duh ndo nani hao coconut digital?Kwa hapo kweli hakuna jipya mbona coconut digitol wana kingamuzi kizuri tu chanelu nzuri unapata na epl uefa hata la liga unaona hawa wengine wababaishaji tu kama kuna katuni waache watizame wao tu sawa mkuu?
wao waliingia mkataba na vingamuzi vitatu tu. Azamu haipo
Siamini KAMA ZA DINI ZITAINYESHWA, Msimamo wa KIIMANI wa MWENYE TV kamwe HAWEZI KUONYESHA VIPINDI VYA DINI FULANI(mnaijua sana). Kwahio bora hata vya dini yake visiwepo kuliko kuonyesha na hio ASIYOIPENDA, subirini ianze MTAONA ukweli wa haya nisemayo!
Mambo yote dstv wengine hawa michosho tu. Hongera zake azam kwa hatua kubwa. Hata mbuyu ulianza kama mchicha
Mkuu wewe mwenye lolote tupe basi chaneli zako.
Kwa sisi watu wa kushughulisha ubongo naona poa tu kitu Nat geo pamoja na hzo discovery chanel kwangu yatosha
kama channel zipi za maana?.Mimi ni mteja wa bidhaa karibia zote za Azam, wako makini, lakini hapa wamenikosa, hakuna jipya. Najua kupata haki ya kurusha channel za maana zinahitaji budget ya kushiba, na wakiangalia trend ya soko la paytv bongo wanaona ngumu kumeza, hapo ndiyo maana wameamu kufanya wanachofanya wenzao kutulisha takataka! DSTV bado baba lao.
HAWANA LOLOTE!...Nothing personal, kama imekugusa pole.
Kama hivyo ni sawa kuliko star times coz hapa Morogoro startimes chaneli za Tz tunapata mbili tu yani tunainabiwq
King'amuzi chochote kisicho na ITV, EATV na Star TV hakina maana yoyote kwangu
Baada ya kufunikwa na AZAMTV startimes waja kivingine
Mkuu unajua kama haya makampuni yetu yanakuwa yanakurupuka kutaka mambo ya wtu kwa nn wanashindwa kuonyesha kitu cha maana wanatuekea makatoun na ma tv yaliyokuwa hayana mpango lkn huu wote ni ubahili mbona dstv hakurupuki unatizama kitu cha maana?