AZAM TV acheni ubaguzi wa kidini

AZAM TV acheni ubaguzi wa kidini

Status
Not open for further replies.
Hapo ubaguzi upo wapi kwani uongo mbona hivyo vitu vya kawaida tu kinachokusumbua wewe ni chuki dhidi ya Uislam roho imekuuma sana pole.

Sasa wewe ulikuwa unatakaje utakia kusikia Muislam wa kwanza kuwa Waziri Rwanda?

Wewe ndiyo mdini.
hivi muislam kuwa waziri ruanda ni news? why?
 
Nilimsikia Mara ya kwanza nikajua labda mimi ndo sijasikia vizuri mmh kumbe nilisikia Sawa MI nahisi labda ni kitu ambacho hakikuwepo kuwa na waziri muislamu so ni fahari kwao
Uko sahihi kabisa ni kitu kigeni kimetokea huko Rwanda hivyo kwa Waislam wa huko kwao ni fahari nao kushiki ktk uongozi wa nchi, jamani tu fair kidogo kwa wenzetu. Jana watu walipoona huko Zanzibar Castico anaapishwa walisema wala haikuwa tatizo ila huku ni husda kubwa. Nakushauri Isome Biblia vizuri uielewe jinsi ya kuishi na wengine
 
Hapo ubaguzi upo wapi kwani uongo mbona hivyo vitu vya kawaida tu kinachokusumbua wewe ni chuki dhidi ya Uislam roho imekuuma sana pole.

Sasa wewe ulikuwa unatakaje utakia kusikia Muislam wa kwanza kuwa Waziri Rwanda?

Wewe ndiyo mdini.

Hii ni kama Wanahabari wa wakati huo kutilia mkazo dini ya Waziri Mkuu wa Iraq enzi zile za Sadaam Hussein, Tariq Azizi, ambaye alikuwa Mkristo.
 
yaani katika maneno yote aliyoongea mwandishi, neno lililokukera ni " muislamu" ajabu sana hii!
kwa BBC hilo mwandishi amekosea halina mjadala, inaonekana katika kupanga kazi yake aliweka kigezo cha udini kwa kuwa huyo sidhani kama ndiio waziri pekee wa zamani aliyekuwa nataarifa allizozitaka mwandishi. Kama ingekua na radio answar ni sawa, kwa BBC si sawa na kama hili lalamiko likifika mahali pake, mtangazaji hatakua salamu, it is straight forward wenzetu hawana lelemama kama sisi kutaka kufumba macho kwenye mambo ya msingi.
 
Hapo baadae sana,Katika hii dunia migogoro mikubwa itatokea katika kugombea ardhi,maji na migogoro ya kidini.
 
Wewe mleta mada ukiona azam ni wadini ni vizuri ukatazama Tv za dini yako kama tumaini,agape n.k.tuache waislam na dini yetu.
 
Wasalaam,

Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,

Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,

Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.

Ukiacha mengine yote: nawapongeza kwa uandaaji wenu mzuri wa habari
Wagalatia chuki zenu hamuwezi kuzificha hatta kidogo.
Yaani ktk Stori yoooote Kilichokukera wewe ni Neno "UISLAMU" tu?

Yaani roho zenu zilivyo mbovu mnaumia kila wakitajwa Waislamu au Uislamu. Lkn mtangazaji angetaja Nguruwe au Dodoma wine ungempigia Makofi na kumtungia kwaya.

Ndio maana mna sura mbaya nyie watu.
Manake mtu mwenye sura mbovu ni vigumu sana kuwa na roho safi.
 
Wagalatia mnapodanganya watu kwa kujipa utume na Unabii ktk zile Tv zenu km AGAPE mmeshawahi kumsikia Muislamu analalamika?

Mnapotapeli watu kwa kudai mnafufua wafu na Kuibia wananchi wasio na akili mmeshaona Muislamu analalamika?

Mnapokwiba mali za wananchi kwa majina ya Ukadinali na Uaskofu na Uchungaji Mmeshawahi kuona waislamu wanaanzisha Uzi wa kuwalaumu?

Leo mtangazaji kuutaja UISLAMU TU kitu ambacho ni Kawaida tayari mnaanzisha UZI wa Kuikashifu TV Station nzima na kuiita Ya UDINI.

Mungu awalaani kwa chuki zenu.
Halafu Mkiitwa MAKAFIRI Mods wanatupiga Ban za kipuuzi.
Ukafiri ni SIFA ZENU. na Mkifa na Sifa Hii basi Jahannamu ndio itawanyoosha na Hizo Chuki zenu.
 
kwa BBC hilo mwandishi amekosea halina mjadala, inaonekana katika kupanga kazi yake aliweka kigezo cha udini kwa kuwa huyo sidhani kama ndiio waziri pekee wa zamani aliyekuwa nataarifa allizozitaka mwandishi. Kama ingekua na radio answar ni sawa, kwa BBC si sawa na kama hili lalamiko likifika mahali pake, mtangazaji hatakua salamu, it is straight forward wenzetu hawana lelemama kama sisi kutaka kufumba macho kwenye mambo ya msingi.
Labda hiyo bbc ya mzee wako lakini siyo hii tunayoijua.
 
Sina nia ya kuendeleza malumbano hasa haya ya kiimani, kwa asilimia kubwa kazi zangu na mazingira nnayoishi nnaishi na waislam sina tatizo nao wala dini zao na tunashirikiana katika mambo mengi muhimu sana. Rudia kusoma mada halafu utuambie kama mwandishi alikuwa sahihi je, palikuwa na haja ya kuongeza alichokngeza ktk taarifa yake?..

Kabla ya mtangazaji kukujuza kuwa yule alikuwa ni Muislam wa kwanza kuwa waziri Rwanda ulikuwa unalijuwa hilo?
 
Huwezi kubadilisha mfumo wa uongoz wakidunia toka miaka 2000 iliyopita tulikubali utawala wa kikatoliki na mifumo yake ndio inatutawala mpaka kesho na ndio unaukandamizaji wa demokrasia ufinyu wa mawazo kama huyu mleta hoja
 
Mtaanza lumbana vitu vidogo tu kama hivi asee tubadilke bwana
 
Sijaona ubaguzi katika habari hiyo.....!
 
kwa BBC hilo mwandishi amekosea halina mjadala, inaonekana katika kupanga kazi yake aliweka kigezo cha udini kwa kuwa huyo sidhani kama ndiio waziri pekee wa zamani aliyekuwa nataarifa allizozitaka mwandishi. Kama ingekua na radio answar ni sawa, kwa BBC si sawa na kama hili lalamiko likifika mahali pake, mtangazaji hatakua salamu, it is straight forward wenzetu hawana lelemama kama sisi kutaka kufumba macho kwenye mambo ya msingi.
Jina lako na mawazo yako yanafanana.
We unatakiwa uitwe Nyodo sio Nnodo.
BBC ni Tv station km Tv zingine za kawaida na ni jambo la kawaida kutoa taarifa km Hizi.
Na kila mara BBC huonyesha Vitu km hivi. Na Sio kwa Waislamu tu.
Mawaziri wa Kigalatia waliochaguliwa ktk Nchi za Kiislamu Pia huwa ni Gumzo la Tv station maarufu zote Duniani.

Tatizo wewe umezoea kutazama AGAPE TV. Humo hutosikia lolote zaidi ya Kudanganywa tu.
Yule mgoa anaejiita MTUME mimi namkumbuka Wakati kaajiriwa na Hassanali Km Dereva wa Canter.
Leo kajipa UTUME we hata kuuliza Unaona Utalaaniwa Na mTume wa Kigoa.

Hizi ndio akili za kigalatia. Na ukiendelea nazo Jahannamu inakungoja.
Shauri yako.
 
Teh teh teh

Anajiita mtume Ferndendas.
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom