Kwakweli Azam inabidi wapimwe mkojo aisee
Hahah mkuu mi naonaga hio Tv ni kwa ajili ya kusambaza tamaduni za wa-iran,waturuki inshort ni kwa ajili ya kutangaza tamaduni za waarabu/islam.