Azam vs yanga updates

Azam vs yanga updates

Azam fc wameahidi kichapo kikali kwenda mitaa ya jangwani ili kurudisha amani mjini Via bocco haramu, kavu , tchetche
 
Kipigo kingine kwa yanga leo.

Mkuu weka mambo vizuri: sema hivi ungependa leo Yanga wakutane na kipigo kingine. Naamini hii ni roho mbaya tu kwa adui, ninyi tayari mmecheza dua za nini tena kwa Yanga? Kwa bahati mbaya mambo siyo lazima yawe kama unavyotaka wewe. Yanga timu tandika lambalamba watoto wa nyau jike wa Msimbazi.
 
Mtibwa 1 Stand Utd Chama la wana! 1 .

Sasa Stand utd wamefikisha points 10 daaaah kwaiyo Simba tumeshuka hadi nafasi ya 10 na points zetu 9 hii haikubaliki hata kidogo nafasi ya 10 kati ya timu 14?
 
Sasa Stand utd wamefikisha points 10 daaaah kwaiyo Simba tumeshuka hadi nafasi ya 10 na points zetu 9 hii haikubaliki hata kidogo nafasi ya 10 kati ya timu 14?

Jifunzeni kwa Yanga, jioni ya leo mtaona manufaa ya mabadiliko. Ukimchekea nyani (Phiri) utavuna mabua (Simba itashuka daraja).
 
Jifunzeni kwa Yanga, jioni ya leo mtaona manufaa ya mabadiliko. Ukimchekea nyani (Phiri) utavuna mabua (Simba itashuka daraja).

Mkuu kutia timua makocha sio tiba mkuu alafu for the records Simba haiwezi shuka daraja kamwe
 
Leo tunampiga lambalamba goli 3-0 then tunakamata usukani wa vpl hadi kuchukua ubingwa
 
Duh. Yanga piga hao watoto wa Chama nzi. Tegete Niyonzima. fanya kweli. Ngassa piga haoooi.
 
Back
Top Bottom