mikatabafeki
JF-Expert Member
- Dec 29, 2010
- 12,771
- 4,647
Wasalaam,
Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,
Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,
Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.
Ukiacha mengine yote: nawapongeza kwa uandaaji wenu mzuri wa habari