Azam tv hawana lolote

Azam tv hawana lolote

Upumbavu walioufanya startimes utawagharimu maisha yao yote, sasa gharama za kubadilisha zitakua za nani? Au hii ni kwa ajili ya wateja wapya tu.

tusubiri tuone

nimenunua kifurushi cha kili hapa chanel zingine zinaonesha fresh na nyingine zinaandika no service mmmhhh kama si maajabu ni nini

the same time the same location eti no service tena zilezile za kili .
 
Wakuu Azam Media wametoa chaneli ambazo zitakuwa kwenye kin'gamuzi chao. kwa mtazamo wangu wameshindwa kukidhi matakwa yangu kwani nilifikiri watakuja kivingine lakini chaneli zao ni zile kama za star times.

Swali. Kwa chaneli hizi hawa Azam Tv wana jipya?

Wadau,

CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:

FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel

MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN

MLIMANI MBONA HAIPO
au imeondolewa???????????
 
Hivi TCRA mpo wapi? kwani hakuna Runinga zenye uwezo wa ki-dijitali? kwanini TV zinazoingia bado ni analojia?
Kama tuna wanasayansi wa elektroniki kwanini msitumie fursa hii kutengeneza runinga hizi au hata kuingia ubia na makampuni makubwa ili tupate runinga hizo.
Nategemea kuwepo na TV zenye kutumia kadi (smart card) tu kama simu za mikononi na tuachane na haya mambo ya kununua ving'amuzi vya kila aina. AMKENI BANA.

Tv mbona zipo mkuu? Hela yako tu, Samsung smart tv ni mfano mmoja.
 
Mleta mada, yaani huoni tofauti! Mimi nitajiunga na Azam Tv ili nipate hizo chaneli zao za bure, huwezi kuzipata bure hizo channel Star Times.
 
Wakuu Azam Media wametoa chaneli ambazo zitakuwa kwenye kin'gamuzi chao. kwa mtazamo wangu wameshindwa kukidhi matakwa yangu kwani nilifikiri watakuja kivingine lakini chaneli zao ni zile kama za star times.

Swali. Kwa chaneli hizi hawa Azam Tv wana jipya?

Wadau,

CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:

FILAMU:
Sinema Zetu
MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel

MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN

Wewe ndio huna lolote wala jipya
 
Wakuu Azam Media wametoa chaneli ambazo zitakuwa kwenye kin'gamuzi chao. kwa mtazamo wangu wameshindwa kukidhi matakwa yangu kwani nilifikiri watakuja kivingine lakini chaneli zao ni zile kama za star times.

Swali. Kwa chaneli hizi hawa Azam Tv wana jipya?

Wadau,

CHANELI ZITAKAZOPATIKANA KWENYE KING`AMUZI CHA AZAM TV NI:

FILAMU:
Sinema Zetu MGM Movies
African Movie Channel
Zee Cinema
Star Gold

BURUDANI:
Azam 1
Azam 2
Fox Entertainment
FX
e.tv
ZOOM
Star Plus
Zing
Colours
Euro Channel

MICHEZO:
Setanta Africa
Kombat Sports
MCS Compact
MCS Extreme

MUZIKI:
MTV BASE
MTV India
Box TV

MAARIFA:
Nat Geo
Discovery Investigation
Discovery Science

MAISHA:
Fine Living
Outdoor
Landscape

HABARI:
BBC News
Al-Jazeera - English
Al-Jazeera - Arabic
ENCA
Times Now

WATOTO:
Kids Co
Nickelodeon
Al-Jazeera - Kids

CHANELI ZA BURE:
TBC
Clouds TV
ZBC
Channel 10
Mlimani TV
KBC
Citizen
K24
KTN

kwenye blue hapo mama watoto ataenjoy sana,miye kwenye red hapo haunitoi,at least hawa wamejitahidi kubalance channel zao tofauti na startimes,ila kwa zuku hata draw hawatoi
 
kwa 98% ni sawa na startimes. Kibiashara azam wanatakiwa wajitahidi wawe na competitive na comperative advantage nyingine!
 
tusubiri tuone

nimenunua kifurushi cha kili hapa chanel zingine zinaonesha fresh na nyingine zinaandika no service mmmhhh kama si maajabu ni nini

the same time the same location eti no service tena zilezile za kili .

Tumesema sana kuhusu startimes mi nimewachoka mpaka basi.
 
Back
Top Bottom