Maryam Malya
Senior Member
- Nov 29, 2021
- 115
- 258
Azim Dewji ambaye ni mfanyabiashara maarufu nchini Tanzania amezungumza na waandishi wa habari na kumpongeza Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan kwa jitihada kubwa za kupigania maslahi ya Watanzania hasa anaposafiri kwenda maeneo mbalimbali Duniani kutafuta fursa kwa ajili ya wananchi wote.
Akitolea mfano ziara ya Rais Samia nchini India, Azim Dewji ameeleza kuwa pamoja na mambo mengine Rais alienda India kutafuta soko la Mazao mbalimbali kama vile Mbaazi na kadhalika kwaajili ya kuwanafuisha wakulima wa kawaida.
"Mhe. Rais wetu amepewa heshima kubwa ya kuwa mgeni Rasmi katika kuadhimisha miaka 59 ya Uhuru wa Zambia lakini pia kupata fursa ya kuhutubia Bunge sio jambo dogo hata kidogo, lakini kubwa kabisa Mhe. Rais ameenda kuweka mazingira mazuri ya biashara kati ya Tanzania na Zambia kwani sasa hivi duniani kuna vita ya biashara hakuna vita ya bunduki, kwahiyo ni muhimu kila mtu kuvutia kwake. Rais wetu anafanya hivyo" - Alisema Azim Dewji akizungumzia ziara ya Rais Samia nchini Zambia.