AZAM TV acheni ubaguzi wa kidini

AZAM TV acheni ubaguzi wa kidini

Status
Not open for further replies.
Habari ni habari, hivi ku-report kuwa huyo ni waziri wa kwanza Muislamu nchini Rwanda ni Ubaguzi.

Nia ya chombo cha habari ni kutuhabarisha, mimi nafikiri kuhoji hiyo habari ndio ubaguzi.
 
LEO umekula nini mbona umewaza kwa utulivu sana ? umewaza kama msomi kabisa. hongera sana. unachosema kweli mi sioni kama ni issue kubwa kwa azam kusema hivyo au hata kupiga taswida kwenye kipindi nadhani si issue kubwa.

Wewe ndio umekosea, hata Italy alipochaguliwa MTU mwenye ngozi nyeusi kuwa waziri ilikuwa habari kubwa, Si kwamba waandishi walikuwa wabaguzi Hapana Bali ni kwa vile ni wa kwanza wa aina yake. Hivi mathalani akitokea mkristo kuwa Rais wa Zanzibar Hiyo haitakuwa sio habari? Mwandishi yuko Sawa kwa vile kwa Rwanda huyo ni MTU wa aina yake, wa kwanza kutoka katika jamii fulani, tatizo ni watu kama nyinyi mnaotazama kila kitu kuhusu dini ambayo Si yako kwa hali hasi. Hauna tofauti yoyote na wale wenye siasa Kali wa upande mwingine.
 
Wasalaam,

Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,

Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,

Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.

Ukiacha mengine yote: nawapongeza kwa uandaaji wenu mzuri wa habari
Mkuu kama kweli mwandishi huyo katoa maelezo hayo kama ningekuwa mwajiri wake akimaliza tu kipindi chake,basi afungashe kabla ya kumfungashia maana tayari kakosa sifa ya uanahabari.
 
Ila baadhi ya mambo huwa ni matukio ya kihistoria na kamwe hayawezi kupita kimya kimya. Angalia hapa baadhi ya vyombo vya habari vilitangaza hivi: Carolyn Walker-Diallo mwanamke wa kwanza Muislamu mwenye asili ya Afrika kuapishwa kwa kutumia Qurani kuwa jaji, katika jimbo la Brooklyn nchini Marekani. Carolyn Walker-Diallo atakuwa jaji katika mahakama moja ya Wilaya ya Manispaa ya 7, katika jimbo la Brooklyn.
Itakumbukwa kuwa, mwanamke wa kwanza Muislamu kuapishwa kuwa jaji nchini Marekani alikuwa Sheila Abdu-Salaam(hana asili ya Afrika), katika mahakama ya juu ya New York, mwaka 1992.

Mwanamke mwingine Muislamu mwenye asili ya Kiarabu, Chalene Mekled Elder, aliajiriwa katika mahakama ya 3rd Circuit, jimboni Michigan mwaka 2006.
 

Attachments

  • Carolyn Walker-Diallo.jpg
    Carolyn Walker-Diallo.jpg
    14.8 KB · Views: 34
Mim sion tatizo coz nchi za maziwa makuu hasa ug,congo na rwanda ina idadi kubwa la wakristo kupata kiongoz muislam ni nadra sana kama zenj kumpata mkristo
 
Kwaiyo wewe ukisikia mtu akitajwa Muislam tu kwako ni kosa, Na mzuka unakupanda? Una hasara kubwa Na nyinyi mnaoiharibu Nchi hii kwa kuweka udini Mbele. Hapo ametajwa Waziri tena sio wa Nchi hii Na bado unaumia. Ninaamini kinachokuumiza zaid si wala huyo Waziri kutajwa pekee yake, Na hii Azam tv Mnaitia midomoni makafiri kama nyie kila siku ili isiwepo Na Bahresa ikiwezekana ataifishwe. Watu man Roho mbaya Za udini Na wazee wako.
 
Wewe ndio umekosea, hata Italy alipochaguliwa MTU mwenye ngozi nyeusi kuwa waziri ilikuwa habari kubwa, Si kwamba waandishi walikuwa wabaguzi Hapana Bali ni kwa vile ni wa kwanza wa aina yake. Hivi mathalani akitokea mkristo kuwa Rais wa Zanzibar Hiyo haitakuwa sio habari? Mwandishi yuko Sawa kwa vile kwa Rwanda huyo ni MTU wa aina yake, wa kwanza kutoka katika jamii fulani, tatizo ni watu kama nyinyi mnaotazama kila kitu kuhusu dini ambayo Si yako kwa hali hasi. Hauna tofauti yoyote na wale wenye siasa Kali wa upande mwingine.

Sina nia ya kuendeleza malumbano hasa haya ya kiimani, kwa asilimia kubwa kazi zangu na mazingira nnayoishi nnaishi na waislam sina tatizo nao wala dini zao na tunashirikiana katika mambo mengi muhimu sana. Rudia kusoma mada halafu utuambie kama mwandishi alikuwa sahihi je, palikuwa na haja ya kuongeza alichokngeza ktk taarifa yake?..
 
Hakuna ubaguzi hapo tatizo lako wew unauchukia UISLAMU...acha chuki huwa hazijengi katika maisha yako
 
Nchi hii tuna vijana wengi wapuuzi. Sijui itakuwaje watakapokuwa watu wazima. Elimu za kupiga chabo na wizi wa mitihani ndio unaowafanya vijana kuanzisha hoja nyepesi

Nasikia uchungu kugundua kuwa vijana wengi wa sasa ndio watakuwa watumwa wa kiakili muda mfupi tu.
 
Wasalaam,

Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,

Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,

Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.

Ukiacha mengine yote: nawapongeza kwa uandaaji wenu mzuri wa habari
Nilimsikia Mara ya kwanza nikajua labda mimi ndo sijasikia vizuri mmh kumbe nilisikia Sawa MI nahisi labda ni kitu ambacho hakikuwepo kuwa na waziri muislamu so ni fahari kwao
 
Baba paroko endelea kupiga pesa za sadaka kanisani tu na kufungisha ndoa za mashoga..
Achana na Dini ya uislam ww sio wa kwanza kuichukia,,,uislam ulipigwa vita toka enz na enz na bado unaendelea tu
 
Hilo uislamu nikilisikia huwa naona kichefu chefu. Ila nafurahi pale mh raisi wangu mpendwa magufuli anavyowatimua, akitimua waislam kumi akiteua wengine utakuta kawarudisha wawili tu nane anakuwa ameturudishia vigango vyetu.hadi miaka kumi iishe wote mtakuwa mnachoma mahindi msoga.


Sisi mwenyezimungu ameshatuambia kwenye Qur an kuwa makafiri..i.e wasio kuwa waislam hawawez kuwa radhi na sisi waislam hadi pale tutapofuata mila zao...i.e kuabudu masanamu na bikira maria na mwanae yesu mnazareth na kuyaita mungu....pia anatuambia chuki mlizonazo watu mliokufuru kama nyinyi humo vifuani vyenu ni kubwa kuliko mnayoionesha machoni...tukifungua vifua vyenu kuna hatari jins mlivyojaza chuki..

Sisi wala hamtupi tabu...tunajua kwa dhati kabisa fungu lenu linaishia hapa hapa dunian
 
Si kama Chan 10 ,muda wote mambo ya Uuslamu ,nyota na majini

Si kweli...wewe channel tena huon hata mzee wa Upako wanamuonesha mara kwa mara pale akikamata matiti na makalio ya kondoo wa bwana huku akijitapa kuwa anawatoa mapepo?

Maskin ya mungu...wewe nan kakuambia ibada zinafanywa hivyo?....

Wewe dume zima unakubali kushikwa ta.ko na dume mwenzako eti kisa anakutoa mapepo?

Daaaah...
 
Baba paroko endelea kupiga pesa za sadaka kanisani tu na kufungisha ndoa za mashoga..
Achana na Dini ya uislam ww sio wa kwanza kuichukia,,,uislam ulipigwa vita toka enz na enz na bado unaendelea tu

Teh teh teh..

Kina baba paroko noma sana...

Hii dini sasa imegeuka kuwa ya kupiga pesa tuh teh teh teh
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom