Tisha-TOTO
JF-Expert Member
- Feb 10, 2010
- 1,175
- 604
azam 1 yanga 1 dk 7 (tambwe)
Yanga ushindi lazima leo
Hasira za kuachwa na Simba anazimalizia Azam, na siku tukikutane naye tutamkoma.Tambweeeeeeee
Uwanjani wote heshima sasa. Yanga tupeni raha tufunge mwaka vizuri. Mabeki mtatuangusha sasa
Hasira za kuachwa na Simba anazimalizia Azam, na siku tukikutane naye tutamkoma.
Mbuyu twite,canavaro na Tambwe wanamzidi zitto kabwe umri so wanaweza kugombea urais wa Tanganyika.
Hasira za kuachwa na Simba anazimalizia Azam, na siku tukikutane naye tutamkoma.
Uwanjani wote heshima sasa. Yanga tupeni raha tufunge mwaka vizuri. Mabeki mtatuangusha sasa
Huyu m-Liberia wa Yanga nouma