Azam Tv inapoteza mvuto

Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined
Dec 15, 2011
Messages
9,476
Points
2,000
Capt Tamar

Capt Tamar

JF-Expert Member
Joined Dec 15, 2011
9,476 2,000
Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!

Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!

Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!

Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
 
shululu

shululu

JF-Expert Member
Joined
Jan 26, 2015
Messages
27,967
Points
2,000
shululu

shululu

JF-Expert Member
Joined Jan 26, 2015
27,967 2,000
Mkuu nataka ninunue Dstv kwa kweli,hii azam udini tu Hamna lolote, na pia hakuna kitu nisichokipenda kama tamithiliya za kutafasiliwa na movie za kutafasiiwa aisee, yaan ni kero na zinapoteza ladha, bongo movie zenyewe naona za waislamu tuu akina kipupwe, so sad kwa kweli,....
Hvi ni kifurushi gan cha DSTV ambacho ni reasonable naweza pata vitu kuntu kama latest action movie..?
Kifurushi cha 70,000 au 109,000
 
Kukaja Kununu

Kukaja Kununu

Senior Member
Joined
Mar 27, 2017
Messages
183
Points
250
Kukaja Kununu

Kukaja Kununu

Senior Member
Joined Mar 27, 2017
183 250
Tupe maufundi malipo yakoje hasa? Tofauti ya Malawi na bongo visimbuzi vikoje haswa na mnanunua wapi ni tsh ngapi tuchangamkie?
kama una ndugu au mtu wa karibu ambaye yupo mbeya itakuwa rahisi sana kupata coz huko ndo vimejaa kama utitiri....tofaut n kwamba visimbuzi vya azam Malawi vina izo channel zote na gharama ya mauzo kama haijabadilika ni 90,000/=
 
D

deo paul555

JF-Expert Member
Joined
Oct 22, 2018
Messages
645
Points
250
D

deo paul555

JF-Expert Member
Joined Oct 22, 2018
645 250
kama una ndugu au mtu wa karibu ambaye yupo mbeya itakuwa rahisi sana kupata coz huko ndo vimejaa kama utitiri....tofaut n kwamba visimbuzi vya azam Malawi vina izo channel zote na gharama ya mauzo kama haijabadilika ni 90,000/=
Za bongo bure? Au mpaka ulipie ndio uone mdau zile tano?
 
M

Mbweni

Senior Member
Joined
Feb 21, 2012
Messages
116
Points
225
M

Mbweni

Senior Member
Joined Feb 21, 2012
116 225
Tulivumilia pale local chanel zilipoondolewa,tukailaumu Serikali kwa kuwanyima kurusha chanel hizo za ndani,bado tuliridhika na baadhi ya chanel za nje kama Discovery science,Bet,Mbc1,2,3,4,Mbc action,power+nk, Watoto waliinjoy chanel zao kama Baby tv,Nickelodeon nk,lakini sasa hata hizo nazo hazipo tena!!

Sijui tumlaumu nani,nimelipia bando la 28,000/lakini sioni cha kutazama!

Naijutia hela yangu kwa kweli,hata ile ya music nayo wameondoa!

Nimeikumbuka mchina yangu (startimes) mnatuangusha wateja wenu!
Acha uzushi , mbona zipo zinaonekana.nyie ndo wale mnapenda kuchafua kazi za watu
 
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined
Mar 22, 2019
Messages
3,271
Points
2,000
Dripboy

Dripboy

JF-Expert Member
Joined Mar 22, 2019
3,271 2,000
Mkuu nataka ninunue Dstv kwa kweli,hii azam udini tu Hamna lolote, na pia hakuna kitu nisichokipenda kama tamithiliya za kutafasiliwa na movie za kutafasiiwa aisee, yaan ni kero na zinapoteza ladha, bongo movie zenyewe naona za waislamu tuu akina kipupwe, so sad kwa kweli,....
Hvi ni kifurushi gan cha DSTV ambacho ni reasonable naweza pata vitu kuntu kama latest action movie..?
Ni ghali sana kuanzia 50+ cha bei ya chini kabisa ni 19 elfu
 
Polite

Polite

JF-Expert Member
Joined
Apr 12, 2011
Messages
2,776
Points
2,000
Polite

Polite

JF-Expert Member
Joined Apr 12, 2011
2,776 2,000
Filamu ya sultan inapromote uislamu au hulijui hilo
Kama kuwepo kwa uislam kwenye ile Filamu ndio udini, kaka utakua unamatatizo kama sio kielimu basi exposure, au utakuwa mgonjwa wa islamophobic serious.

Ile Filamu context yake ni Ottoman Empire
And Islam was the lifestyle kwenye ile Empire, its a real story sio fiction, mpaka vita ya mwisho England walishindwa kutake over ile Empire.Kuna vitabu vingi kuhusu hio ottoman empire.Hata leo ukienda Turkey huo uislam unauona kwenye sultan ndo maisha yao Halisi.Na hii Sultan imechukua Tuzo, na hio Tuzo sio kwa sababu yako ya kigala ya kupromote.

Mfano kwenye Roman Empire Constantine of Constatinople alicovert from paganism to Christianity akapelekea The Trumph of Christianity in the Roman Empire.Ukiwekewa Drama ya Roman Empire huwezi kusema hii drama ipo kwa ajili ya kupromote Christianity, wakati ni history HALISI ya Europe, vitu kama Benedictian monastisizm na Celibacy haviwezi kuhamisha hisia zako.

Kama historia ya ile nchi haiwezi kukufanya u enjoy sababu ya uislam, dude you have to fix your brain.Usije ukawa uneducated fool from uneducated school.
 
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined
Mar 28, 2017
Messages
3,482
Points
2,000
Che mittoga

Che mittoga

JF-Expert Member
Joined Mar 28, 2017
3,482 2,000
Ndugu Tz mbongo
Wewe haulalamiki udini huko Azam?
Mimi sijalalamika angalia posti zangu hapo juu.
Azam ana hiari ya kuweka vipindi anavyo taka yeye kwani TV ni biashara aliyoianzisha yeye mwenyewe.
 
Forum statistics

Threads 1,315,049
Members 505,132
Posts 31,846,422
Top