hata bbc swahili akina kikeke huwa wanatafuta kuwahoji waislamu tu hata wakiwa itayl kama jana walikuwa wanamuhoji dr hamza nani sijui uingereza waislamu wana inferiorty complex hivyo wanatafuta kuonekana kila ikipatkinana nafasi.
Yeah, yaweza kuwa inferiority complex lakini pia yaweza kuwa kujitambua. Na udini upo kila sehemu duniani, kinachotukia ni kwamba kwenye baadhi ya nchi tunafanya unafiki. Ila wasio wanafiki kama wakina TRUMP ndo wana uthubutu wa kusimama hadharani na kusema mawazo yao juu ya uislamu. Ebu tuangalie
Wamagharibi wote wanaupinga uislam (kama unabisha bisha kwa hoja mtoa mada)
-na miaka kadhaa iliyopita tulishuhudia nchi kadhaa zikikataza wanawake nchini kwao kuvaa NIKAB, pia kuna nchi nyingine ( yaweza kuwa sweden ila cna kumbukumbu nzuri, naekumbuka anisaidie) ilipiga marufuku kupiga adhana na ikaamrisha kuvunja minara ya msikitini.
_ukiangalia marekani: mpaka Trump anapata uthubutu wa kutumia hoja ya kuwakandamiza waislamu kama njia ya kuombea kura bas anajua wazi kuwa kuna uungwaji mkono mkubwa nyuma yake.
_Unalikumbuka tukio la mauaji ya mwembechai?
_umejiuliza kwann ijumaa watu wanaenda makazini lakin jumapili n cku ya mapumziko?
_umejiuliza kwann Muslim University of Morogoro (MUM) hawapo TCU?
_Miaka kadhaa ilikuwa ni nadra kumkuta msomi maeneo ya pwani kama vile Tanga, mkoa wa pwani n.k unajua ni kwann?
_Mwisho, kama una muda pitia ratio za viongozi (in terms of their religions) kwa kama vile mawaziri, wakuu wa mikoa na wakuu wa wilaya, hata wakuu wa shule angalia waislamu ni wangap na wakristo ni wangap. Especially kipindi cha Mkapa na Kikwete.
So c kitu cha ajabu hao wanahabari kuzifanyia-FOREGROUNDING hizo fact ulizotaja kwa maana cyo mambo ambayo tumezoea kuyaona.