Azam vs yanga updates

Azam vs yanga updates

Hii defence ya Yanga hovyo kabisa. Azam wakikaza buti kidogo tu basi..
 
Bado kuna Kiemba Azam na Chanongo Stand Utd...

Ni balaa juu ya balaa tena hao ndo wanaweza kuwa na hasira zaidi, lakini wenyewe wako huko kwa mkopo sijui makubaliano yakoje maana kuna wakati mchezaji aliyeko timu nyingine kwa mkopo hatakiwi kucheza dhidi ya timu yake.
 
Kiujumla yanga wanacheza vizuri kuliko azam.
 
Yanga itahitaji muda hadi ije ianze kucheza kitimu. Benchi la ufundi jipya, wachezaji wapya....shida tupu
 
Team today 1. MWADINI ALI
2. HIMID MAO
3. SHOMARI KAPOMBE
4. AGGREY MORIS
5. PASCAL WAWA
6. ERASTO NYONI
7. MUDATHIR YAHYA
8. SALUM ABUBAKAR
9. DIDIER KAVUMBAGU
10. KIPRE TCHETCHE
11. BRIAN MAJWEGA

AKIBA
1. WANDWI JACKSON
2. JOHN BOCCO
3. AMRI KIEMBA
4. KELVIN FRIDAY
5. WAZIRI SALUM
6. DAVID MWANTIKA
7. KHAMISI MCHA
 
Huyu mliberia mbinafsi sana, lile si lilikuwa goli kabisa.
 
Tambwe hakuwa mchezaji wa kuachwa, hasa kipindi hiki timu haifanyi vizuri.
Simba mmechemsha sana, mtamkumbuka na ana kisirani yule atafanya vizuri Yanga mpaka mjute.
Ni kweli Tambwe alikuwa na uwezo lakini kulingana mfumo wa mwalimu ulivyokuwa hapakuwa na namna na siku zote si kila mchezaji anayeachwa ni mbaya, ninachoweza kulaumu kuachwa ni kwa jinsi alivyoachwa, Yanga walionyesha interest naye before kwa hiyo viongozi kama walijua wanamuacha wangeweza kunegotiate na Yanga wakamuuza maana hawakuwa wanamuhitaji.
 
Dk 36 Yanga wamepata goli lakini limekataliwa. Kipa alifanyiwa faulo kabla ya goli
 
Azam kwa Yanga ni wateja. Watashambuliaaa ila mwisho wa siku watakalishwa!
 
Back
Top Bottom