Azam Tv inapoteza mvuto

Asee hizo tuhuma ni nzito mimi pia azam fc nimeacha kushangilia kwasababu ya udini. Team nzima waislam teeh uongozi wote waislam
 
Tanzania local channels ni muhimu hauangalii Tv peke yako unafamilia n.k lazima watahitaji channels za nyumbani.

DSTV mkuu bei yake ya vifurushi ni ghali mno yani kifurushi cha bei ya chini 19,000 kwa wengine ndicho cha bei ya juu
Yawezekana kuna ukweli lakini Ni negligible 19 naona madogo wanaenjoy katuni zao, wanyama, movies etc. Nilichomiss local channel Ni kipindi changu pendwa na wasanii wa ukweli wa kipaji wa MIzengwe itv. Sijui chereko sijui Nini walaaaa
 
Pamoja na mifano yako ya majina ya kikristo, bado azam wana udini sana. Sio kwenye tv tu, hata biashara zake nyingine. Bakhresa anaingiza imani yake kwenye biashara ambazo wateja wake sio wa din yake tu.
Ningemwelewa angeomba leseni ya kufungua biashara zinazofuata misingi ya dini ya kiislamu. Mwanzoni mimi nilikuwa shabiki mkubwa wa azamfc. Nimeachana nayo kwa sababu ya elements za udini katika uendeshaji wake.
Kitu rahisi ambacho angeweza kufanya ni kuruhusu, kwa mfano ibada za kikristu siku ya jumapili kwa muda mfupi tu. Halafu akaweka sala/ibada ya ijumaa hata siku nzima ya ijumaa.
Kidogo sasa inapokuwa pasaka au krismasi unaona matangazo yenye ladha ya ukristu. Lakini mwanzo, hakuonyesha chochote katika siku hizo muhimu kwa wakristo. Ni muhimu huyu mzee akaangalia hisia za wateja wake kwa ujumla.

Ushauri wa bure tu.[/QUOTE]

Unaongea bila evidence yoyote.. udini uko wapi sasa au ulitaka azam cola iitwe Yesu cola ndo ufurahie? Maana hata hiyo Azam media ipo chini ya utawala wa Tido Mhando na wafanyakazi wakristo wapo wengi tuu
 

Unajua maana ya asalam aleykum?? Hiko ni kiarabu tuu ni salamu iliyotumiwa mpka na yesu kuwasalimu wanafunzi wake!!.. Rudi darasani ndugu.. Leta facts za kuthibitisha huo udini sio mnaongea tuu
 
Unajua maana ya asalam aleykum?? Hiko ni kiarabu tuu ni salamu iliyotumiwa mpka na yesu kuwasalimu wanafunzi wake!!.. Rudi darasani ndugu.. Leta facts za kuthibitisha huo udini sio mnaongea tuu
Contextually, Assalam Aleikum inatumiwa na Waislam..

Wewe umesoma lakini hujaelimika!
 
Kwa ambao hamtaki aibu ndogo ndogo kma hizi karibu startimes,channeli kma zotee za nyumbani na za nje kibao kwa malipo ya buku nane tuu kwa mwezi[emoji23][emoji23]
 
Mi nshalifutilia mbali kitamboo na kuhamia startimes,chukua maamuz magumu leo mkuu
Hawa wenzetu na udini huwezi kuwatenganisha. Hata hizi tamthilia zinalenga kueneza dini. Siku si nyingi ntafutilia mbali likingamuzi lao. Ngoja hii tamthilia ya suntan iishe maanA home hawatanielewa na baada ya hapo ntafanya maamuzi
 
Kwa ambao hamtaki aibu ndogo ndogo kma hizi karibu startimes,channeli kma zotee za nyumbani na za nje kibao kwa malipo ya buku nane tuu kwa mwezi[emoji23][emoji23]
Startimes kwenye ubora wa picha bado sana
 
Hiii kitu mm ndo inaniboaa sana yaan mpk TBC sijui Safarii hii ingekuwa ni Channel ya Azam, hawajuii hata wateja wao wanataka nini...
Nilishawahii kufungua Uzi umu nikiwashauri Azam kwenda na Wakati...
SINEMA ZETU IWE NI YA KISASA TUONE SINEMA ZA EAST AFRICA MPYA SIO WALEWALE WAKINA JINGO SIJUI NA WAKINA NANI YAAN FILAM ZA 2015 NDO TUNAONESHWA LEO


Waanzishe channel za maudhii mbalimbali documentaries,history, watoto, movie za mbele, MUSIC..hapa ndo wamefeli kabsa yaan sijui kama wanavyosema wanajamvi UDINI kipindi wanafkria kuanzisha Azam sports HD mara sports 2 kwanini uwa awafkirii kuja na Channel ya MUSIC??....................

Taarifa ya habari tulishawasamehe basi iwepo channel ya habarii hata za nje basi km ilivo BBC na nyinginezo yaan ifke wakati mtu ukiwasha AZAM TV basi upate package ya CHANNEL kama hata 10 za azam....

Sasa wao ni Bukkede,Salt, cjui nini machannel yenyewe machafu yaan resolution mbayaa bora hata TBC.....
 
Gharama za vifurushi vyao zipoje
 
Ice cream, unga na telecommunications plus computer wapi na wapi?
 
Umepiga msumari wa moto.Umemaliza mjadala.Umesema ukweli mtupu.
 
Enyi wagalatia,msio na akili,nani amewaloga?
 
Naomba uizungumzie na PSG , wanakwama wapi pamoja na uwekezaji mkubwa wanaowekeza!
 
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa


Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na

Udini unaimaliza azam
Unamaanisha TIDO MHANDO - CEO au Charles Hillary?
 
Hivi kingamuzi kizur kwa Zanzibar ni kipi, cha kutazama ligi za nje
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…