Kwa hili TCRA imulikeni Azam TV

Kwa hili TCRA imulikeni Azam TV

Governor of Bettors-GB

JF-Expert Member
Joined
Jul 14, 2013
Posts
11,007
Reaction score
10,401
Services Providers wa TV na wasimamiaji wa Ving`amuzi vyoote.
Wametakiwa kuachia Channels za ndani,Local Channels bure kwa muda maalum baada ya Bundle ya mteja kuisha.
Kwa maelezo ya TCRA hapo awali.

Sasa Azam Tv wao kama Bundle ikiisha,basi Channel zao ambayo ni Local Channel AZAM TV TWO na ONE,huzifunga pia.Nakuziacha nyingine Local Channels kama Star Tv,TBC,ITV,ZBC,EATv.

Sasa je wao sio Local Channels?na wamepewa uwezo wakutoa hadi Taarifa ya Habari.

Sina uhakika kama TCRA walibadilisha huu mfumo.
 
Wewe sio mkweli......muongozo na kanuni ya mamlaka ni kwamba ...
wanatakiwa kuachia FtA national channels ...ambazo umetaja. Hizo Az 1na 2 ni subscribed channels. Lipia tu.
Kaka mie zipo wazi sina deni,namshkuru mungu kwamba siwezi kukosa elfu kumi na mbili za kulipia kwa mwezi,kulipia sio hoja.

Hoja ni kwamba ufafanuzi wa hicho umechoelezea.
FtA national Channels,hembu elezea ueleweke
 
Mkuu una uhakika na unachosema ? Unajua Leseni ya Azam na DSTV ina tofauti na kina Startimes, Continental et al.... ambao hawa leseni yao inawabana kuonyesha zile Free to Air Channels (yaani hata ukipata TV yenye internal Decoder bila Kingamuzi chochote unapata hizo channels za Free to Air..

Hawa kina Azam, DSTV na Cable ni tofauti wewe unacholipia ni plus ile connection kwahio pindi unapoacha kulipa connection inakatwa full...,
 
Services Providers wa TV na wasimamiaji wa Ving`amuzi vyoote.
Wametakiwa kuachia Channels za ndani,Local Channels bure kwa muda maalum baada ya Bundle ya mteja kuisha.
Kwa maelezo ya TCRA hapo awali.

Sasa Azam Tv wao kama Bundle ikiisha,basi Channel zao ambayo ni Local Channel AZAM TV TWO na ONE,huzifunga pia.Nakuziacha nyingine Local Channels kama Star Tv,TBC,ITV,ZBC,EATv.

Sasa je wao sio Local Channels?na wamepewa uwezo wakutoa hadi Taarifa ya Habari.

Sina uhakika kama TCRA walibadilisha huu mfumo.
mkuu hauko makini hivi hizo azam 1&2 umeshawahi kuziona nje ya king'amuzi cha azam? yaani umeshaziona star times, continatal, zuku, digtec, dstv nk?
 
Kumbe sheria inasema hivyo mbona Dstv wanafunga zote hadi TBC ambayo ni ya taifa?

Dstv wanakata kila kitu. .. serikali imelala

Aisee.......kumbe kuna sheria ya wao kutakiwa waachie............wakuu.......inaanza na sisi.......hebu tutafute hiyo sheria Ili tupate mwangaza.........hawa ndorooooobo wasitutishe.........
 
wazili makamba unaelewa kwamba zuku wanakata adi TBC? .wafungieni wote wanaokiuka utaratibu.
 
zuku wapurusa kila kitu wanakuachia Zuku Zone tu uangalie majengo ya kenya Baaaas!!
TCRA mko wapi?
 
Last edited by a moderator:
Kaka mie zipo wazi sina deni,namshkuru mungu kwamba siwezi kukosa elfu kumi na mbili za kulipia kwa mwezi,kulipia sio hoja.

Hoja ni kwamba ufafanuzi wa hicho umechoelezea.
FtA national Channels,hembu elezea ueleweke

Unaonekana hujalipia siku nyingi,hakuna tena kifurushi cha elfu kumi na mbili. Acha ubahili kalipe! Mnafungia visimbuzi sifa kulipa ni matatizo
 
Duuuuh jaman mm n mhanga wa Dstv huwa hata sekunde haipt pind muda wa klipia ukfk hakna cha local chanel wala nn zote wanakata na wanachanel nne tu za ndan nazo n tbc,Itv, star tv na chanel ten. Nadhan TCRA watuxaidie kulikon kwa hawa jamaa na hata Eatv haipo?
 
Dstv inanimaliza kifurushi kikiisha wanakata chanel zote wanaachaa channel ya matangazo na channel kama tatu za kichina, sasa najiuliza iweje channel za nyumbani hazionekani lakini wakatuwekea za kichina.
 
Toandugu toandugu ulichonachowewe bwana anakuona mpaka moyon mwako
 
Services Providers wa TV na wasimamiaji wa Ving`amuzi vyoote.
Wametakiwa kuachia Channels za ndani,Local Channels bure kwa muda maalum baada ya Bundle ya mteja kuisha.
Kwa maelezo ya TCRA hapo awali.

Sasa Azam Tv wao kama Bundle ikiisha,basi Channel zao ambayo ni Local Channel AZAM TV TWO na ONE,huzifunga pia.Nakuziacha nyingine Local Channels kama Star Tv,TBC,ITV,ZBC,EATv.

Sasa je wao sio Local Channels?na wamepewa uwezo wakutoa hadi Taarifa ya Habari.

Sina uhakika kama TCRA walibadilisha huu mfumo.

Local Chanels za bure ni 5 tuu,
  1. TBC-1,
  2. ITV,
  3. Star Tv,
  4. Channel Ten
  5. Na EATV
TV nyingine zote sio bure, wakiwemo hao Azam, ZBC, Clouds TV, Mlimani TV, TV One, Tumaini TV, CTN, Capital, etc.

Kiukweli ZBC ilipaswa kuwa ni ya bure lakini sijui kwa nini sio bure!.

Pasco
 
Back
Top Bottom