Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

Anzeni kuomba kufungia na ile inayomdharirisha huyo yesu wenu wakati akisulubiwa! Pili acheni upuuzi wa kujiona nyie ndo wamiliki pekee wa Tanzania
Hahaha, ile filamu ya Jesus of Nazareth naiangalia hata kila siku, Naipenda sana

Hakudhalilishwa, ile imeakisi hali iliyotokea na yale matendo alitendewa Yesu Kristo lakini ajabu ni kwamba YU HAI LEO.

Ndio aliyetufanya tuitwe Wakristo, sisi ambao mnajitahidi kushindana nasisi lakini bado mnashindwa

Wabillah Tawfiq,
 
Ndio utambue kuwa waislamu ni wengi sana kama co 70% basi 75%,,
Kwa takwimu ya Mwaka gani?

Usituletee habari ya kama sio, kama sio

Tuwekee fact inayotokana na sensa iliyofuata taratibu zote za kuhesabu watu yenye % sahihi.

Usituletee umbeaumbea wa mikekani mliouzoea ninyi watu wa pwani.
 
Hii sasa ni too much kwa media zetu TCRA na wengine haiwezekani kurusha picha zenye kudhalilisha na kujenga chuki chidi ya dini nyingine kwa secular state kama Tanzania huu ni uchochezi wa wazi na haupaswi kufumbiwa macho.

Mapadri walivaa mavazi yenye misalaba ambayo ni ishara ya ushindi wa wakristo kuonekana wakichinjwa kama kuku kwenye runinga ya nchi inayojiita isiyo na dini na inayobalance maudhui .

Waujai wakisema wauweni hao makafiri na kupongezana kwa kusena inshaalah sio jambo la kuona na kukaa kimya wakati mbegu ya chuki ikipandwa kwa kizazi hiki ambapo tamthilia hizi huonwa na watoto hivyo kuwajazia akili za chiki dhidi ya dini nyingine

Kwa kuwa ndio mara ya kwanza tamthilia hii imeanza ni bora kuipiga ban na kukipiga faini kituo cha Azam

USSR

===
Majibu ya wadau
Naunga mkono hoja. Kama hawakuelewi basi kuna haja ya kuanzisha filamu ya mtume Muhammad na harakati zake za kuoa vitoto nk hapo TCRA wataelewa.
 
Acha uongo wewe labda tu huangalii tv,huo ugali unaokula unajua unga umetoka wapi?hiyo supu unayokunywa na chapati unajua unga umetoka wapi?
Ndo shida ya kukariri maisha, kwa sababu we unakula chapati na maandazi unafikiri kila mtu anaishi maisha hayo.
 
Hii sasa ni too much kwa media zetu TCRA na wengine haiwezekani kurusha picha zenye kudhalilisha na kujenga chuki chidi ya dini nyingine kwa secular state kama Tanzania huu ni uchochezi wa wazi na haupaswi kufumbiwa macho.

Mapadri walivaa mavazi yenye misalaba ambayo ni ishara ya ushindi wa wakristo kuonekana wakichinjwa kama kuku kwenye runinga ya nchi inayojiita isiyo na dini na inayobalance maudhui .

Waujai wakisema wauweni hao makafiri na kupongezana kwa kusena inshaalah sio jambo la kuona na kukaa kimya wakati mbegu ya chuki ikipandwa kwa kizazi hiki ambapo tamthilia hizi huonwa na watoto hivyo kuwajazia akili za chiki dhidi ya dini nyingine

Kwa kuwa ndio mara ya kwanza tamthilia hii imeanza ni bora kuipiga ban na kukipiga faini kituo cha Azam

USSR

===
Majibu ya wadau
Vipi next episode wakionyesha waislam wanauwawa? Utasapoti?

Ya tatu wakionyesha wanaume wanauwawa je?

Ya nne wakionyesha wanajeshi je?

Umewahi Sana kuhukumu
 
Back
Top Bottom