Azam Tv inapoteza mvuto

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,524
Points
2,000

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,524 2,000
Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!

Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!

Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!

Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
 

barakamorinho1357

JF-Expert Member
Joined
Aug 2, 2018
Messages
298
Points
500

barakamorinho1357

JF-Expert Member
Joined Aug 2, 2018
298 500
Hawa jamaa ndio maana hata kwenye timu yao ya Azam wanafeli pamoja na uwekezaji wao kuwa mkubwa.

wana ingilia taaluma za wakurugenzi wao ndio maana wanaboronga.

Mtu kama Tido ni kichwa sana lakini hapewi nafasi afanye kazi yake vizuri.

ndio maana Wanapoteza mvuto kwa kujaza machanel yasiokua na kichwa wala miguu.
Naomba uizungumzie na PSG , wanakwama wapi pamoja na uwekezaji mkubwa wanaowekeza!
 

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined
Mar 12, 2015
Messages
5,932
Points
2,000

Tz mbongo

JF-Expert Member
Joined Mar 12, 2015
5,932 2,000
Tamthilia za Nigeria tunazijua sana zilivyo ila watu waliangalia waliziangalia na mambo yao mengine wakawaachia bila lawama,bongo movie nao kama wakaiga wanigeria hasa movie za Kanumba ila watu wanaangalia mengine wanayaacha kama yalivyo,tamthilia ya siri za familia mwishoni mwishoni ilikuwa dini mwanzo mwisho ila watu hawakuleta lawama wakawaachia mambo yao,Tbc kutwa nyimbo za dini ila watu wanapotezea tu.Kwa kifupi haya mambo haya mambo hayajaanza Azam tv,tatizo hayo mengine yote yanaonekana ya kawaida kwao watu washazoea,sasa Azamtv ni kama wanaleta kitu ambacho ni kinyume na watu walivyozoea ndio maana unaona malalamiko ingawaje kuna Ting ambayo tangu kitambo tu ina mambo zaidi ya hayo .
 

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,229
Points
2,000

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,229 2,000
Hiii kitu mm ndo inaniboaa sana yaan mpk TBC sijui Safarii hii ingekuwa ni Channel ya Azam, hawajuii hata wateja wao wanataka nini...
Nilishawahii kufungua Uzi umu nikiwashauri Azam kwenda na Wakati...
SINEMA ZETU IWE NI YA KISASA TUONE SINEMA ZA EAST AFRICA MPYA SIO WALEWALE WAKINA JINGO SIJUI NA WAKINA NANI YAAN FILAM ZA 2015 NDO TUNAONESHWA LEO


Waanzishe channel za maudhii mbalimbali documentaries,history, watoto, movie za mbele, MUSIC..hapa ndo wamefeli kabsa yaan sijui kama wanavyosema wanajamvi UDINI kipindi wanafkria kuanzisha Azam sports HD mara sports 2 kwanini uwa awafkirii kuja na Channel ya MUSIC??....................

Taarifa ya habari tulishawasamehe basi iwepo channel ya habarii hata za nje basi km ilivo BBC na nyinginezo yaan ifke wakati mtu ukiwasha AZAM TV basi upate package ya CHANNEL kama hata 10 za azam....

Sasa wao ni Bukkede,Salt, cjui nini machannel yenyewe machafu yaan resolution mbayaa bora hata TBC.....
Mkuu ukitaka machaneli ya muziki nunua zuku ukitaka documentary channels nunua DSTV na Zuku ukitaka filamu za kihindi nunua Startimes ukitaka filamu za mapigano na zinazokwenda na wakati nunua DSTV ukitaka Michezo nunua Azam na DSTV sasa chaguo ni lako
 

ibanga

JF-Expert Member
Joined
Sep 9, 2017
Messages
204
Points
500

ibanga

JF-Expert Member
Joined Sep 9, 2017
204 500
Kwanza mnajuwa hii ni PRIVATE SATATION TV haifungamani na kikundi au Dini ya mtu yoyote kama una pesa zako unataka kurusha MATANGAZO LIVE. HATA YA KANISA JUST LIPIA UTARUSHIWA TU ,hizo mnazoziona za waislaam ni Vipindi vinavyo dhaminiwa na wadhamini wengine ni BAKHRESA CO. lts. Kwa hio kama kina ASAS WALIDHAMINI RAMADHAN CUP , na wakristo nao wadhamini KANISA CUP watarusha matangazo TATIZO ZA NCHIN HII WANAFIKIRIA NCHI HII NI MALI YA WAKRISTO , la hasha UKRISTO ULINGIA BAGAMOYO MIAKA 120 ILIOPITA JUST VERY SOON NA UISLAAM UKO AFRICA MASHARIKI KARIBU MIAKA 1000 Uliopita but still WAISLAAM HAWAJASEMA KAMA NCHI HII YA WAISLAAM PEKE YAO WANAJESHIMU DINI NYENGINE ZANZIBAR SULTAN ALITOA ARDHI PAJENGWE KANISA KWA MAPENZI YAKE MWENYEWE alikuwa na uwezo wa kukataa pia NA DAR ESSALAAM SEWA HAJI ALIJENGA HOSP LWA WATU WOTE HAJAJALI WAISLAAM AU WAKRISTO kwa hio propaganda zenu kwa TV AZAM hazina maana ,tokea MWALIMU NANI KAANZISHA KUONESHA LIVE PREMIER LIGI YA TANZANIA NA RUANDA KWENYE TV KILA MIKOA NANI KAMA SIO AZAM ,hata TBC na ITV NA STAR TV HAWANA UWEZO HUO , hakafu kumbuka mwenye TV STAR TV KWAYA NA MAHUBIRI YA KIKRISTO KILA WAKATI MBONA WAISLAAM
HAWASEMI NA PIA AZAM INA LIPIA CHANNEL ZA NJE KWA MIKATABA IKIWA SISI WENYEWE TCRA IAMWEKEA NGUMU AZAM WAZIRISHE HABARI PAMOJA KUFUNGIA LOCAL TV SABABU HATUJUI MAANA MBONA WAKATI WA KIKWETE CHANNEL ZOTE ZILIPITIANKWA KINGAMUZI HALUNA FREE DIGITAL TV KAMA ZAMANI UNAWEKA ARIEL UNAONA LEO UWE NA KINGAMUZI , sasa azam wakirusha TAMTHILIA ZA KITURUKI AU KIARABU INAWAHUSU NINI WATU WALALAMIKE
KUMBUKA MWENYE TV NIMUARABU NA MUISLAAM MNATAKA TAZAMENI HAMTAKI HAMJALAZIMISHWA ILA KIWEKA MISAA Za kikristo bila kulipia haiwezi kuoneshwa lazima ilipiwe kama
Za waislaam
Wanalipia
Mkuu hawa watu wanadamu za chuki na uislamu.
 

Polite

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
2,795
Points
2,000

Polite

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
2,795 2,000
Kimewekwa kwa ajili ya waislam na waislam in progress
Ha ha waelimishe ndugu zako wasiteseke na huo ujinga walionao, dunia inabadilika waache kuishi kwa mazoea.Europe wale mashoga wa kizungu wamepambana kueneza chuki juu ya uislam, wameshindwa, wasomi wa ulaya wamewaambia the word is changing.

Sasa wewe na chuki zako kwa uislam, unajifanya kulalamika wakati maamuzi unayo mikononi mwako, tuwaeleweje zaidi ya chuki za kijinga.

Wakristu acheni chuki za kijinga mnatia aibu.
 

muya os

Member
Joined
May 10, 2011
Messages
22
Points
45

muya os

Member
Joined May 10, 2011
22 45
Ha ha waelimishe ndugu zako wasiteseke na huo ujinga walionao, dunia inabadilika waache kuishi kwa mazoea.Europe wale mashoga wa kizungu wamepambana kueneza chuki juu ya uislam, wameshindwa, wasomi wa ulaya wamewaambia the word is changing.

Sasa wewe na chuki zako kwa uislam, unajifanya kulalamika wakati maamuzi unayo mikononi mwako, tuwaeleweje zaidi ya chuki za kijinga.

Wakristu acheni chuki za kijinga mnatia aibu.
Hivi kunamtu anateseka??? Au kunamtu alikufunga kamba kununua king'amuzi cha azamu mbona vipo ving'amuzi vinamambambio ya kutosha na kumsifu bwana hawaendi kununua acheni to go mbaya mmekuwa kama wanawake wa kizaramu kuku mle nyie mpangaji akipika anachafua nyumba kwa harufu usioipenda? Andamaneni muende kwa kakobe mkashitaki
 

NJOLO

JF-Expert Member
Joined
Mar 6, 2017
Messages
414
Points
500

NJOLO

JF-Expert Member
Joined Mar 6, 2017
414 500
Umaarufu wa Azam umeshikiliwa na ligi kuu ya mpira Tz.
Vinginevyo hakuna mtu wa kulipia channel hii.
Kuanzia sasa hadi mwezi wa Nane itakapoanza ligi kuu watapoteza mapato mengi sana.
Timu za ligi kuu wajiulize wananufaika na nini kutokana na kuonyeshwa kwa mechi zao kupitia Azam TV.
Timu hizi ikiwa ni pamoja na Yanga hali za za kiuchumi ni duni sana wakati Azam Tv wanavuna mabilioni kutokana na kuonyesha mechi zao.
 

MKEHA

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2013
Messages
521
Points
1,000

MKEHA

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2013
521 1,000
Nimejaribu kukufafanulia vizuri kabisa na nikakuwekea proved articles zilizoko Wikipedia zinazoielezea Tanzania na mifumo yake bado hutaki kuamini.

Mwaka 2012 wakati watu walioajiriwa na ofisi ya Takwimu ya taifa walikuwa wakihoji dini za wanakaya husika na hata kama mkuu wakaya hayupo aliyepo ndiye aliyetakiwa kutoa taarifa husika.

Mimi ni mmoja wa wanadamu walioulizwa maswali na mawakala wa ofisi ya taifa ya takwimu waliokuwa wakiendesha hilo zoezi Mkoa wa Mwanza.

Mwisho kabisa idadi ya Wakristo kuwa wengi kuliko waislamu kwa Taifa letu na hata Afrika nzima inaweza isikuhitaji hata takwimu kutambua.
Hapana kijana. Nilihesabisha sensa ya mwaka 2012 kwenye dodoso hapakuwa na swali la dini. Na tulipigwa marufuku kabisa kuhusu maswali ya dini. Kama uliulizwa basi ulikuwa nchi nyingine si Tanzania
 

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,229
Points
2,000

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,229 2,000
Hapana kijana. Nilihesabisha sensa ya mwaka 2012 kwenye dodoso hapakuwa na swali la dini. Na tulipigwa marufuku kabisa kuhusu maswali ya dini. Kama uliulizwa basi ulikuwa nchi nyingine si Tanzania
Niliulizwa nikiwa Jiji la Mwanza, manispaa ya Nyamagana kata ya Butimba.
 

Forum statistics

Threads 1,344,660
Members 515,970
Posts 32,831,170
Top