Azam Media Group

mbona tanga tuna dikoda unaona mechi zote za EPL, LA LIGA na nyingine zote kupitia Abu dhabi tv kwa 15000 tu kwa mwezi??
 

Kha...! VPL kwa 15000/= haya nayo ni majanga tu.
 

Majanga haya , wabongo tutaendelea kutiwa umaskini kwa haya madecoda yasiyokamilika ili tuwe nayo yooote. kazi ipo
 
wanachokosea ving'amuz local ni kushindwa kutoa picha nzuri, binafsi star times nna antena yao kabisa lakin bado scratch zipo kwani hawaoni dstv.... mwezi huu naenda dstv kununua kifurushi cha HD channels kabisa.... hawa azam waangalie hayo mawili tu na waache kuleta michannel ya kipuuz ya kule asia
 
mbona tanga tuna dikoda unaona mechi zote za EPL, LA LIGA na nyingine zote kupitia Abu dhabi tv kwa 15000 tu kwa mwezi??

Mkuu ni kupitia aljazeera sio abudhabi, hao wa tanga hawapo kwenye satellite hivyo wanafanya kuiba, huwezi kurusha channel ya MTU mwingine km aljazeera sport bila yeye kutoa ridhaa yake.Mambo ya mpira yana hati miliki iwapo azam atapata ridhaa ya aljazeera kuonyesha mechi , Wababe wa hati miliki dstv kusini mwa jangwa la sahara watamshitaki, akitaka inabidi anunue zile mechi chovu tu zinazorushwa pia na MBC,
 

sema bei yake wewe sasa.
 
Wewe kastama sevisi wenge mipango ikoje mnaanza lili kutoa hizo decoder
 
Hawezi kuonyesha EPL labda LA LIGA na Serial A, mwenye haki ya kuonyesha EPL ni DsTv tu! Msiwe wabishi kumbukeni vita ya DsTv na Gtv, mkataba wa EPL ni mkubwa hawezi kucharge 2000 kwa mwezi

Body without head
 
Hao azam tv wanaanza kurusha matangazo yao lini? na je nikiwahitaji wanapatikana wapi?
 
Kha...! VPL kwa 15000/= haya nayo ni majanga tu.

Jiji la Dar sijui ni kwa nini cable TV ambazo mikoani ni kawaida sana hapa inakuwa issue? Miji kama Tabora, Mtwara, Dodoma, Makambako, kutaja michache wanalipa cable TV kati ya tsh elfu10-15 tu kwa mwezi na unapata Local channels zote, channels za movie na michezo mbalimbali! Dar tatizo ni nini?
 
Mkuu Rich Pol hujatembea ww.Zbar kuna kampuni inaitwa Zbar cable network wanachulia matangazo yao Abudhabi network,kwa mwezi unalipia buku 15 unapata channel kibao za movie,mieleka,local channels bila kusahau EPL,La Liga,Bundasliga,seria A bila chenga.Dstv haina market Zbar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…