Azam tv hawana lolote

Azam tv hawana lolote

Yote kumi ni cable. Waulize wakazi Wa Bukoba kama watakuelewa na suala la vingamuzi, Bukoba Cable ina channel 80+ local tv za kumwaga, channel za mpira (soccer) hamna mechi itakayokupita ata ligi za amerika kusini na asia zinapatika. Yote haya no kwa gharama za Tsh 10,000/= kwa mwezi. Majumbani ata kama una tv kumi bei hiyohiyo

Nilishawahi kujiuliza hilo, mikoani issue hii ya ving'amuzi wala hawana mzuka nalo maana cable TV ina channel bomba na ligi tamu zote unapata tena kwa Tsh10000/- kwa mwezi. Hadi sasa hamna king'amuzi chochote hapa Tanzania( DSTV haihusiki hapa) ambacho kinafikia CABLE TV( I stand to be corrected).
 
escober said:
chaneli za dini hakuna halafu monthly payment ipo juu

Siamini KAMA ZA DINI ZITAINYESHWA, Msimamo wa KIIMANI wa MWENYE TV kamwe HAWEZI KUONYESHA VIPINDI VYA DINI FULANI(mnaijua sana). Kwahio bora hata vya dini yake visiwepo kuliko kuonyesha na hio ASIYOIPENDA, subirini ianze MTAONA ukweli wa haya nisemayo!
 
Mkuu ziko poa wapi wakati hamna ITV,StarTV,Eatv ambazo ni chaneli ambazo zinapendwa na Watanzania wengi.
Chaneli za habari kama CNN,Press, nk hazipo.
chaneli za dini sijaona hata moja
chaneli za michezo ya maana kama epl na ligi zingine hakuna. Nini tofauti yao na startimes na vin'gamuzi vingine

Mwanzo mgumu mkuu, si mbaya kwa hatua aliyoanza nayo
 
TING wana upinzani gani ndugu?

Ting hana upizani wowote, visumbuzi vyao tumesha vitupa, walikuwa wananipigia simu nikawambia msinipigie tene mimi sio mteja wenu kidude chenu nimeshakitupa, watu tunataka burudani nyinyi mnatangaza dini! kwani makanisa yalipo hatupajui!.
 
Hivi TCRA si walisema king'amuzi chochote kile sharti kiwe na local channels zenye leseni ya kuonekana taifa zima?

Sasa inakuaje IPP Media wamegoma kuingia kwenye hivi ving'amuzi vya azam?
 
hicho king'amuzi cha azam kinauzwaje? na subscription ya kila mwezi ni kiasi gani?
 
Yote kumi ni cable. Waulize wakazi Wa Bukoba kama watakuelewa na suala la vingamuzi, Bukoba Cable ina channel 80+ local tv za kumwaga, channel za mpira (soccer) hamna mechi itakayokupita ata ligi za amerika kusini na asia zinapatika. Yote haya no kwa gharama za Tsh 10,000/= kwa mwezi. Majumbani ata kama una tv kumi bei hiyohiyo

sisi wa songea km kawaida cable
 
Hivi TCRA si walisema king'amuzi chochote kile sharti kiwe na local channels zenye leseni ya kuonekana taifa zima?

Sasa inakuaje IPP Media wamegoma kuingia kwenye hivi ving'amuzi vya azam?

wao waliingia mkataba na vingamuzi vitatu tu. Azamu haipo
 
sure kwa kweli hawajaweza kukata kiu ya kupata channel nzuri kwa bei nafuu hapa naona kama star times tu nyingine!! DSTV ni ghali lakini ndio the ultimate viewing experience!! kama kisembusi hakionyeshi ligi ya uingereza, formula 1, au NBA au siwez pata boxing channel kwa kweli cwez kipenda icho kisembusi!!!
 
Mm nampongeza azam kwa hatua aliyofikia, huwezi kulinganisha azam anayerusha signal kwa kutumia satellite name digital za km star times labda zuku . Pia kumshutumu azam kwa kushindwa kuonyesha EPL si sahihi kwani lessen hutolewa na Fa UK ndio mana hata abudhabi hakupewa lessen. Hakuna shortcut dstv amepewa lessen ya kuonyesha hizo ligi kwa nchi zote kusini Mwa jangwa la sahara pamoja na Nigeria. Muhimu ni kwa azam kufanya makubaliano na ITV startv ili awe na local zote

hapo umesema na pia ajaribu kufuatilia na kuongeza free to air channels nyingine kama cnn,cctv,press tv,bet,france,arirang,japan etc
 
Mkuu kama hawana lolote na hizo ulizo weka kwenye list ni kitu gani? Au wewe ndio mmiliki wa DSTV.
 
Kifurushi cha Killi cha Startimes kinacho uzwa 40,000 + chanel 2 za bure,Azam anakiuza kwa 12,500 +chanel 9 za bure...Muda c mrefu mchina atarudi kwao
 
kwa hapo kweli hakuna jipya mbona coconut digitol wana kingamuzi kizuri tu chanelu nzuri unapata na epl uefa hata la liga unaona hawa wengine wababaishaji tu kama kuna katuni waache watizame wao tu sawa mkuu?

za kibongo zipo.?
 
Back
Top Bottom