Azam Tv inapoteza mvuto

Azam Tv inapoteza mvuto

Hivi Charles Hillary,Ivona na Mumewe,mifano michache tu,hao wote ni majuba? Kuna watu muna udini sijapata kuona. Taasisi yoyote ambayo ina Waislam kuzidi Wakristo lazima isemwe ni Udini. UDOM,NSSF ni mifano michache. Lakini tasisi hizo hizo zikiwa na watu wengi wa dini nyingine,siyo UDINI. Kuna watu ni wachumia tumbo sana aisee. Kila siku kwa ubinafsi,Waislam wakiwa wengi taasisi yoyote,ni UDINI,Wakristo wakiwa wengi kwa mfano sasa huko NSSF siyo UDINI. Huu ubaguzi hautufikishi POPOTE.
INAKERA SANA HII SCENARIO.
Makiristo ndivyo yalivyo mkuuu. Chuki chuki we yapotezee tu.
 
Udin at work

Muksin Mambo anajua anachofanya
Wakwendee huko na udini yao ya kijinga me saivi nipo dstv so much more napata nnachotaka, sio unakua na decoder ndani lakini unaamuliwa cha kutazama sijui na muarabu gani huko Zanzibar pyeee
 
Wamejaza mashekhe badala ya wataalam sijui walitaka kufungua madrasa

Tamthilia zote ni udini tupu .majuba na

Udini unaimaliza azam

ni kama startime machannel kibao wagalatia makafiri mpaka inaboa huyu ana pepo anatolewa huku mwingine kaomba kwa mchungaji sasa kawa tajiri mwingine alikufa mchungaji kamfufua hao wachungaji wanaofufua watu si waende makaburi ya kinondoni kuwafufua wakina kanumba
 
Sindano imekwingia tuliza tako dawa iingie
ni kama startime machannel kibao wagalatia makafiri mpaka inaboa huyu ana pepo anatolewa huku mwingine kaoma kwa mchungaji sasa kawa taji mwingine alikufa mchungaji kamfufua hao wachungaji wanaofufua watu si waende makaburi ya kinondoni kuwafufua wakina kanumba
 
Hivi Charles Hillary,Ivona na Mumewe,mifano michache tu,hao wote ni majuba? Kuna watu muna udini sijapata kuona. Taasisi yoyote ambayo ina Waislam kuzidi Wakristo lazima isemwe ni Udini. UDOM,NSSF ni mifano michache. Lakini tasisi hizo hizo zikiwa na watu wengi wa dini nyingine,siyo UDINI. Kuna watu ni wachumia tumbo sana aisee. Kila siku kwa ubinafsi,Waislam wakiwa wengi taasisi yoyote,ni UDINI,Wakristo wakiwa wengi kwa mfano sasa huko NSSF siyo UDINI. Huu ubaguzi hautufikishi POPOTE.
INAKERA SANA HII SCENARIO.
Mkuu unaweza kuwa na point ila kuwa neutral fuatilia hili
 
Watanzania punguzeni jazba basi kidogo! This is free market economy! You may decide to jump as a frog to another company to enjoy services that you wish to get instead of unnecessary blah! Blah!
Mkuu wakwetu wanapopotea inabidi turekebishane maana yeye tupo nae kila siku huyu mgeni ataondoka kurudi kwao
 
Hamia DSTV
Hiyo kusingekua na mechi za LPL ingekua imekufa kibudu
 
ni kama startime machannel kibao wagalatia makafiri mpaka inaboa huyu ana pepo anatolewa huku mwingine kaomba kwa mchungaji sasa kawa tajiri mwingine alikufa mchungaji kamfufua hao wachungaji wanaofufua watu si waende makaburi ya kinondoni kuwafufua wakina kanumba
Chuki hizi, Startimes ni Chinese company inafanya kazi worldwide yani Azam cha mtoto sana na si kisimbusi cha dini fulani.

Hata wanaosema Azam ni kisimbusi cha dini hawako sawa ila tatizo linakuja uwingi wa maudhui ya kidini ya kiislamu kwenye channel zisizo za kidini kama Azam two na ZBC zote.

Na tatizo jingine kisimbusi cha Azam kina music channels kama nne tu ajabu hii.
Channel za kidini zipo nyingi tu na zipo upande wa other channels.

TING ndio inamilikiwa na taasisi ya dini.
 
Mpira wa bongo, mpira Laliga. Basi Tena. Siangalii mpaka mwezi wa nane. Kwa sasa Dear Mchina bureee au 14000/- yatosha
 
Bongo hakuna hiyo kitu...

Mwaka fulani nilikuwa naishi Nairobi wakati huo ndio Zuku inaanza anza, receiver ya Zuku ilikuwa unaweza pata data (internet) na TV contents...
Zuku fibre anaejua aniambie inafanyeje kazi au unapataje wa mkoani?
 
Back
Top Bottom