Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

Situmiagi bidhaa yotote ya Azam ni msimamo wangu tu binafsi na familia yangu tangu 2014
Msimamo wa kijuha, mimi ni Mkristo sioni tatizo kwenye bidhaa za azam, hili la Program ya TV isiwe sababu ya kumbagua mtanzania mwenzetu
 
Oh my God, kwa hiyo wewe na familia yako mnamtia hasara Said Salum Bakhressa huyu anayeipa Yanga million mia mbili kwa mwezi na kuajiri watu 6000 kwenye nchi tano 🤣
 
Msimamo wa kijuha, mimi ni Mkristo sioni tatizo kwenye bidhaa za azam, hili la Program ya TV isiwe sababu ya kumbagua mtanzania mwenzetu
Kuna sehemu nimetaja Ukristo? Ana akili za kijinga sana, dini zimewaharibu sana, kila kitu unafikiri kuhusu dini. Ni wapumbavu na wajinga tu ndio wanaoamini katika hizo mnazoida dini
 
Haitosaidia kumpunguzia chochote azam maana waislam pekee wakiwa watumiaji wa bidhaa za azam basi bado utajiri wake utaendelea kupaa.
Kuna sehemu nimeandika itasaidia kupunguza chochote?
 
Kirefu cha KE ni Kinetic Energy.

Kwa akili yako ya kawaida unaanzaje kumuuliza mtu kwamba yeye ni Kinetic Energy?
Naona hupendi vifupisho..
I mean no disrespect,,but are you a person bearing two X chromosomes in the cell nuclei and having a vagina, a uterus and ovaries, and developing at puberty a relatively rounded body with thick hips and enlarged breasts, and retaining a beardless face with soft voice.also can you bear offspring or produce eggs because biologically you produce gametes (ova) which can be fertilized by male gametes to form an offspring?

Or are you not?
 
This is not what you asked that means you're out of topic.

You asked about Kinetic Energy.
Naona hupendi vifupisho
Napenda vifupisho sipendi vifupisho that's not my business hapa tulikuwa tunaongelea Kinetic Energy.

Wewe unakwenda kinyume na misingi ya kujadili mada.
umeuliza swali nimejibu.
Mimi nimeuliza swali badala ya kujibu unauliza swali.

KE ni kirefu cha Kinetic Energy.

Wewe na akili zako zote unaanze kuuliza mtu kama ni Kinetic Energy?

Wapi ulishawahi kuona au kusikia Kinetic Energy ni kiumbe?

Nini kimekufanya uulize binadamu kama ni Kinetic Energy?

Now don't waste time and answer my goddamn questions first.
 
Mbona unakomalia kinetic energy?? Kwanza first meaning ya ke Ni domain name ya Kenya..kwanini unakomaa Na makinetic energy au ulikuwa Na crush Na mwalimu wako was physics form 2?
Kwenye jinsia ME Na Ke Ni man and gal respectively...

So hiyo mada ya kinetic energy imeisha tuendelee
are you a person bearing two X chromosomes in the cell nuclei and having a vagina, a uterus and ovaries, and developing at puberty a relatively rounded body with thick hips and enlarged breasts, and retaining a beardless face with soft voice.also can you bear offspring or produce eggs because biologically you produce gametes (ova) which can be fertilized by male gametes to form an offspring?

Unavunja kanuni za kujadili mada kwa mara nyingine.
Wewe umeuliza swali nimejibu.
Mimi nimeuliza swali badala yakujibu unauliza swali.

KE ni kifupi cha Kinetic Energy universally.

Wewe na akili zako zote unaanze kuuliza mtu kama ni Kinetic Energy?

Wapi ulishawahi kuona au kusikia Kinetic Energy ni kiumbe?

Nini kimekufanya uulize binadamu kama ni Kinetic Energy?

Now don't waste time and answer my goddamn questions.
 
Mimi sijakuuliza kama wewe Ni kinetic energy.
Mimi nimekuuliza kama wewe Ni Ke
First meaning KE ya kiingereza Ni acronym ya Kenya Universally .

KE ya Kiswahili Ni jinsia.
So kwasababu Sisi Ni waswahili basi Kiswahili ndo maana ya Kwanza inayopaswa kuchukuliwa.
So enough about that kinetic energy talk if I see that word again I will jump off a building.

Wapi ulishawahi kuona au kusikia Kinetic Energy ni kiumbe?
Sijawahi
Wewe na akili zako zote unaanze kuuliza mtu kama ni Kinetic Energy?
Sijauliza Hilo swali

Nini kimekufanya uulize binadamu kama ni Kinetic Energy?
Sijauliza Hilo swali
 
Situmiagi bidhaa yotote ya Azam ni msimamo wangu tu binafsi na familia yangu tangu 2014
Siamini sote tukubali tukatae bidhaa za Azam haziepukiki kuzitumia.....mfano mdogo ngano yake hutumika kupikia maandazi,chapati je nazo izo zote hutumii wakati wa asubuhi ?
 
Mimi sijakuuliza kama wewe Ni kinetic energy.
Mimi nimekuuliza kama wewe Ni Ke
First meaning KE ya kiingereza Ni acronym ya Kenya Universally .

KE ya Kiswahili Ni jinsia.
So kwasababu Sisi Ni waswahili basi Kiswahili ndo maana ya Kwanza inayopaswa kuchukuliwa.
So enough about that kinetic energy talk if I see that word again I will jump off a building.

Sijawahi
Sijauliza Hilo swali

Sijauliza Hilo swali
Umeshindwa kujibu maswali yangu.

I'm done here.
 
There's nothing to be said but nonsense.

Tamthilia inahusu mambo ya historia za dini ni kama ile movie ya yesu no difference at all.
Kuna movies zinaonyesha waafrika wakifanya watumwa hizo unasemaje?

Dini ikizidi inakuwa ujinga sugu.
Kama ni ujinga ni kwako na si kwa kila MTU!
Hivyo unatakiwa uifikie hadhara ya wajinga kwa Hekima!
 
Nina DStv na Zuku ambayo inashare dishi na Startimes... Azam sinaga mpango nao hizo tatu zinantosha... huenda wana agenda zao
 
Back
Top Bottom