilaya analia kwa kuona watu wakila maembe huyo hafai kuwa Mkuu wa Wilaya. Watanzania umefika wakati wa kuacha kukariri, nani kasema maembe hayafai kuwa chakula? Tena mimi naona tungekuwa na vionzozi wenye maono wangehamasisha watu wale maembe kipindi hiki cha msimu wa maembe kwa wingi huku wakihifadhi chakula cha aina nyingine kwa vile maembe hayahifadhiki kwa tekinolojia tuliyo nayo mpaka sasa. Tuna tatizo kubwa la kufikiri. Taarifa kwa wajinga wenzangu, maembe ni chakula ghali dar kuliko hata huo mchele.