Azam Tv inapoteza mvuto

Azam Tv inapoteza mvuto

Azam ni wakuda sijawahi kuona, sema sisi Watanzania hatuna umoja tungepiga campeni ya kutotumia hivi vingamuzi vyao vya kindezi... Hii mijamaa ni hopeless sana, wametoa chanel ya NASA hii mijamaa iliniboa kishenzi...

Mi mijitu ya Azam ichunguzwe uraia wao, kwanza nahisi inakwepa kodi TRA kachunguzeni hawa wahuni.... Waliniboa walivyo ondoa chanel ya NASA na Discover...
 
Back
Top Bottom