RUSTEM PASHA
JF-Expert Member
- Jan 26, 2016
- 4,734
- 11,461
Dsm hakuna cable mkuu, na nimarufuku cable kwa dsm.Hiyo huduma ya kebo inapatikana Daresalam ?
Naihitaji
Hebu eleza inapatikanaje
Dsm hakuna cable mkuu, na nimarufuku cable kwa dsm.Hiyo huduma ya kebo inapatikana Daresalam ?
Naihitaji
Hebu eleza inapatikanaje
Cable mikoani inapatikana kwa kwenda kwa mawakala maalum walioteuliwa kusambaza huduma ya cable, na gharama yake kwa mwezi nishilingi 7/10K, kwenye kuunganisha nimaelewano yako wewe na mawakala wanaotoa huduma hiyo ya cable.Hi
Hivi hii huduma ya kebo mikoani inapatkana vipi.? Navipi malipo yake
Shukrani ngoja nianze kuuliza michakato yake kwa huku nilipoCable mikoani inapatikana kwa kwenda kwa mawakala maalum walioteuliwa kusambaza huduma ya cable, na gharama yake kwa mwezi nishilingi 7/10K, kwenye kuunganisha nimaelewano yako wewe na mawakala wanaotoa huduma hiyo ya cable.
Elfu 56,,,unaona mechi zote na ligi zote kubwa dunianii,,bila kusahau basketballMkuu hawa canal channel zao za sport vifurushi bei gani?.Je Epl,UEFA,ueropa nazinginezo zinaonekana?.
Kwa hiyo unataka kuniambia Tanzania Waislamu ndiyo wengi?Hivi nyie wagalatia kwanini waongo hivyo? Sensa ya 2012 ilikuwa haina kipengele cha dini ndio maana waislam wakaigomea sasa hizo takwimu umepata wapi?
2012Mkuu sensa ipi ilitaja idadi ya wakristo na waislam katika nchi hi?.
Yaan unapata bila tatizo kbs tena kwa gharama ya elfu 8 tu kwa mwezi.Huduma ya kebo ipo Vizur kweli Chanel zote za local unapata Chanel za nje zimo Yaani full burudani
Nenda zako tatizo mnajihisi sana nyie kipindi filamu za naijeria zinaingia bongo na kurushwa na kituo cha ITV mbona waislam hatukulalamika na zile sinema zote zinaanzia kwa waganga wa kienyeji zinaishia kanisaniAsante
Mm ni mbwa
Ila udini sijausema kwenye wafanyakazi
Ungejaribu kuniuliza , matusi hayafai ndugu
Ubarikuwe na pendo la bwana wetu Yesu kristo.
Tanzania local channels ni muhimu hauangalii Tv peke yako unafamilia n.k lazima watahitaji channels za nyumbani.Anaweza.....kinauzwa nadhani 70 wakati azam 100+, DStv bando la chn 19. Angala unapata channel chache lakini mzuri. 160 mnaopenda masinema ya kibongo, wale wa Nigeria 152 sijui Mia hamsin na ngapi, move za kidhungu 139 sijui na 136 etc, taarifa za habar za nje utachoka mwenyewe, wapenda wanyama 182 24/7 angalau kupoteza mda na mambo ya michezo 209/210 na wapenda mieleka current hapa ndio kwao. Kwa kuwa mda wa kuangalia tv sio mwingi nadhani datv Ni best choice. .local channels hamna cha maana , na utamis chochote maana utacipata kwenye magazeti na other means kwenye simu janja yako
AsanteNenda zako tatizo mnajihisi sana nyie kipindi filamu za naijeria zinaingia bongo na kurushwa na kituo cha ITV mbona waislam hatukulalamika na zile sinema zote zinaanzia kwa waganga wa kienyeji zinaishia kanisani
Sio kweli labda kama wewe mgeni tz2012
Mkuu mbona hapakuwa nakuulizwa dhehebu au dini sensa hiyo?.2012
Acha uongo tuligomea na kwa taarifa yako sio sisi tu tuliogoma hadi wafanyakazi waliokuwa wanahesabu watu waligoma kwani wakikuta nyumba ya muislam ambae hataki kuhesabiwa walikuwa wanafueahi wanapika dataKwa hiyo unataka kuniambia Tanzania Waislamu ndiyo wengi?
Huwezi kugomea sensa hata siku moja na sensa ilifanyika mimi binafsi niliulizwa dini yangu ni ipi na uhuru wa kusema huna dini ulikuwepo
Biashara ya chostik zile tulizokuwa tunazililia kuzifata kariakoo enzi hizo haijafa?Azam hawajawahi kuanzisha biashara ikafa.. Wako vizuri kwenye marketing. Sahau!
Kwa anayehitaji King'amuzi chochote au huduma ya ufundi kwa Dar es Salaam
Bei zetu za ving'amuzi
DStv 99,000 + 20000 ufundi
Startimes(dish) 140,000
Azam 145,000
Simu: 0764453848
Sensa wakati inafanyika ulikuwa wapi? Ingia kwenye tovuti ya ofisi ya takwimu Tz ukikosa njoo na screenshot hapaSio kweli labda kama wewe mgeni tz
Nauza king'amuzi cha DSTV bei chee elf 70. Maongez yapo
Ingia kwenye tovuti ya ofisi ya taifa ya takwimu na utaona.Mkuu mbona hapakuwa nakuulizwa dhehebu au dini sensa hiyo?.
Kama sijasahau nakumbuka waislam walidai sensa itakayotambua kigezo cha dini yamtu nandugu zangu wakristo waliipiga marufuku. Naomba ukumbuke vizuri ndugu yangu hio sensa yakuulizana dini haikuwa ndani ya nchi hi.
Walikuambia hivyo? Au unahisi?Wanarekebisha mitambo