Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

" Wakristo wakionekana kuchinjwa kama kuku". Ni ishara ya ushindi kwa wakristo kuifia imani yao,ukristo sio lele mama, mitume na manabii walikufa wakitetea ukristo.
Ni kweli hata Yesu anaonyeshwa kwenye filamu nyingi tu akisulibiwa na kuuliwa msalabani mbona hatujasikia watu kuipiga serikali hizo filamu zisionyeshwe.
 
Hizo tamthilia siyo chochote...

Umeona namna Aljazeera, CNN, Sky news na BBC vile wanavyotusakama Africa na taarifa za uchochezi, vifungiwe nazo...
 
Siamini sote tukubali tukatae bidhaa za Azam haziepukiki kuzitumia.....mfano mdogo ngano yake hutumika kupikia maandazi,chapati je nazo izo zote hutumii wakati wa asubuhi ?
Tatizo unaishi kwa kukariri maisha. Maisha unayoishi wewe nyumbani kwako unafikiri kila mmoja anaishi hivyo
 
Acha kuangalia tamthilia kula chapati na mikate ya azam. Huyu jamaa hakwepeki lazima utumie kimojawapo tu.
 
Ni Miaka 8 Sasa Tangu Wewe na Familia Yako Mchukue Huo msimamo. Tunaomba Matokeo Kama mmefanikiwa kuidhoofisha Azam Au Njaa Ndio Imezidi Katika Familia Yako..?
Kuna sehemu nimesema ninaidhoofisha Azam? Kwani mtu akisema hatumii kitu fulani ndio anakidhoofisha? Kila mmoja na maamuzi yake, fuata yako
 
Guys kama kuna mtu anahitaji king'amuzi complete/full kit cha AZAM cha DISH ambacho ni kipya kabisa hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa chaneli zote kwa miezi mitatu. naomba anicheki DM tufanye biashara, kinapatikana kwa 165k (non-negotiable price)
 
Au kama kuna mtu ana king'amuzi cha DISH cha STARTIMES aje nimpe cha DISH cha AZAM then ataniongeza 60k,(king'amuzi changu cha AZAM bado kipya na hakijamaliza hata mwezi na kimeshalipiwa miezi mitatu)
 
Back
Top Bottom