Azam TV wafanya yao, Charles Hillary atua nchini

Azam TV wafanya yao, Charles Hillary atua nchini

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,010
Reaction score
10,407
Nilikuwa naangalia hapa taarifa ya Habari ya AZAM TV.Ningependa sana kuwashukuru AZAM MEDIA kwa kurejesha majembe ya utangazaji hapa nchini.

Charles Hillary atua leo nchi na kujiunga na AZAM media.Sasa hapa itakuwa Charles Hillary pale Tido Muhando.

Huu ndio uzalendo tunaoutaka.

Mie binafsi nawatakieni kazi njema sana na Mungu awabariki wafanyakazi wote na uongozi wa AZAM TV.
 
Sanaaaa!!!
Hongera Azam Kuwapata hawa.
Kazi itakuwa ya kiwango!!!
Ngoja nikatafute kingamuzi cha azam.
Sasa hivi vingine tunavitupa????
Kuna mtu anaweza ku decode manake vinajaa majumbani
 
Sanaaaa!!!
Hongera Azam Kuwapata hawa.
Kazi itakuwa ya kiwango!!!
Ngoja nikatafute kingamuzi cha azam.
Sasa hivi vingine tunavitupa????
Kuna mtu anaweza ku decode manake vinajaa majumbani
Hahaha,mkuu unavipanga kama vile zile redio za zamani za pieces.Unahamisha nyaya tu,juu antena kibaoo
 
Naomba kuuliza, hivi ujio wa Charles Hillary hapo Azam kwa nini umeshabikiwa sana na watu?

Maana naona kuna watu wapo radhi kutafuta king'amuzi cha Azam kisa tu mzee wa macharanga kaja Azam...

Hii shauku inatokea wapi?
 
Ni mmoja wa ma-legendary wachache sana kwenye tasnia ya utangazaji east Africa.
 
Naomba kuuliza, hivi ujio wa Charles Hillary hapo Azam kwa nini umeshabikiwa sana na watu?

Maana naona kuna watu wapo radhi kutafuta king'amuzi cha Azam kisa tu mzee wa macharanga kaja Azam...

Hii shauku inatokea wapi?

Wewe umezaliwa miaka ya 2000 huwezi jua sababu
 
Sanaaaa!!!
Hongera Azam Kuwapata hawa.
Kazi itakuwa ya kiwango!!!
Ngoja nikatafute kingamuzi cha azam.
Sasa hivi vingine tunavitupa????
Kuna mtu anaweza ku decode manake vinajaa majumbani

Sasa umefika wakati visimbusi viwe viwili au kimoja tu kwa station zote. Ndio utaratibu nchi nyingine wanatumia. Hata pay station zote zinaingia humo ni suala la kulipia tu.

Huu utitiri wa StarTimes, Continental, ITV (sikumbuki chao kinaitwaje), DSTv, Azam nk sio mzuri. Ni kuweka sheria na kupeana muda kama mwaka au miwili.
 
Naomba kuuliza, hivi ujio wa Charles Hillary hapo Azam kwa nini umeshabikiwa sana na watu?

Maana naona kuna watu wapo radhi kutafuta king'amuzi cha Azam kisa tu mzee wa macharanga kaja Azam...

Hii shauku inatokea wapi?

landa atakuwa anatangaza kiarabu..
 
Inategemea na lini umeanza kufuatilia habari kwa ujumla.

Una maana gani?

Kama ni Charles Hillary namfahamu tangu akiwa RTD...

Je kinachomfanya mtu kutafuta king'amuzi cha Azam kisa tu Hillary kapata ajira hapo ni umahiri pekee wa Charles au kuna kingine?
 
landa atakuwa anatangaza kiarabu..

Natambua umahiri wa huyu bwana katika tasnia ya habari haswa uandaaji wa vipindi...

Lakini wengi wanashangilia hili kwa mahaba niue tu ndio maana hakuna mwenye kujenga hoja ya swali nililouliza...

Wengi wanakuja na hoja nyepesi nyepesi, vijembe na kejeli...
 
Back
Top Bottom