Azam yazindua tamthilia ya kichochezi mauaji ya Wakristo, Serikali iko kimya

Ungepita kimya ungeonekana wa maana
Yeah Whatever the hell.

Kitendo cha kupost hapa misimamo binafsi it already defeated the main purpose of the word "msimamo binafsi".

Yote hayo sababu hujiamini na misimamo yako so you wanted to check kama hauko alone ili ujifariji.
Sababu misimamo yako isingematter kama ungebaki nayo.
So you posted here.

In reality you're alone and none of your personal matters.
 
Ila wameigiza kishamba sana, ground battles zinazopiganwa kwa majambia kama hiyo huwa hakuna upande usiopoteza et kwa kukwepa mapanga kienyeji vile. Hazina "Scenerial Reality".
Ndio maana hazifanani na hadhi ya Waruki.
 
Ungekuwa na Imani ya kweli kwa KRISTO, usingetingishwa na hayo yanayoonyeshwa kuhusu Dini ya Kristo... Pigania IMANI yako achana na kupigania DHEHEBU,,, Ukristo au Kristo akitukanwa haivunji Imani yako..
 
Situmiagi bidhaa yotote ya Azam ni msimamo wangu tu binafsi na familia yangu tangu 2014
Haitosaidia kumpunguzia chochote azam maana waislam pekee wakiwa watumiaji wa bidhaa za azam basi bado utajiri wake utaendelea kupaa.
 
Kama uulizavyo ' kwani wakristo ndio makafiri?' kulingana na maelezo ya mtia mada kwanini tamthilia hiyo ifanyie mfano wa hao mapadri ambao ni viongozi wa kiimani wa wakristo 'katoliki' kama makafiri huku wakiwachinja wana ajenda katika hilo¿?
Kuna sehemu imetajwa kwamba wanaouliwa ni wakristo? Kwani kuvaa alama ya kujumlisha maana yake lazima iwe msalaba? Acha ushamba mkuu.
 
Yeah Whatever the hell.

Kitendo cha kupost hapa misimamo binafsi it already defeated the main purpose of the word "msimamo binafsi".

Yote hayo sababu hujiamini na misimamo yako so you wanted to check kama hauko alone ili ujifariji.
Sababu misimamo yako isingematter kama ungebaki nayo.
So you posted here.

In reality you're alone and none of your personal matters.
Mind your own fucking business
 
Back
Top Bottom