Makoye Matale
JF-Expert Member
- May 2, 2011
- 6,490
- 2,104
Matokeo ya leo kati ya Azam na Yanga ni mazuri sana kwa Simba kwa vile yanaacha pengo dogo la point 5 tu kati yake na hizi timu mbili na uwezekano wa kuzi-offset ni mkubwa kwani ligi hata nusu haijafika.
So, nawashangaa wanasimba wanaokata tamaa sasa na kuanza kulilia kichwa cha Phiri. Katika ligi hii hakuna kocha anayemzidi Phiri kiuwezo, huo ndiyo ukweli wenyewe.
Kwa upande wa Azam, kutokupata ushindi leo is a lost opportunity kwa sababu wamecheza na Yanga ambayo ni dhoofu (weakened). Ni dhoofu kwa sababu benchi la ufundi lote ni jipya na line up yao ilikuwa na wachezaji kadhaa wapya, so Yanga was there for the taking today but Azam let the chance slip!
Sina uhakika sana kama Azam watapata nafasi kama hii tena msimu huu dhidi ya Yanga kwani Yanga hii ikikaa pamoja kwa muda kidogo tu, itakuwa vigumu sana kwa timu nyingi kuisimamisha.
Mtibwa siwapi nafasi sana... I can see them fizzling out in the course of the season kwa vile hawana depth na pia hawawezi ku-handle pressure iliyopo kwenye run-in stage ya marathon league kama hii.
So, based on my very simple SWOT, msimamo wa top 3 utakuwa hivi mwishoni mwa ligi:
Bingwa: Azam (35%) / Simba (20%) / Yanga (45%)
2nd spot: Azam / Simba / Yanga
3rd spot: Azam / Simba / Yanga
Una akili nyingi sana wewe. Mungu akubariki sana.