Azam TV wafanya yao, Charles Hillary atua nchini

Azam TV wafanya yao, Charles Hillary atua nchini

tunaweza kuona ni jinsi gani azam tv ilivyo na hadhi east africa siku moja kuna mtu alikuja na kushangaa kwa nini rais akafungue azam tv wakatokwa watu mapovu mengi sana kumbe walikuwa wafuasi wa reginal mengi sasa nikasema kitu kimimoja tu azam ndio pekee inaweza kufananishwa na bbc leo tunaona vitu vinatoka bbc vinashukia azam hivi kweli hata kama mzee charles hilary anastaafu ndio aje ashukie radio one na itv kapima kaona no nampongeza yupo sawa kabisa mzee wa macharanga.
 
Duh mawazo muflisi kwani alipoenda huko bbc alitokea wapi si huko huko itv?
Na sio yeye tu karibu wapi kibao pale azam wametoka huko huko itv sasa yeye afuate nini wakati hahitajiki
 
Okay mkuu umefafanua vyema...

Lakini nina swali muhimu kidogo, mtu unapofanya uamuzi wa kununua kisimbusi fulani; Je unafanya hivyo kwa sababu ya watangaziji waliopo katika kituo hicho au mpangilio mzuri wa programu za vipindi na contents zake?

Je yafaa nini kuwa na watangazaji wazuri ilihali programu bado ni za kiwango cha chini?

Wewe unatafuta vidonda vya tumbo bila sababu!! kwa nini ukasirike kwa vitu visivyokuhusu??.. charz ndio keshaenda Azam, na Watanzania ndo wameshafurahi sasa wewe mwafrika mweusi unakereka na nini?? hebu relax upate afya mzee!
 
Wewe unatafuta vidonda vya tumbo bila sababu!! kwa nini ukasirike kwa vitu visivyokuhusu??..

Nani aliyekasirika?

Au kwa tafsiri yako wewe mtu anayehoji kwa nia ya kutaka kujua basi mtu huyo kakasirika?

Epuka sana kuhukumu kwa kutazama maandishi pekee...

Wapo waungwana ambao tumejadiliana nao hapo juu na nilichokuwa nakihitaji nimekipata...

Lakini ninyi wachache mliokosa ustaarabu mmeishia kubwabwaja tu kwa hoja mfu...
 
eti hatakiwi hovyo nani kakwambia itv ni mahali pa kudumu kikazi pale ni kibarua tu ukipata kazi sehemu ya maana unasepa kama na wewe upo hapo jijue ni kibarua tu utasepa soon mana kuna mambo ya kifamilia yatakubana utakuwa huna jinsi utatafuta pa kwenda mwenyewe .
Duh mawazo muflisi kwani alipoenda huko bbc alitokea wapi si huko huko itv?
Na sio yeye tu karibu wapi kibao pale azam wametoka huko huko itv sasa yeye afuate nini wakati hahitajiki
 
020e9d7321909a1fe90948c00791a1a1.png
 
Back
Top Bottom