AZAM TV acheni ubaguzi wa kidini

AZAM TV acheni ubaguzi wa kidini

Status
Not open for further replies.
Wachangiaji ndo mmekuja kujadfili udini,

Suala hapa ni weledi wa mwandishi wa habari.

Na usiniquote mana sitakujibu
Hata usipojibu, ila wewe ni bonge la primitive, idiot, stupid, jealous
 
Wasalaam,

Nimefuatilia taarifa ya habari ya Azam TV leo tare 07.04.2016 saa mbili usiku pale mtangazaji Kassimuu Kayiraa alipokuwa akimuhoji waziri wa zamani wa Rwanda juu ya ziara ya rais JPM nchini Rwanda,

Cha kushangaza mtangazaji huyu mara kwa mara amekuwa akichombeza kuwa "HUYU NI WAZIRI WA KWANZA MUISLAMU" nchini Rwanda,

Ushauri tu; nadhani angesema huyu ni waziri wa zamani wa Rwanda ingetosha sana.

Ukiacha mengine yote: nawapongeza kwa uandaaji wenu mzuri wa habari


Kwa mala ya kwanza taifa la marekani limeongozwa na mtu mweusu i have a dream... At
 
Huyu jamaa kaja Dar kiswahili alikuwa hajui. Ye ni Kigoa tu
Kaajiriwa na Waislamu. Alipoona kuna dili kwenye Ukatonta Akaanza kupiga Kelele wakati ule ilikuwa Ctn.
Kipindi Nusu saa.

Wagalatia kuona jamaa anajua maneno kadhaa ya Kiingereza wakaona huyu anatufaa kutupigia debe.
Jamaa akanunuliwa nyumba na Kanisa. Kijiwe kikamchanganyia vibaya mno.
Mpk leo anadanganya watu na kula pesa kilainiiii wakati hao watoa sadaka makalio yanatoka vumbi kwa Njaa.

Ajeeb hawa watu.

Wagalitia ni watu gani???
 
Status
Not open for further replies.
Back
Top Bottom