Azam Tv inapoteza mvuto

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,551
Points
2,000

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,551 2,000
Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!

Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!

Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!

Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
 

IROKOS

JF-Expert Member
Joined
Aug 13, 2011
Messages
8,116
Points
2,000

IROKOS

JF-Expert Member
Joined Aug 13, 2011
8,116 2,000
Wala sio promo, mie nilikuwa napenda mbc 2, mbc action na mbc max kwa sasa hizo zote na zingine nzuri wameoondoa, halafu gharama bado ziko juu. Huu ni mwezi wa mwisho kulipa ntabaki na dstv tu.
Wameondoa lini? Unalipa kifurushi cha sh ngapi?
 

Slowly

JF-Expert Member
Joined
Jul 7, 2016
Messages
2,569
Points
2,000

Slowly

JF-Expert Member
Joined Jul 7, 2016
2,569 2,000
Mkuu ukitaka machaneli ya muziki nunua zuku ukitaka documentary channels nunua DSTV na Zuku ukitaka filamu za kihindi nunua Startimes ukitaka filamu za mapigano na zinazokwenda na wakati nunua DSTV ukitaka Michezo nunua Azam na DSTV sasa chaguo ni lako
Mkuu nataka ninunue Dstv kwa kweli,hii azam udini tu Hamna lolote, na pia hakuna kitu nisichokipenda kama tamithiliya za kutafasiliwa na movie za kutafasiiwa aisee, yaan ni kero na zinapoteza ladha, bongo movie zenyewe naona za waislamu tuu akina kipupwe, so sad kwa kweli,....
Hvi ni kifurushi gan cha DSTV ambacho ni reasonable naweza pata vitu kuntu kama latest action movie..?
 

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,551
Points
2,000

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,551 2,000
Yupo nguli Tido Mhando pamoja na kuwa mnamsakama na makesi ya kubambikia ili a loose focus...
Basi tayari keshapoteza mwelekeo!! Azam ni kampuni ya kitanzania,ila kwenye tv yao kuna chaneli 12 za kenya(hadi za kikabila) kuna 8 za Uganda, 6 za Rwanda,2 za Zanzibar, 2 za somalia,2 za malawi,2 za Angola! Ila za Tanzania ni 2 za serikali na 4 za kwao wenyewe! Chaneli za nje zilizokuwa na unafuu(nzuri kiasi) wameondoa zote! Chaneli za watoto hakuna hata moja,ya music ni hiyo moja tu Mtv inayopita nyimbo za kinigeria tooka asubuhi hadi kesho asubuhi! Kiukweli Azam Tv imekuwa Takataka!
 

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined
Jun 15, 2016
Messages
1,804
Points
2,000

Ncherry1

JF-Expert Member
Joined Jun 15, 2016
1,804 2,000
Uyo mwenye azam ameshindwa kuongea na mshua akamrekebishia si ana pesa au ndo tuamini usemi wa pesa sio kila kitu mmmm yani unalpia 23 kwa kuangalia star gold tu si uzuzu kabsaa
 

Forum statistics

Threads 1,356,347
Members 518,895
Posts 33,130,923
Top