mkolaj
JF-Expert Member
- Mar 24, 2014
- 3,023
- 1,092
Kwani hao uliowataja si ndo wale ambao walichukua mzigo wa pesa kutoka kwa simba halafu wakafungisha goli tatu????Wakereketwa kabisa! Bora na Kally Ongala hayupo! Ni wanaz wa Yanga.
Kwani hao uliowataja si ndo wale ambao walichukua mzigo wa pesa kutoka kwa simba halafu wakafungisha goli tatu????Wakereketwa kabisa! Bora na Kally Ongala hayupo! Ni wanaz wa Yanga.
Mkuu kutia timua makocha sio tiba mkuu alafu for the records Simba haiwezi shuka daraja kamwe
Mkuu kutia timua makocha sio tiba mkuu alafu for the records Simba haiwezi shuka daraja kamwe
Mkuu kutia timua makocha sio tiba mkuu alafu for the records Simba haiwezi shuka daraja kamwe
Tusubiri mechi ijayo, naamini kama Simba itatoka sare basi Phiri hatakuwa nasi tena hadi miaka ya baadaye mithili ya Sing'a: sijui kama yuko hai huyu na kama kafa + RIP.
Naipenda Yanga mwana wa Jangwani.
Leo Yanga itawalamba Azam, 2-1.
Ila kumbuka tangu mgambo jkt wamepanda daraja mechi zote ambazo simba imeifuata mgambo mkwakwani simba imeambulia point moja tu!!!Mkuu mechi yetu inayofuata ni dhidi ya Mgambo JKT kule Tanga mkwakwani tunaenda kule kule kuwapigisha kwata
Mkuu mechi yetu inayofuata ni dhidi ya Mgambo JKT kule Tanga mkwakwani tunaenda kule kule kuwapigisha kwata
Yanga 4 AZAM 2
safi mkuu. naona ligi inaelekea patamu
Huyo Pukudu Muongo,matokeo Yalikuwa Sare, Stand 1-1 Mtibwa.
Huyo Pukudu Muongo,matokeo Yalikuwa Sare, Stand 1-1 Mtibwa.
Alikuwa sahihi, mpira ulikuwa haujaisha. Hata hiyo draw si haba, Big up Stand United.
ndala anakufa cha mende leo
Saa 10:00 jioni, sogea popote panapooneshwa hili game ili uone yanga watakapomkamua azam.Game inaanza saa ngapi?