Katavi
Platinum Member
- Aug 31, 2009
- 42,099
- 12,920
Dakika ya 17 Yanga 1- 1 Azam.
mnalizwa 2-1
Dakika ya 17 Yanga 1- 1 Azam.
Kafanya nini tena wengine tupo mbali na luninga Tisha-TOTOHuyu m-Liberia wa Yanga nouma
Huyu Yondani atawakosti sana
mnalizwa 2-1
Huyu m-Liberia wa Yanga nouma
Halafu sisi tuna bahati mbaya na wachezaji tunaowaacha sijui huwa tunaachana nao vibaya, Mgosi alituliza siku na Mtibwa, Salum Kanoni akikutana na Simba utafikiri anafanya majaribio ya kusajiriwa Barcelona, Mrwanda, Machaku na Edward Christopher walipokuwa polisi nao ilikuwa ni balaa sasa tumeongeza kesi nyingine ya Tambwe.Hilo goli la Azam, anatafuta lenu simba. Akifunga la pili hilo litakuwa lenu simba mkae sawa.
Kafanya nini tena wengine tupo mbali na luninga Tisha-TOTO
Halafu sisi tuna bahati mbaya na wachezaji tunaowaacha sijui huwa tunaachana nao vibaya, Mgosi alituliza siku na Mtibwa, Salum Kanoni akikutana na Simba utafikiri anafanya majaribio ya kusajiriwa Barcelona, Mrwanda, Machaku na Edward Christopher walipokuwa polisi nao ilikuwa ni balaa sasa tumeongeza kesi nyingine ya Tambwe.

Kaka hapo kinyume chake sasa. Nilishatabiri siye 2 wao 1. We subiri uone.
Halafu sisi tuna bahati mbaya na wachezaji tunaowaacha sijui huwa tunaachana nao vibaya, Mgosi alituliza siku na Mtibwa, Salum Kanoni akikutana na Simba utafikiri anafanya majaribio ya kusajiriwa Barcelona, Mrwanda, Machaku na Edward Christopher walipokuwa polisi nao ilikuwa ni balaa sasa tumeongeza kesi nyingine ya Tambwe.
haya dada nasubiri dakika 90