Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

Pascal wawa?

Jonas Mkude?

Medie Kagere?

Hao wote ni waislam?

Medie kagere
Screenshot_20200717-091748_Instagram.jpg

Sorry, kwa mkude nikweli sio Muislamu wala pasko wawa,,huyo niliemtaja ni mkude (Actor, comedian and singer)
 
Hii sasa ni too much kwa media zetu TCRA na wengine haiwezekani kurusha picha zenye kudhalilisha na kujenga chuki chidi ya dini nyingine kwa secular state kama Tanzania huu ni uchochezi wa wazi na haupaswi kufumbiwa macho.

Mapadri walivaa mavazi yenye misalaba ambayo ni ishara ya ushindi wa wakristo kuonekana wakichinjwa kama kuku kwenye runinga ya nchi inayojiita isiyo na dini na inayobalance maudhui .

Waujai wakisema wauweni hao makafiri na kupongezana kwa kusena inshaalah sio jambo la kuona na kukaa kimya wakati mbegu ya chuki ikipandwa kwa kizazi hiki ambapo tamthilia hizi huonwa na watoto hivyo kuwajazia akili za chiki dhidi ya dini nyingine

Kwa kuwa ndio mara ya kwanza tamthilia hii imeanza ni bora kuipiga ban na kukipiga faini kituo cha Azam

USSR

===
Majibu ya wadau
Wewe ni mpuuzi tu na mawazo yako pia ni ya kipuuzi...Kutwa kucha unaangalia Movies/Series zenye maudhui na mlengo wa kupinga dini flani... umeangalia ngapi?ngapi umezikemea?acha uzandiki kujifanya unajua na kuithamini dini yako ilihali hata Mungu wako humuheshimu wala kuthamini anayokukataza..Kifupi wewe ni wa kupuuzwa
 
Halafu hujajibu swali nililokuuliza

Au ulikuwa unatuletea Uzushi tu na mambo ya kutunga hapa
Wewe nimekupuuza ila bado naona unaniquote unawashwa nini wakati me nimeuchuna ili mshindi uwe wewe; au unaona raha kujibizana unataka niendelee?

Ipo hivi;
Mwanaume nenda kapigike usake pesa ukirudi oga kula pumzika kisha ule muda wa kuvuta pumzi ya kurudia kesho mzigoni ndo uutumie kuangalia muvi (single muvi) za kiume sio kutwa na masizoni kama mwanamama hutafanya kazi mwishoni utaolewa!.

Kama jamaa alikushauri hukuelewa nimekufafanulia alichokwambia jamaa pia umetoka draw sasa tukufanyaje tena, KALAGA BAHO...
 
Mweh..basi wanaume wengi sana wana mambo ya kike kasoro wewe mkuu
Afadhali season uliyonunua mwenyewe ukaweka ndani na kuamua kuangalia walau episode moja moja kila siku kwako lakini season za kufuatilia kwenye tamthilia za kwenye television sio poa kwa wanaume hata kama ukinikebehi ndo nakupa makavu hivyo
 
Wewe nimekupuuza ila bado naona unaniquote unawashwa nini wakati me nimeuchuna ili mshindi uwe wewe; au unaona raha kujibizana unataka niendelee?

Ipo hivi;
Mwanaume nenda kapigike usake pesa ukirudi oga kula pumzika kisha ule muda wa kuvuta pumzi ya kurudia kesho mzigoni ndo uutumie kuangalia muvi (single muvi) za kiume sio kutwa na masizoni kama mwanamama hutafanya kazi mwishoni utaolewa!.

Kama jamaa alikushauri hukuelewa nimekufafanulia alichokwambia jamaa pia umetoka draw sasa tukufanyaje tena, KALAGA BAHO...
Acha porojo za kiswahili wewe, mnaandikaga vitu visivyo na logic hata kidogo mkiulizwa maswali mnashindwa kujibu, wewe ni wa pwani bila shaka.
 
Afadhali season uliyonunua mwenyewe ukaweka ndani na kuamua kuangalia walau episode moja moja kila siku kwako lakini season za kufuatilia kwenye tamthilia za kwenye television sio poa kwa wanaume hata kama ukinikebehi ndo nakupa makavu hivyo
Sijaona makavu hapo
 
Samahani majibu yangu ya mwanzo yalikuwa na lengo la kujaribu kuwa Elimisha raia wenzetu wa madhehebu ya Kislaam sio wewe, once again samahani sana.
Ama kweli MUNGU hamfichi mnafiki!!! Aibu yako kwa sababu ulidhani huyo kenge ni Mwislamu kumbe Mkristo mwenzako aliyeamua kuja JF kulalamikia mambo ya kipumbavu kabisa!! Ukweli ni kwamba hakuna watu walalamishi nchi hii kama Wakristo lakini kwa unafiki wenu mnajifanya hamlalamiki! Kila mtu anakumbuka jinsi mlivyokuwa mnamshutumu JK kwamba eti mdini mkiona kateua Waislam! Kila mtu anakumbuka jinsi nyuzi dhidi ya Dr. Dau zilivyokuwa hazikauki hapa JF kwamba eti mdini, na kila siku kudai kwamba Dau anaiua NSSF!!

Kaja Magufuli Mkristo mwenzenu, mmebadili santuri ya Udini na mmeleta santuri ya ukabila kwa sababu kwavile mmezoea kulalamika bado mnatafuta angle zingine za kulalamika! Nyuzi za NSSF kutaka kufa zimeisha kwa asilimia 95%. Na mkapata aibu zaidi pale serikali ilipoamua kuunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii lakini ikaiacha NSSF kama ilivyo kwa sababu ilikuwa mnajitosheleza ingawaje mlikuwa hamchoki kuimba NSSF inafilisika kwa sababu tu DG alikuwa Mwislamu!! Punguzeni unafiki! Na huyo USSR ni mdini tu kwa sababu tamthilia anayoizungumzia inaoneshwa kwenye nchi kadhaa including za Kikristo kwa sababu ni historical drama! Btw, hivi kuna tamthilia ngapi zinazo-depict kwamba Waislamu ni Magaidi?! Mbona mnazitazama tena huku mkishangilia?!
 
Nafasi ya ajira ikitoka Azam
1.Muarab
2.Chotara wa kiarabu(Muarab koko)
3.Muislamu wa Zanzibar,Mikoa ya pwani
4.Muislamu mwenye kipaji mikoa ya bara
5.Mkristo jembe (Charles Hilali**)
6.Wakristo wa kawaida
Bakhresa ni Muislam na ni Mdini sana, hata katika ajira anajali Waislam wenzie zaidi, sikuwahi kuona Reginald Mengi akiwa mbaguzi wa Dini au Kabila.

Udini pale Azam mbona upo wazi kabisa.

Wanaanza kuwapendelea Waarabu koko, kisha Waislam wengine weusi na mwishoni kabisa watawaweka Wakristo wachache kiushahidi tu kwa kuzuga.
 
Ama kweli MUNGU hamfichi mnafiki!!! Aibu yako kwa sababu ulidhani huyo kenge ni Mwislamu kumbe Mkristo mwenzako aliyeamua kuja JF kulalamikia mambo ya kipumbavu kabisa!! Ukweli ni kwamba hakuna watu walalamishi nchi hii kama Wakristo lakini kwa unafiki wenu mnajifanya hamlalamiki! Kila mtu anakumbuka jinsi mlivyokuwa mnamshutumu JK kwamba eti mdini mkiona kateua Waislam! Kila mtu anakumbuka jinsi nyuzi dhidi ya Dr. Dau zilivyokuwa hazikauki hapa JF kwamba eti mdini, na kila siku kudai kwamba Dau anaiua NSSF!!

Kaja Magufuli Mkristo mwenzenu, mmebadili santuri ya Udini na mmeleta santuri ya ukabila kwa sababu kwavile mmezoea kulalamika bado mnatafuta angle zingine za kulalamika! Nyuzi za NSSF kutaka kufa zimeisha kwa asilimia 95%. Na mkapata aibu zaidi pale serikali ilipoamua kuunganisha mifuko ya hifadhi ya kijamii lakini ikaiacha NSSF kama ilivyo kwa sababu ilikuwa mnajitosheleza ingawaje mlikuwa hamchoki kuimba NSSF inafilisika kwa sababu tu DG alikuwa Mwislamu!! Punguzeni unafiki! Na huyo USSR ni mdini tu kwa sababu tamthilia anayoizungumzia inaoneshwa kwenye nchi kadhaa including za Kikristo kwa sababu ni historical drama! Btw, hivi kuna tamthilia ngapi zinazo-depict kwamba Waislamu ni Magaidi?! Mbona mnazitazama tena huku mkishangilia?!
Huyu mdini Dau yuko wapi?
 
Wewe ni mpuuzi tu na mawazo yako pia ni ya kipuuzi...Kutwa kucha unaangalia Movies/Series zenye maudhui na mlengo wa kupinga dini flani... umeangalia ngapi?ngapi umezikemea?acha uzandiki kujifanya unajua na kuithamini dini yako ilihali hata Mungu wako humuheshimu wala kuthamini anayokukataza..Kifupi wewe ni wa kupuuzwa
Tulia sindano iingie
 
Kwani wakristo ndio makafiri?
Unajifanya huelewi. Mara ngapi kauli hizi zimetumika kuashiria kuwa wasio wafuasi wa mliwa na nguruwe ni makafiri.
Siku zote wana wa. Mohammad huwaita wakristo makafir.
Firauni wakubwa nyie. Anzisheni tifu muone.
 
Hii nchi ukiangalia vizuri, naona kama viongozi wetu kila kukicha wanatafuta ghasia kwa nguvu sana, bila shaka bado wanajiuliza kwanini ghasia hazitoke

Kitendo cha kuweka ndani wagombea wa upinzani, kuwapiga watu risasi mchana kweupe, kishikilia shehe Ponda nk ni vitendo vya wazi kutaka kuamsha ghadhabu za watu kwa nguvu
Ila mauaji ya Kibiti siyo kuanzisha ghasia? Hivi mna akili ya namna gani? Mfanye uovu halafu muachwe tu.
 
Huko TCRA waziri anasemaje?
Inawezekana hata wanaotakiwa kufanya maamuzi wanafaidika na maudhui ya hiyo tamthilia.
Hiyo ffikamu ingekuwa inaonesha waislamu wanachinjwa ingeshafungiwa na waziri mwenye dhamana kwa amri yule wa temisemi. Hapa hawatafungia hadi wa tamisemi ajisikie
 
Tamthilia ya kihistoria ikionesha matukio ya kihistoria ni tatizo?

Hivi ushawahi kuona movie ya Yesu? Ndani yake Yesu katukanwa, kateswa, kasulubiwa lakini hamna Mkristo anasema inadhalilisha Wakristo.
Una mtindio wa ubongo. Hoja zako hazifanani na unachomaanisha
 
Back
Top Bottom