barafu
JF-Expert Member
- Apr 28, 2013
- 6,739
- 32,865
Ni jukumu letu kuhakikisha kuwa tunazidi kuwaridhisha wadau wetu kwa kuboresha huduma zetu kulingana na maoni yenu mnayotufikishia kwa njia mbalimbali.
Sasa tumeongeza chaneli zaidi kwenye vifurushi vyetu vikuu kwa shilingi 3,000 TU!!!
Bei hii itaanza kutumika rasmi kuanzia tarehe 21 Machi 2016.
Vifurushi vyote sasa vitakuwa na zile channel za michezo za Azam Sports HD, LFCTV, MUTV & Real Madrid TV ambazo hapo awali zilitengwa kwenye kifurushi cha michezo ambapo kuzipata iliwapasa kulipia ziada ya shilingi 15,000.
Ongezeko la channel ni kwa vifurushi vyote vikuu ambapo sasa Azam Pure kilichokuwa shilingi 12,000 kitakuwa na chaneli hizo zilizotajwa hapo juu na nyingine zaidi kama Al Jazeera, Africa Movie Channel, MBC Power Plus, MBC Bollywood n.k kwa bei mpya ya shilingi 15,000.
Azam Plus kilichokuwa 20,000 sasa kitakuwa na channel hizo za michezo na zile zake za awali pamoja na ile channel ya biashara ya Bloomberg kwa shilingi 23,000.
Azam Play kilichokuwa 25,000 sasa utapata channel zote zaidi ya 85 zinazopatikana ndani ya azamtv kwa shilingi 28,000.
Ni ongezeko la shilingi elfu tatu kwa uhondo wote huo!!
Sasa hii ndiyo Burudani kwa Wote
#ChizikaKiburudaniZaidi
#KifurushichaNyongezaTupaKule
Kwa maelezo zaidi, Wasiliana nasi kupitia 0784108000, 0764700222 au 0225508080.
More good news to our loyal and consistent customers in Tanzania! Your satisfaction is very important to us & in line with that, we have added more channels on our basic packages for 3,000 Tshs. ONLY effective on March 21st 2016.
All the packages will have Azam Sports HD, LFCTV, MUTV & R. Madrid TV while Azam Pure will have more channels like Al Jazeera, Africa Movie Channel, MBC Power Plus etc. Azam Pure will be 15,000, Azam Plus 23,000 & Azam Play 28,000.
For more info, please call 0784108000, 0764700222 or 0225508080.