INASHANGAZA: Jinsi SODA ya 7–Up Ilivyoingia kwenye Soko La Cola!

Seif Mselem

JF-Expert Member
Oct 16, 2023
257
441
…Utafiti unaonyesha Kwamba…

“Katika kila Soft Drink tatu Zinatonywewa Marekani basi Mbili ni Cola Drinks”

Hii Inatuonyesha ni kwa Kiasi gani ni Ngumu Kuingia kwenye Soko la…

“SOFT Drinks”

Licha ya ushindani Mkali na Utawala mkubwa wa Vinywaji vya Cola…

LAKINI…

Bado “Soda ya 7 Up” iliweza Kuingia kwenye hilo Soko na Kujitengenezea Utawala wake.

Waliwezaje na Walitumia Mbinu gani?..

Basi soma UZI huu hadi Mwisho…

Kama utakumbuka kwenye UZI wangu uliopita Nilikufundisha kuhusu Kitu kimoja Kinaitwa…

“Product Ladder”

(Ngazi ya Bidhaa)

Kama utakuwa Umesahau Tu…

Product Ladder ni…ile hali ya Akili ya Mteja ku Rank Majina ya Brands za bidhaa/huduma za kufanana kwenye Madaraja yalioko kwenye mtindo wa Ngazi.

Yaani… kama ni Kampuni za ma Busi hapa Morogoro basi utakuta pale…

Namba 1 yupo… Abood

Namba 2 yupo… BM Coach

Na…

Namba 3 yupo… Al Saedy

Na…

Hii hali huwa Inatokea kwenye kila bidhaa/huduma za Kufanana… Akili ya mteja huwa Lazima izipange hizo bidhaa kwenye Mtindo huo.

Na…

Kama Unavyofahamu…

Akili ya Binadamu ni kama Kompyuta ILA Tofauti yake ni moja…

Kompyuta huwa Inatakiwa Kukubali kila Kitu unachoiwekea…Lakini Akili ya Binadamu haiku hivo!

Akili ya binadamu huwa ina Tabia ya Kukataa kila Taarifa mpya Isizozielewa… na Inakubali Taarifa MPYA Tu ambazo zinalingana na hali ya Akili (Ubongo) ya Muda huo.

Ndio maana Nikikuuliza…

Kati ya Diamond na Ally Akiba nani Mkali?

Messi na Ronaldo?

CMM na Chadema?

Hip Hop na Bongo Fleva?

Majibu yako Yatatokana na kile Kilichopo kwa Muda huu Akili mwako!

Ndio maana kuna huu Msemo Unasema…

“You See what you EXPECT to See”

Ndio maana pia huwa kuna Ile story ya Champagne kwamba… Champagne ya BEI Kubwa ina Ladha nzuri kuliko Champagne ya Bei ndogo!

Tunarudi pale pale…

“You Taste what you EXPECT to Taste”

Kwahiyo…

Seven Up wao walikuwa wanakijua hiki Kitu Vizuri zaidi…Hawakuhangaika!

Waliamua Kufananisha Soda yao na kile Kilichokwepo Akili kwa wateja wao ambacho ni…“Cola Drinks”

Wao wakaja na aina hii ya Positining Inayoitwa…

“The UNCOLA Positioning”

Then Guess what…

FINITOOO!

Imebaki Historia Tu… Au Sio?

Yeah!

Na…

Kwenye ile Product Ladder ikawa inaoneka hivi…

Namba 1 ni… Coke (Coca Cola)

Namba 2 ni… Pepsi

Na…

Namba 3 ni… Mkubwa wao 7 UP!

Kwahiyo…

Hata wewe unaweza Kutumia kile kilichopo Kichwani kwa wateja wako…Kuji Position kwenye Soko la biashara Uliyopo!

Na…

Unaweza kufanya hivyo kama Ukiweza…

Kukataa au Kukipuuza kile kinachokubalika kwenye Soko la Biashara…

(Ignore the Conventional Logic)!

Kwasababu….

Hata ukiangalia Idea ya “UNCOLA” haijatokea kwenye bidhaa ya 7 Up bali Imetokea kwenye Akili ya Mteja.

I Hope Umejifunza Kitu.

Uwe na SIKU Njema!

By the way...

Siku ya Ijumah Rasmi Nitaanza kufanya USAJILI kwaajili ya...

"BLUE OCEAN MASTERCLASS"

Kama Utakuwa INTERESTED Kufanya Online Class Kupitia Google Meeting basi Jiandae Mapema ili Usije Kupitwa.

See you Soon.

Gracia

Seif Mselem!
 
Safi sana.
Nimejua tu juzi juzi kwamba Fanta ni kinywaji ambacho walikibuni Nazi scientiest enzi za hitler kureplace cocacola.
Nazi scientist walikuwa na akili nyingi sana maana si dawa, si vinywaji, si engines, si magari, yani wana mchango mkubwa kwenye maisha haya.
 
Usichokijua hiyo 7 UP na Sprite zinanywewa baada ya ujio wa hizi vipombe kali kwa sana.

Watu wanatumia hizo kumixia na pombe zao. Huwezi kumix KVANT au KONYAGI au pombe nyingine yoyote na soda nyeusi au zile za orange.
 
Yeah... Umetisha Sana Kaka.
 
Usichokijua hiyo 7 UP na Sprite zinanywewa baada ya ujio wa hizi vipombe kali kwa sana.

Watu wanatumia hizo kumixia na pombe zao. Huwezi kumix KVANT au KONYAGI au pombe nyingine yoyote na soda nyeusi au zile za orange.
Yeah... Hiyo FACT Imekaa Kitalaamu Sana Chief.

Umeeleweka Zaidi.
 
Wao wakaja na aina hii ya Positining Inayoitwa…
“The UNCOLA Positioning”

1. Hiyo Uncola positing ni nini?
2. Na inafanywaje?

#YNWA
 
Nitarudi bangi ikishakata kichwani. Lakini kabla sijaondoka hivi mtoa mada nikinywa saba juu si naweza toa wenge la bangi?
 
Back
Top Bottom